Ushahidi PleaseHuu uzi upo sponsored, kuna mtu kala hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi PleaseHuu uzi upo sponsored, kuna mtu kala hela
Aliposababisha mpinzani wake kwenye Jimbo akamatwe kwa tuhuma za Rushwa ili apote bila kupingwa ndio mwanzo niliachaga kumuamini tenaWakazi wa Kusini wanajua umafia wanaofanyiwa kwenye korosho, leo ameingia kwenye vitenge.
Hongera nyingi kwa Vijana wa TRA kufanikisha kazi Yao.
Nyie wafanyabiashara msio waaminifu mnajulikana sana na fitina zenu lakini muda sio mrefu mtanasika tu kisha mkondo wa sheria utawahusu pima. Mnamwandama sana kiongozi wa shughuli za serikali bungeni ili mpachike mtu wenu bila kutambua kwamba mnaenda kusambaratisha watu wenu wote.Tupo katika kipindi kingine cha mapambano yasionekana kwa macho, baada ya muhimili wa Bunge kutikisika kwa kauli ya aliyekuwa spika wa bunge sasa ni zamu ya Msimamizi wa shughuli za serikali.
Mwezi ujao vikao vya 9 katika bunge vinakwenda kuanza wakati wowote kuanzia hivi leo bunge linaweza kuja na agenda ya ya kutokuwa na imani nae.
Mjadala ulioibuka hivi karibuni wa suala la mfanyabiashara maarufu nchini Salome Mgaya Maarufu kama Mama Bonge unaweza kuset ajenda ya standard ya kile kitakachokwenda kujadiliwa Bungeni.
Katika hali isiyotarajiwa na wengi kinachokwenda kujadiliwa katika mkutano wa 9 utakaoanza November moja ya ajenda moto ni juu ya suala la kiongozi wa Serikali kushiriki kukwepa kodi.
Kuanzia tarehe 17 Oktoba hadi 30 Oktoba kamati za kudumu 4 za bunge zitaanza kukutana.
Familia yamtumia mwanaharakati Martin Maranja Masesa kupitia katika mitandao ya kijamii imevuja sauti ya moja ya wanafamilia mtoto wa msimamizi wa shughuli za serikali (PM) kuwa Martin MM alitumwa kuweka mambo sawa katika mitandao katika sakata hilo la ukwepaji kodi kuwa mzigo uliokamatwa wajitahidi mzee asitajwe.
Samia na chama kimejaribiwa;
Miongoni mwa vyama vikongwe vinavyotolewa mfano katika Afrika na dunia juu ya uimara wake, ukongwe wake na namna ya kinavyoweza kuhimili fukuto zake za ndani kikajisahihisha na kusonga mbele ni CCM. Kimeendelea kuwa ni mfano na hivi karibuni kinaweza kuingia katika rekodi ya kidunia kwa kuwa Chama kikongwe zaidi kubaki madarakani. Chama iko sasa kiko katika mtihani, kimejaribiwa.
-CCM inatajwa kuwa ni chama kinachosimamia misingi yake na chenye kujisahihisha kila pale kinapogundua kuwa kilifanya makosa yenye kukigharimu. Ndiyo maana katika sakata hili TRA wamekuwa wazi juu ya kukamatwa kwa mfanyabiashara Salome Mgaya.
Samia alifanya makosa, kosa kubwa lilikuwa ni kitendo cha kuruhusu kuishi na NYOKA ndani ya nyumba kama mtendaji Mkuu wa serikali akiamini kuwa “zimwi likujualo halikuli likakwisha” …ni kosa vitoto vya Nyoka kuanza kumea upya ndani Serikali.
Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Rais anayo mamlaka ya kuchagua na kupendekeza jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Duh!
Kuna jambo hapa, si bure.Nyie wafanyabiashara msio waaminifu mnajulikana sana na fitina zenu lakini muda sio mrefu mtanasika tu kisha mkondo wa sheria utawahusu pima. Mnamwandama sana kiongozi wa shughuli za serikali bungeni ili mpachike mtu wenu bila kutambua kwamba mnaenda kusambaratisha watu wenu wote.
Tawala hizi zinabadilika msijione mnauhuru wa kufanya chochote mkafikiri mtaendelea kunyanyasa na kupora mali za umma
Tetesi zilizotufikia ni kwamba mzee wa super black aliandika barua ya kujiuzulu lakini Hangaya amemkatalia. Na kumkumbusha juu ya hotuba yake ( hangaya) ya kuruhusu viongozi kula kwa urefu wa kamba zao.Tupo katika kipindi kingine cha mapambano yasionekana kwa macho, baada ya muhimili wa Bunge kutikisika kwa kauli ya aliyekuwa spika wa bunge sasa ni zamu ya Msimamizi wa shughuli za serikali.
