Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
Kumuathili[emoji777][emoji777]Yangu nimeiweka kwa dhumuni la kumuathili kisaikolojia ninaye mpinga hoja, nikimpinga then akiiona avatar yangu ana imagine kama ninamng'ong'a furani vile.
Missing you too my super wifi.Wifi angu wa pekee kabisaaa.Miss you [emoji7][emoji7]
Nilijua tu kama utakuwa hivyo madame B..Ila hapo kwenye aibu nina doubts [emoji848]
Waoooooooowaooooo
Thank you for the kind words!you're beautiful
Ndiooo ni mimi [emoji23][emoji23][emoji23].... Soma tena, nimeandika kabisa ni self love.Huyo mbona Kama wewe?
[emoji7][emoji7][emoji7] zimefikaaaMissing you too my super wifi.
Nisalimie shem wangu
Waaaaoh.Britanicca jina nilipewa Shuleni zamani sana maana kila updates za Dunia nilikuwa nazo ,Lakin pia Picha ya hapo kwa handle yangu watu Walisema nafikiri kama yeye
Britanicca
One of the best movies ever made aisee lakini pia muigizaji ni generational pia🤝Jack sparrow ,kipindi nikiwa na rasta nikizibana na kitambaa wana walinifaninisha na Jack, hivyo kwa I'd hii nikapata wazo la kuweka hiyo picha