Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

Haya ndiyo matokeo ya elimu yetu ya sasa, ikiwa ni mpango maalum wa CCM kuididimiza nchi.

Tanzania itafanikiwa vipi kwa kuwa na watu wake wenye uwezo wa aina hii kielimu!

Hii karibia ni katika nyanja zote, siyo tu hii ya uandishi.
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake! In Saa Mia voice!
 
Sukuma gang wanazijua akili zao wenyewe...
Lini Majaliwa alijitoa sukuma Gang….?? Huyu si ndiyo alipewa nafasi ya kuzunguka nchi nzima kwenye kampeni Mwaka 2020.
 
Back
Top Bottom