Mwezi ujao vikao vya 9 katika bunge vinakwenda kuanza wakati wowote kuanzia hivi leo bunge linaweza kuja na agenda ya ya kutokuwa na imani nae.
Mjadala ulioibuka hivi karibuni wa suala la mfanyabiashara maarufu nchini Salome Mgaya Maarufu kama Mama Bonge unaweza kuset ajenda ya standard ya kile kitakachokwenda kujadiliwa Bungeni.
Katika hali isiyotarajiwa na wengi kinachokwenda kujadiliwa katika mkutano wa 9 utakaoanza November moja ya ajenda moto ni juu ya suala la kiongozi wa Serikali kushiriki kukwepa kodi.
Kuanzia tarehe 17 Oktoba hadi 30 Oktoba kamati za kudumu 4 za bunge zitaanza kukutana.
Familia yamtumia mwanaharakati Martin Maranja Masesa kupitia katika mitandao ya kijamii imevuja sauti ya moja ya wanafamilia mtoto wa msimamizi wa shughuli za serikali (PM) kuwa Martin MM alitumwa kuweka mambo sawa katika mitandao katika sakata hilo la ukwepaji kodi kuwa mzigo uliokamatwa wajitahidi mzee asitajwe.
Samia na chama kimejaribiwa;
Miongoni mwa vyama vikongwe vinavyotolewa mfano katika Afrika na dunia juu ya uimara wake, ukongwe wake na namna ya kinavyoweza kuhimili fukuto zake za ndani kikajisahihisha na kusonga mbele ni CCM. Kimeendelea kuwa ni mfano na hivi karibuni kinaweza kuingia katika rekodi ya kidunia kwa kuwa Chama kikongwe zaidi kubaki madarakani. Chama iko sasa kiko katika mtihani, kimejaribiwa.
-CCM inatajwa kuwa ni chama kinachosimamia misingi yake na chenye kujisahihisha kila pale kinapogundua kuwa kilifanya makosa yenye kukigharimu. Ndiyo maana katika sakata hili TRA wamekuwa wazi juu ya kukamatwa kwa mfanyabiashara Salome Mgaya.
Samia alifanya makosa, kosa kubwa lilikuwa ni kitendo cha kuruhusu kuishi na NYOKA ndani ya nyumba kama mtendaji Mkuu wa serikali akiamini kuwa “zimwi likujualo halikuli likakwisha” …ni kosa vitoto vya Nyoka kuanza kumea upya ndani Serikali.
Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Rais anayo mamlaka ya kuchagua na kupendekeza jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Wewe unaota mchana,hilo lichama mafisadi wote wanajificha humo.hutasikia chochote zaidi ya kulindana.kwani haya yameanza leo au umesahau historia?Tupo katika kipindi kingine cha mapambano yasionekana kwa macho, baada ya muhimili wa Bunge kutikisika kwa kauli ya aliyekuwa spika wa bunge sasa ni zamu ya Msimamizi wa shughuli za serikali.
Mwezi ujao vikao vya 9 katika bunge vinakwenda kuanza wakati wowote kuanzia hivi leo bunge linaweza kuja na agenda ya ya kutokuwa na imani nae.
Mjadala ulioibuka hivi karibuni wa suala la mfanyabiashara maarufu nchini Salome Mgaya Maarufu kama Mama Bonge unaweza kuset ajenda ya standard ya kile kitakachokwenda kujadiliwa Bungeni.
Katika hali isiyotarajiwa na wengi kinachokwenda kujadiliwa katika mkutano wa 9 utakaoanza November moja ya ajenda moto ni juu ya suala la kiongozi wa Serikali kushiriki kukwepa kodi.
Kuanzia tarehe 17 Oktoba hadi 30 Oktoba kamati za kudumu 4 za bunge zitaanza kukutana.
Familia yamtumia mwanaharakati Martin Maranja Masesa kupitia katika mitandao ya kijamii imevuja sauti ya moja ya wanafamilia mtoto wa msimamizi wa shughuli za serikali (PM) kuwa Martin MM alitumwa kuweka mambo sawa katika mitandao katika sakata hilo la ukwepaji kodi kuwa mzigo uliokamatwa wajitahidi mzee asitajwe.
Samia na chama kimejaribiwa;
Miongoni mwa vyama vikongwe vinavyotolewa mfano katika Afrika na dunia juu ya uimara wake, ukongwe wake na namna ya kinavyoweza kuhimili fukuto zake za ndani kikajisahihisha na kusonga mbele ni CCM. Kimeendelea kuwa ni mfano na hivi karibuni kinaweza kuingia katika rekodi ya kidunia kwa kuwa Chama kikongwe zaidi kubaki madarakani. Chama iko sasa kiko katika mtihani, kimejaribiwa.
