Je, baada ya kuona video hii, Rais Samiah Suluhu anaweza kudiriki kukopa tena pesa nje ya nchi?

Je, baada ya kuona video hii, Rais Samiah Suluhu anaweza kudiriki kukopa tena pesa nje ya nchi?

Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo?

View attachment 2114691

================================
Update: 15/02/2022

================================
Update: 19/02/2022

Show this to the stupid puppet African leaders and tell them in capital letters that hao wazungu mnaojipendekeza kwao Wana ajenda moja tu kuhakikisha mnabaki maskini daima dumu maana mkiamka tu wao wamekwisha ila nani atakuelewa? I cry for mother Africa
 
Huwa nasononeka sana kumuona mtu nnayeamini amesoma akiamini na kuyasadiki mashudu anayoyasoma mtandaoni..Eti familia za kiluminati,mara et zinamiliki dunia,
pole sana brother,ila dunia nnayoishi mimi haimilikiwi na binadamu yoyote yule,labda unayoishi wewe
Kuna mengi yanayoendelea duniani behind the scenes usiyoyajua na hutokaa uyajue
 
Naungana nae mkono umasikini wetu umesababishwa na sisi wenyewe na sio wao.
Watawala wa kiafrica ndio chanzo cha waafrika kuwa masikini na ndio chanzo cha waafrika kudharaulika.
NI KWELI
NGUVU KUBWA INATUMIKA KUKUSANYA MAPATO, NGUVU KUBWA INATUMIKA KUTUMIA HAYO MAPATO!
 
Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo?

View attachment 2114691

================================
Update: 15/02/2022

================================
Update: 19/02/2022

Mpaka leo post hii ina thamani
 
Namuona kama anafakamia kukopa tu bila kujali hiyo mikopo itakuja lipwa vipi na athari zake!

Ameagiza ndege kama sifa bila hata kufanya cost:/benefit analysis!! Ndege zilizopo haziendi hata South Africa na Ulaya kuogopa kukamatwa sababu ya madeni; hizo mpya zitakwenda mwezini?
Hawa viongozi wakiafrika wanaangalia zaidi maslahi yao, kuhusu kulipa si wanajua tupo milioni 50 tutalipa
 
Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo?

View attachment 2114691

================================
Update: 15/02/2022

================================
Update: 19/02/2022

Alishaiona kitambo
 
Naungana nae mkono umasikini wetu umesababishwa na sisi wenyewe na sio wao.
Watawala wa kiafrica ndio chanzo cha waafrika kuwa masikini na ndio chanzo cha waafrika kudharaulika.
Nakuunga mkono 100% Mimi ningekuwa Raisi ningewaleta wazungu wakawa washauri wangu na sector zote za serikali wakawa wasimamizi wao leo karne ya ishirini na moja, Maji na umeme hakuna hii ni aibu sana kwa taifa ,Mungu kaipendelea sana Tanzania lakini hatuna viongozi wenye vision ,tuna viongozi wezi tu .Viongozi wa afrika wamefeli ktk uongozi hawana dira ya maendeleo wapo wapo tu.
 
Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo?

View attachment 2114691

================================
Update: 15/02/2022

================================
Update: 19/02/2022

Hivi unajua export trade ndo inapunguza inflation,je wajua kuwa mataifa yote makubwa yanachapisha note zao wenyewe na kutafuta nchi ya kutakatishia.Je wajua hao walioandaa kombe la dunia walikuwa wanatafuta sehemu ya kupeleka minoti yao.Je wajua nchi kubwa lazima zikopeshe ili pesa yao ipate thamani.Je wajua vita na siraha za wakubwa ndo eneo la kucheza na akili za dunia nzima,Naomba tulime Parachichi, Korosho kwa wingi,Mkonge,na Miti migumu,Nyerere aliona mbali kuanzisha viwanda lakini fisi maji walivimaliza.Unaambiwa Marekani na china wanagombea ardhi huko mwezini kila mtu anatafuta kumzidi mwenzie. Tufanye Kazi za ubunifu sio kubana mbavu kama ilivyomkuta Kipanya na Tesla yake ya kibongo.Tuuzw nje Parachichi.Na napenda tujue kuwa kila mtu atambue bidhaa zote za kaliakoo sio mali yetu ni ya Kutoka nje.
 
Naungana nae mkono umasikini wetu umesababishwa na sisi wenyewe na sio wao.
Watawala wa kiafrica ndio chanzo cha waafrika kuwa masikini na ndio chanzo cha waafrika kudharaulika.
Tunaagiza vitu vingi mno nje na hatuuzi nje vitu.Pesa inalipa madeni na huduma zote technically ni za nje,Angalia TTCL inavyoshindwa kuteka soko,angalia midola tunayoagiza mafuta nje,wake up call hata mikonge mo ndo anapeleka nje,he is naturally not from us black.
 
Back
Top Bottom