Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Inaonekana kama mtu anakuchukia, hakupendi Irani kwa sasa au anakuona we ni tishio kwake anapendekeza upewe/uteuliwe cheo flani. Akipendekeza ukiteuliwa au chaguliwa anaanza kukuhesabia siku.
Huo ndo uhuni unaofanyika Irani. Mtu hakupendi anakupendekeza upate cheo. Basi baada ya hapo anatulia akikusifu na kukupamba kuwa wewe ni shupavu akijua tu Wayahudi wakikujua tu UMEKWISHA. JAMBO HILI KUNA VIONGOZI NI KAMA WAMESHTUKA.
Wakichaguliwa wanasema wanaumwa wanaenda kutibiwa Urusi. Wanaona ni bora wakae kule au China watakuwa salama. Kuliko kuwa viongozi Iran.
Nimewaza kama wairan wanaweza kutangaza nafasi hizo kwa mtu yeyote halafu tupendekeze Samuya na Migulu waende.