C Camp 05 JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 3,016 Reaction score 2,883 Jan 6, 2023 #61 FRANCIS DA DON said: Kabla ya tozo hizi mpya, nchi ilikuwa inaendeshwa na nini? Unamfahamu mtu anaitwa Job Ndugai? Unafahamu kwamba nusu ya pesa yote inayokusanywa inalipa mikopo na mariba matupu?! Click to expand... Tuzalishe tuuze nje kwa wingi na bidhaa nyingi tuchakate wenyewe,hivi Masudi Kipanya angejaza zile kilikuu nchi nzima tungeokoa kiasi gani cha mafuta ya magari
FRANCIS DA DON said: Kabla ya tozo hizi mpya, nchi ilikuwa inaendeshwa na nini? Unamfahamu mtu anaitwa Job Ndugai? Unafahamu kwamba nusu ya pesa yote inayokusanywa inalipa mikopo na mariba matupu?! Click to expand... Tuzalishe tuuze nje kwa wingi na bidhaa nyingi tuchakate wenyewe,hivi Masudi Kipanya angejaza zile kilikuu nchi nzima tungeokoa kiasi gani cha mafuta ya magari
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 6, 2023 #62 Hili mbona linajulikana...
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Jan 6, 2023 Thread starter #63 Smart911 said: Hili mbona linajulikana... Click to expand... Deni la taifa limeshafika trillioni 90, tushtuke aisee
Smart911 said: Hili mbona linajulikana... Click to expand... Deni la taifa limeshafika trillioni 90, tushtuke aisee