Je, awamu ya sita ipo kwaajili tu ya kurekebisha makosa ya Awamu ya Tano?

Yes ukiwepo moyo wako mkuu najua ukikaa peke yako unashukuru maisha ya jpm kwa siri lakini amini nakwambia yote yanayofanyika sirini yatajulikana siku moja
Sijawahi kushiriki ushetani
 
Awamu iliyochukua muda mfupi kuliko awamu zote (Miaka mitano na nusu tu!) Lakini imefanya mambo makubwa kuliko awamu zingine zote [emoji16][emoji16][emoji16]JPM was the man aise [emoji119]
 
Awamu ya sita HAIPO. Ni ulaghai.

Ni uchaguzi upi ulioiweka awamu ya sita madarakani?

Watalazimisha wajulikane kuwa ni awamu ya sita lakini uhalisia wake ni kwamba bado ni awamu ya tano.

Hapo 2025 baada ya uchaguzi tutakuwa na awamu ya sita rasmi, na yote haya ya maigizo yatarudishwa kwenye awamu yake stahiki, awamu ya tano.
 
Hata kibiashara, lazima urekebishe makosa ndiyo ufanisi utakuja. Makosa yasiporekebishwa hatutaenda mbele!!! Tena watu waliumizwa sana lazima wafutwe machozi!!!!
 
Watanzania na wanasiasa kwani nani anadanganywa kwa mustakabali upi ?.

👉🏾Awamu ya sita, kivipi iwe awamu ya sita?


Mwenye jibu naomba anipe majibu yanayoeleweka, vinginevyo tunamdanganya nani hapa?.
 
Pumba tupu
 
Kila mwenye akili timamu anajua nn alikifanya yule iblis
 
Kumbe tanzania hakuna Corona afu bi mkubwa anasema ipo ..aisee bi mkubwa siyo mzalendo hata kidogo ila magufuli alikiwa jembe kwerikweri ....au nasema uongo ndugu yangu ..msema kweri ni mpenzi wa mungu na razima ukweri usemwe
 
Hata mjinga hujiona mwerevu
 
Kweli mleta mada umefubaa akili. wewe uoni kuwa mwendazake nchi aliifanya isiwe ya kistaarabu? Mama Kaletwa na Mungu kuleta ahueni
 
Hata awamu ya tano ilitumika kuchinja awamu ya nne tena awamu ya nne ilidhihakiwa sana utafikiri hakuna kizuri kilichofanyika
 
Labda wazungu wa chato
Mwambie mtoto wako shujaa wa africa ni mmoja tuu alitokea Tanzania mpaka baraza la umoja wa mataifa kuket kuheshimu uongozi wake uliotukuka wazungu sio wapumbavu kama wewe na watu wa aina yako
 
Siyo kurekebisha makosa ya awamu ya tano tu bali kurejesha taswira Na haiba ya nchi iliyochafuliwa na jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…