-CCM inatajwa kuwa ni chama kinachosimamia misingi yake na chenye kujisahihisha kila pale kinapogundua kuwa kilifanya makosa yenye kukigharimu. Ndiyo maana katika sakata hili TRA wamekuwa wazi juu ya kukamatwa kwa mfanyabiashara Salome Mgaya.
Samia alifanya makosa, kosa kubwa lilikuwa ni kitendo cha kuruhusu kuishi na NYOKA ndani ya nyumba kama mtendaji Mkuu wa serikali akiamini kuwa “zimwi likujualo halikuli likakwisha” …ni kosa vitoto vya Nyoka kuanza kumea upya ndani Serikali.
Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Rais anayo mamlaka ya kuchagua na kupendekeza jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Na big star United!Namungo Fc
Mshana sisi huku hatuna utamaduni uho Yani niache mpunga kilaisi hv[emoji16][emoji16][emoji16]Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Mwenyekiti na kamati kuu inayo mamlaka ya kuwajadili na kupendekeza majina matatu na lipatikane jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
TETESI!!!!Tetesi zilizotufikia ni kwamba mzee wa super black aliandika barua ya kujiuzulu lakini Hangaya amemkatalia. Na kumkumbusha juu ya hotuba yake ( hangaya) ya kuruhusu viongozi kula kwa urefu wa kamba zao.
Kwa hiyo, super black bado yupo yupo sana.
Mkuu ina maana aondoke/ajiuzuru kwa TETESI?
Hizo sentensi za mwisho ndiyo ukweli wa mambo...Aibu sana kwa nchi, watu wanatumia vyombo vya nchi kwa maslahi yao binafsi, cry my country...Lakini there is hope, ngoja tuone...Duh!
Mkuu 'Palm Beach', umeniita kwenye mada ambayo nilikuwa nachungulia na kupita tu bila kusema kitu. Niseme wazi kwamba haya maswala ya aina hii yamekuwa mengi sana ndani ya nchi hii kiasi kwamba ni vigumu kufahamu ukweli ulipo.
Ninaepukana sana na mada kama hizi, kwa sababu zinasikitisha na kuumiza moyo kujuwa kwamba watu wanaopewa majukumu ya kuwasaidia wananchi, wao wanatumia fursa hizo kujineemesha na kukwamisha juhudi za wananchi. katika kutafuta maendeleo yao.
Taasisi zilizopo kushughulikia uchafu kama huo unaosemwa, ni kama hazipo. hao vijana wa Mwenge wanapiga kelele na madudu waliyoyaona huko walikokuwa wakipita, hakuna kinachofanyika. Ripoti ya CAG kila mwaka imejaa madudu, lakini limekuwa ni swala la kawaida tu kulifanya kila mwaka. Takukuru sijawahi hata siku moja kusikia ripoti yao ya mwaka ikieleza kazi walizotekeleza....
Kwa hiyo, nadhani inabidi tukubali kwamba maswala kama haya ni sehemu ya utendaji wa serikali iliyopo madarakani.
baada ya kusema yote haya, pengine sasa umenistua, nami nianze kujikaza, niache woga wa kuumiza akili na moyo kufuatilia uozo huu unaoendelea ndani ya nchi yetu kwa sasa.
N.B. Mkuu 'The Palm Beach', imenilazimu nirudi juu kwenye mada husika na kuipitia upya:
Nilicho nacho uhakika sasa ni kwamba hii ni vita kati ya makundi kati ya wahusika ndani ya serikali na chama.
Wananyukana.
Mada hii imefadhiriwa na moja ya makundi hayo.
Wamepewa ruksa toka juu. Ni staili ya uongozi wa juu ndio unaoruhusu hayo, kwa hiyo wanautumia kama wanavyotarajiwa kuutumia.Hizo sentensi za mwisho ndiyo ukweli wa mambo...Aibu sana kwa nchi, watu wanatumia vyombo vya nchi kwa maslahi yao binafsi, cry my country...Lakini there is hope, ngoja tuone...
Huenda ni mwendelezo wa game la akina Ndugai. PM ndiye mteule pekee wa Magufuli aliyebaki. Huenda safari hii katengenezewa zengwe.Tupo katika kipindi kingine cha mapambano yasionekana kwa macho, baada ya muhimili wa Bunge kutikisika kwa kauli ya aliyekuwa spika wa bunge sasa ni zamu ya Msimamizi wa shughuli za serikali.
Mwezi ujao vikao vya 9 katika bunge vinakwenda kuanza wakati wowote kuanzia hivi leo bunge linaweza kuja na agenda ya ya kutokuwa na imani nae.
