Lakini ni muhimu waTanzania wapate uongozi sasa hivi utakaowaelekeza huko kwa haralka sana kabla ya 2025, vinginevyo tutaendelea tu kuwa chini ya hiki chama amabacho kimewaduwaza waTanzania wasijue la kufanya.Aaah, kumbe!
Kundi hili linanyukana na la PM ili ili mtu wao aunyakue u - PM..
Honestly, hakuna wakati mwingine tena ambapo Watanzania tunahitaji kuiona Tanzania mpya yenye mfumo mpya wa utawala wa kikatiba na kisheria usio na chembechembe za kijani asilani...
Kama safari hii itashindikana kuwaweka pembeni CCM, basi tena sijui wakati mwafaka utatokea lini na wapi.