Mayotte
Senior Member
- Nov 19, 2021
- 160
- 405
Unafikiri lawama zake za kipuuzi zinaweza kubadili chochote kile??ndio mana nikamshauri jambo LA maana awatafutie watoto wake ugali kuliko kupoteza muda kwa mambo yaliyo juu ya uwezo.Ukishasema raisi, unatakaje watu waachane nae? Hakuna mtu aliyemtuma kuwa rais, hivyo Kama Kuna lawama au pongezi ni haki ya wananchi wote
Hilo LA ugali ndio LA maana sana kwake kuliko hizo nyenyenye zake zinazompotezea muda bure.