Mjadala ulioibuka hivi karibuni wa suala la mfanyabiashara maarufu nchini Salome Mgaya Maarufu kama Mama Bonge unaweza kuset ajenda ya standard ya kile kitakachokwenda kujadiliwa Bungeni.
Katika hali isiyotarajiwa na wengi kinachokwenda kujadiliwa katika mkutano wa 9 utakaoanza November moja ya ajenda moto ni juu ya suala la kiongozi wa Serikali kushiriki kukwepa kodi.
Kuanzia tarehe 17 Oktoba hadi 30 Oktoba kamati za kudumu 4 za bunge zitaanza kukutana.
Familia yamtumia mwanaharakati Martin Maranja Masesa kupitia katika mitandao ya kijamii imevuja sauti ya moja ya wanafamilia mtoto wa msimamizi wa shughuli za serikali (PM) kuwa Martin MM alitumwa kuweka mambo sawa katika mitandao katika sakata hilo la ukwepaji kodi kuwa mzigo uliokamatwa wajitahidi mzee asitajwe.
Samia na chama kimejaribiwa;
Miongoni mwa vyama vikongwe vinavyotolewa mfano katika Afrika na dunia juu ya uimara wake, ukongwe wake na namna ya kinavyoweza kuhimili fukuto zake za ndani kikajisahihisha na kusonga mbele ni CCM. Kimeendelea kuwa ni mfano na hivi karibuni kinaweza kuingia katika rekodi ya kidunia kwa kuwa Chama kikongwe zaidi kubaki madarakani. Chama iko sasa kiko katika mtihani, kimejaribiwa.
-CCM inatajwa kuwa ni chama kinachosimamia misingi yake na chenye kujisahihisha kila pale kinapogundua kuwa kilifanya makosa yenye kukigharimu. Ndiyo maana katika sakata hili TRA wamekuwa wazi juu ya kukamatwa kwa mfanyabiashara Salome Mgaya.
Samia alifanya makosa, kosa kubwa lilikuwa ni kitendo cha kuruhusu kuishi na NYOKA ndani ya nyumba kama mtendaji Mkuu wa serikali akiamini kuwa “zimwi likujualo halikuli likakwisha” …ni kosa vitoto vya Nyoka kuanza kumea upya ndani Serikali.
Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Rais anayo mamlaka ya kuchagua na kupendekeza jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Huyo wa mwisho hadi sasa amefanya nini kwenye kisiwa cha Lampedusa zaidi ya kisiwa kuzungusha mabati kila mahali na hakuna liwalo??Wa mwisho...Nimeropoka na ma stress yangu huku usije ni quote
Hakika naunga mkono hoja, mada hii inafadhiliwa na kundi fulani.Duh!
Mkuu 'Palm Beach', umeniita kwenye mada ambayo nilikuwa nachungulia na kupita tu bila kusema kitu. Niseme wazi kwamba haya maswala ya aina hii yamekuwa mengi sana ndani ya nchi hii kiasi kwamba ni vigumu kufahamu ukweli ulipo.
Ninaepukana sana na mada kama hizi, kwa sababu zinasikitisha na kuumiza moyo kujuwa kwamba watu wanaopewa majukumu ya kuwasaidia wananchi, wao wanatumia fursa hizo kujineemesha na kukwamisha juhudi za wananchi. katika kutafuta maendeleo yao.
Taasisi zilizopo kushughulikia uchafu kama huo unaosemwa, ni kama hazipo. hao vijana wa Mwenge wanapiga kelele na madudu waliyoyaona huko walikokuwa wakipita, hakuna kinachofanyika. Ripoti ya CAG kila mwaka imejaa madudu, lakini limekuwa ni swala la kawaida tu kulifanya kila mwaka. Takukuru sijawahi hata siku moja kusikia ripoti yao ya mwaka ikieleza kazi walizotekeleza....
Kwa hiyo, nadhani inabidi tukubali kwamba maswala kama haya ni sehemu ya utendaji wa serikali iliyopo madarakani.
baada ya kusema yote haya, pengine sasa umenistua, nami nianze kujikaza, niache woga wa kuumiza akili na moyo kufuatilia uozo huu unaoendelea ndani ya nchi yetu kwa sasa.
N.B. Mkuu 'The Palm Beach', imenilazimu nirudi juu kwenye mada husika na kuipitia upya:
Nilicho nacho uhakika sasa ni kwamba hii ni vita kati ya makundi kati ya wahusika ndani ya serikali na chama.
Wananyukana.
Mada hii imefadhiriwa na moja ya makundi hayo.
Aaah, kumbe!N.B. Mkuu 'The Palm Beach', imenilazimu nirudi juu kwenye mada husika na kuipitia upya: