Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
This was just a comedy movie
Regardless, kilichosemwa ni ukweli ambao tumekuwa tukiupigia kelele huku kwa miaka mingi!This was just a comedy movie
Yeah! Though ni ukweli ambao hautakuja kufanyika kweli daima dumuRegardless, kilichosemwa ni ukweli ambao tumekuwa tukiupigia kelele huku kwa miaka mingi!
Show this to the stupid puppet African leaders and tell them in capital letters that hao wazungu mnaojipendekeza kwao Wana ajenda moja tu kuhakikisha mnabaki maskini daima dumu maana mkiamka tu wao wamekwisha ila nani atakuelewa? I cry for mother AfricaMama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo?
View attachment 2114691
================================
Update: 15/02/2022
================================
Update: 19/02/2022
Kuna mengi yanayoendelea duniani behind the scenes usiyoyajua na hutokaa uyajueHuwa nasononeka sana kumuona mtu nnayeamini amesoma akiamini na kuyasadiki mashudu anayoyasoma mtandaoni..Eti familia za kiluminati,mara et zinamiliki dunia,
pole sana brother,ila dunia nnayoishi mimi haimilikiwi na binadamu yoyote yule,labda unayoishi wewe
NI KWELINaungana nae mkono umasikini wetu umesababishwa na sisi wenyewe na sio wao.
Watawala wa kiafrica ndio chanzo cha waafrika kuwa masikini na ndio chanzo cha waafrika kudharaulika.
Unakuta mtu anatumia kodi zetu kudhamini timu ya mpira au kununua mabus.NI KWELI
NGUVU KUBWA INATUMIKA KUKUSANYA MAPATO, NGUVU KUBWA INATUMIKA KUTUMIA HAYO MAPATO!
Mpaka leo post hii ina thamaniMama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo?
View attachment 2114691
================================
Update: 15/02/2022
================================
Update: 19/02/2022
Hawa viongozi wakiafrika wanaangalia zaidi maslahi yao, kuhusu kulipa si wanajua tupo milioni 50 tutalipaNamuona kama anafakamia kukopa tu bila kujali hiyo mikopo itakuja lipwa vipi na athari zake!
Ameagiza ndege kama sifa bila hata kufanya cost:/benefit analysis!! Ndege zilizopo haziendi hata South Africa na Ulaya kuogopa kukamatwa sababu ya madeni; hizo mpya zitakwenda mwezini?
Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo?
View attachment 2114691
================================
Update: 15/02/2022
================================
Update: 19/02/2022
Nakuunga mkono 100% Mimi ningekuwa Raisi ningewaleta wazungu wakawa washauri wangu na sector zote za serikali wakawa wasimamizi wao leo karne ya ishirini na moja, Maji na umeme hakuna hii ni aibu sana kwa taifa ,Mungu kaipendelea sana Tanzania lakini hatuna viongozi wenye vision ,tuna viongozi wezi tu .Viongozi wa afrika wamefeli ktk uongozi hawana dira ya maendeleo wapo wapo tu.Naungana nae mkono umasikini wetu umesababishwa na sisi wenyewe na sio wao.
Watawala wa kiafrica ndio chanzo cha waafrika kuwa masikini na ndio chanzo cha waafrika kudharaulika.
Hivi unajua export trade ndo inapunguza inflation,je wajua kuwa mataifa yote makubwa yanachapisha note zao wenyewe na kutafuta nchi ya kutakatishia.Je wajua hao walioandaa kombe la dunia walikuwa wanatafuta sehemu ya kupeleka minoti yao.Je wajua nchi kubwa lazima zikopeshe ili pesa yao ipate thamani.Je wajua vita na siraha za wakubwa ndo eneo la kucheza na akili za dunia nzima,Naomba tulime Parachichi, Korosho kwa wingi,Mkonge,na Miti migumu,Nyerere aliona mbali kuanzisha viwanda lakini fisi maji walivimaliza.Unaambiwa Marekani na china wanagombea ardhi huko mwezini kila mtu anatafuta kumzidi mwenzie. Tufanye Kazi za ubunifu sio kubana mbavu kama ilivyomkuta Kipanya na Tesla yake ya kibongo.Tuuzw nje Parachichi.Na napenda tujue kuwa kila mtu atambue bidhaa zote za kaliakoo sio mali yetu ni ya Kutoka nje.Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo?
View attachment 2114691
================================
Update: 15/02/2022
================================
Update: 19/02/2022
Tunaagiza vitu vingi mno nje na hatuuzi nje vitu.Pesa inalipa madeni na huduma zote technically ni za nje,Angalia TTCL inavyoshindwa kuteka soko,angalia midola tunayoagiza mafuta nje,wake up call hata mikonge mo ndo anapeleka nje,he is naturally not from us black.Naungana nae mkono umasikini wetu umesababishwa na sisi wenyewe na sio wao.
Watawala wa kiafrica ndio chanzo cha waafrika kuwa masikini na ndio chanzo cha waafrika kudharaulika.