Je, baada ya kuona video hii, Rais Samiah Suluhu anaweza kudiriki kukopa tena pesa nje ya nchi?

Ukishasema raisi, unatakaje watu waachane nae? Hakuna mtu aliyemtuma kuwa rais, hivyo Kama Kuna lawama au pongezi ni haki ya wananchi wote
Unafikiri lawama zake za kipuuzi zinaweza kubadili chochote kile??ndio mana nikamshauri jambo LA maana awatafutie watoto wake ugali kuliko kupoteza muda kwa mambo yaliyo juu ya uwezo.

Hilo LA ugali ndio LA maana sana kwake kuliko hizo nyenyenye zake zinazompotezea muda bure.
 
Nimelima mahindi yangu ,mbona bei nimepanga mwenyewe na watu wamenunua [emoji848] Au sijaelewa????[emoji23]
 
Embu achana na Rais,fanya mambo yako.watafutie wanao ugali wale basi, Rais embu achana nae tafadhali.
Nauliza, baada ya kuona video hii, atadiriki kukopa pesa kwa hao kwenye mataasisi yao kukopesha ilihali lengo lao ameshalisikia hapo kwenye video?
 
Baada ya kuona hii video, atadiriki kurudia tena ile kauli yake juu ya mikopo?
 
Unataka afuate nyayo za nanilii akope halafu aseme ni hela zetu wenyewe🐒
 
Unataka afuate nyayo za nanilii akope halafu aseme ni hela zetu wenyewe🐒
Aendelee kukusanya kodi, mbona tozo ni nyingi mno?! Why anaingia kwenye mtego ambao umeshadhirika kwenye video hiyo?!
 
hivi kwa akili yako tozo zinatosha kuendesha nchi? hivi hujui Bajeti ya Tanzania haijawahi kujitosheleza bila ufadhili wa mataifa hisani?
Kabla ya tozo hizi mpya, nchi ilikuwa inaendeshwa na nini?

Unamfahamu mtu anaitwa Job Ndugai?

Unafahamu kwamba nusu ya pesa yote inayokusanywa inalipa mikopo na mariba matupu?!
 
Jiwe aliijaribu akaishia kuitwa shetani
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…