Tuzalishe tuuze nje kwa wingi na bidhaa nyingi tuchakate wenyewe,hivi Masudi Kipanya angejaza zile kilikuu nchi nzima tungeokoa kiasi gani cha mafuta ya magariKabla ya tozo hizi mpya, nchi ilikuwa inaendeshwa na nini?
Unamfahamu mtu anaitwa Job Ndugai?
Unafahamu kwamba nusu ya pesa yote inayokusanywa inalipa mikopo na mariba matupu?!