Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

Watu wanapenda sana Madaraka.
Jana usiku Majaliwa ameita waandishi kwenye mashamba ya miwa kusema wapo wafanyabiashara wanaowasumbua TRA kwa kutumia majina ya viongozi. Hakujiuliza kwanini mwanae alituma watu kumtetea wasiseme mzigo ni wa mzee.

Anapenda kuondoka kwa mjadala wa aibu skendo ya kushiriki magendo.
 
Sijui km haya wananchi wanayotaka yatakuwa, dunia ya tatu hii siyo ta kwanza km kule kwa wenzetu.
 
Jana usiku Majaliwa ameita waandishi kwenye mashamba ya miwa kusema wapo wafanyabiashara wanaowasumbua TRA kwa kutumia majina ya viongozi.
Hakuna atakayeamini kwasababu ni muongo muongo sana.
Na ni kwanini Usiku? Kwenye Mashamba ya Miwa? 🤔
patrice.png

Katika kutafuta hiyo clip ya kwenye Mashamba ya miwa nimekutana na hii...

Karma is Bitch!

200 (13).gif

CCM imeoza.
 
Tupo katika kipindi kingine cha mapambano yasionekana kwa macho, baada ya muhimili wa Bunge kutikisika kwa kauli ya aliyekuwa spika wa bunge sasa ni zamu ya Msimamizi wa shughuli za serikali.

Mwezi ujao vikao vya 9 katika bunge vinakwenda kuanza wakati wowote kuanzia hivi leo bunge linaweza kuja na agenda ya ya kutokuwa na imani nae.

Mjadala ulioibuka hivi karibuni wa suala la mfanyabiashara maarufu nchini Salome Mgaya Maarufu kama Mama Bonge unaweza kuset ajenda ya standard ya kile kitakachokwenda kujadiliwa Bungeni.

Katika hali isiyotarajiwa na wengi kinachokwenda kujadiliwa katika mkutano wa 9 utakaoanza November moja ya ajenda moto ni juu ya suala la kiongozi wa Serikali kushiriki kukwepa kodi.

Kuanzia tarehe 17 Oktoba hadi 30 Oktoba kamati za kudumu 4 za bunge zitaanza kukutana.

Familia yamtumia mwanaharakati Martin Maranja Masesa kupitia katika mitandao ya kijamii imevuja sauti ya moja ya wanafamilia mtoto wa msimamizi wa shughuli za serikali (PM) kuwa Martin MM alitumwa kuweka mambo sawa katika mitandao katika sakata hilo la ukwepaji kodi kuwa mzigo uliokamatwa wajitahidi mzee asitajwe.

Samia na chama kimejaribiwa;

Miongoni mwa vyama vikongwe vinavyotolewa mfano katika Afrika na dunia juu ya uimara wake, ukongwe wake na namna ya kinavyoweza kuhimili fukuto zake za ndani kikajisahihisha na kusonga mbele ni CCM. Kimeendelea kuwa ni mfano na hivi karibuni kinaweza kuingia katika rekodi ya kidunia kwa kuwa Chama kikongwe zaidi kubaki madarakani. Chama iko sasa kiko katika mtihani, kimejaribiwa.

-CCM inatajwa kuwa ni chama kinachosimamia misingi yake na chenye kujisahihisha kila pale kinapogundua kuwa kilifanya makosa yenye kukigharimu. Ndiyo maana katika sakata hili TRA wamekuwa wazi juu ya kukamatwa kwa mfanyabiashara Salome Mgaya.

Samia alifanya makosa, kosa kubwa lilikuwa ni kitendo cha kuruhusu kuishi na NYOKA ndani ya nyumba kama mtendaji Mkuu wa serikali akiamini kuwa “zimwi likujualo halikuli likakwisha” …ni kosa vitoto vya Nyoka kuanza kumea upya ndani Serikali.

Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Rais anayo mamlaka ya kuchagua na kupendekeza jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Issue kama hio sio ya kujiuzulu,Labda ujiuzulu wewe kupost huku jamii forum.🤣🤣🤣
 
Halafu Zungu anasema tuendelee kukamuliwa Tozo.
jawalrus.png
 
Hakuna wakujizuru, binadamu wa siku hizi ni wabishi ana...
 
Mzee umebandika hoja kali mno.

Spinners wakiishikia bango nchi itatikisika
 
Kwa hiyo Namungo nae amekwenda kula samaki za mwisho mwisho?????
 
Serikali hailogwi [emoji23][emoji23][emoji23]…. Tunajua ni mchawi kweli hadi kupeleka Moshi kwenye gari la Magu haikuwa mchezo, apeleke Moshi TRA
ngoja tusubiri moshi wamepeleka wahuni sio Mama Mgaya, muda utaongea serikali ina individuals they will be dealt with kila mmoja na dhuluma yake, innocent majini yatamwacha lakini wahuni watanyonywa damu yote
 
Hiyo nafasi itaenda KWA INOCENT KAMA IKIWA HIVYO!!NIMEONA INOCENT AKISOGEZWA KAMA KETE YA DRAFT HADI KINGI!!
hahah bashungwa awe waziri mkuu pupuuu what a shame, labda kama anajiandaa kupinduliwa nawaapia hili jaribu la kumsogeza bashungwa karibu maeneo nyeti mtajionea mengi. Mungu wafunue watanzania wajua classes ya citizens na regions zao , uzalendo na uaminifu wao kwa mama tanzania sio kila mtu anafaa kuwa karibu na jikoni
 
Back
Top Bottom