Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,089
- 4,816
Nyie mnaolea watoto legs lege ndio mnasababisha wawe mashogaHaya mambo mengine ni child abuse, unyanyasaji wa watoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mnaolea watoto legs lege ndio mnasababisha wawe mashogaHaya mambo mengine ni child abuse, unyanyasaji wa watoto.
Jamaa mtoto wake "Junya" akikosea huwa anamyima Simu asicheze game.Nyie mnaolea watoto legs lege ndio mnasababisha wawe mashoga
Duuuh, mkuu nimesoma hii story yaani nikama ni mimi niehadithia maana inarandana kabisa na mzee wangu kanali mstaafu. Tifauti tu ni kwamba yeye alikuwa kanali ila sio kmaeneo ya kusini mwa Tanzania bali hapahapa dar.Baba yangu alikuwa kanali wa jeshi la wananchi (jwtz)huko kusini mwa Tanzania mkoa unaozalisha mahindi kwa wingi hapa nchini mzee wetu alikuwa mkali Sana
Nakumbuka mwaka 2008 wakati Mimi nko darasa la sita ,kaka yangu mkubwa first born yupo form one na mdogo angu marehemu kwa Sasa (r.i.p) tulipewa kazi ya kubeba tofali 100 Mimi na Kaka, mdogo wetu abebe tofali 50 na sehemu zilipokuwa tofali ni mbali Sana hakuna gari unabeba kichwani unavuka Kama mitaa 3 mikubwa nakumbuka siku Ile tulibeba tofali mpaka unalia njia nzima unapumzika ukikutana mtu mnaye fahamiana anakupiga tafu kidogo,nakumbuka bimkubwa alikuwa ana toa machozi kutuhurumia na sauti kwa mzee hana ilibidi tupambane tu
Tukio lingine home tulikuwa na eneo kubwa mzee alipanda miti ya matunda na migomba kila mtu alipewa miti yake ole wake mti wako unyauke utachezea fimbo na adhabu zakutosha
Ukirud shuleni baada ya kula unachukua ndoo zako unaenda mtoni kuchota maji tulikuwa tunaisha karibu na mto na usiku ata arudi saa 6 anachukua tochi anapita kugagua kila mti Kama umepata maji ya kutosha ole wako usimwagilie utaenda mtoni usiku kuchota maji umwagilie
Nakumbuka nilikuwa mchezaji mzuri Sana wa mpira nishachaguliwa Sana umintashuta na umisenta kwenda kuwakilisha shule kwenye soka Ila tatizo mzee alikuwa hataki kusikia habari za mpira alichotaka yeye ni kusoma tu na saa 12 jioni uwe ndani kipaji kikapotea...
Tukio lingine nyumbani tulikuwa tunafuga kuku Kuna siku moja kuku mmoja jogoo kumbe hakulala ndani na sisi hatukukagua na tulikuwana na jogoo mmoja tu kwa wakati huo usiku kumbe mzee ajalala anasikilizia saa 9 jogoo awike kimya saa 11 alfrajiri Tena kimya jogoo ajawika akatoka kwenda chumba Cha kuku kuangalia kumbe yule jogoo hayupo nakumbuka tuliamsha wote nyumba nzima tukatafute kuku Hadi tumpate ilikuwa kasheshe kila pori tunatafuta hatuna ata tochi tulifanikiwa kumpata asubuhi kesi ikaisha
Ni matukio mengi Sana yalitokea home mzee alikuwa mafia afu acheki ovyo majirani walikuwa wanamuogopa Sana
Nw kastaafu yupo nyumbani tu Japo ukali umepungua wajukuu na ndugu wanaoishi pale wananienjoy tu
Kama kawaida unaleta shombo za logical non sequitur za kawaida kwa wabongo.Nyie mnaolea watoto legs lege ndio mnasababisha wawe mashoga
Hayo ndo maisha ya wajeda from kambini to nyumban.....doso oyeeeeBaba yangu alikuwa kanali wa jeshi la wananchi (jwtz)huko kusini mwa Tanzania mkoa unaozalisha mahindi kwa wingi hapa nchini mzee wetu alikuwa mkali Sana
Nakumbuka mwaka 2008 wakati Mimi nko darasa la sita ,kaka yangu mkubwa first born yupo form one na mdogo angu marehemu kwa Sasa (r.i.p) tulipewa kazi ya kubeba tofali 100 Mimi na Kaka, mdogo wetu abebe tofali 50 na sehemu zilipokuwa tofali ni mbali Sana hakuna gari unabeba kichwani unavuka Kama mitaa 3 mikubwa nakumbuka siku Ile tulibeba tofali mpaka unalia njia nzima unapumzika ukikutana mtu mnaye fahamiana anakupiga tafu kidogo,nakumbuka bimkubwa alikuwa ana toa machozi kutuhurumia na sauti kwa mzee hana ilibidi tupambane tu
Tukio lingine home tulikuwa na eneo kubwa mzee alipanda miti ya matunda na migomba kila mtu alipewa miti yake ole wake mti wako unyauke utachezea fimbo na adhabu zakutosha
Ukirud shuleni baada ya kula unachukua ndoo zako unaenda mtoni kuchota maji tulikuwa tunaisha karibu na mto na usiku ata arudi saa 6 anachukua tochi anapita kugagua kila mti Kama umepata maji ya kutosha ole wako usimwagilie utaenda mtoni usiku kuchota maji umwagilie
Nakumbuka nilikuwa mchezaji mzuri Sana wa mpira nishachaguliwa Sana umintashuta na umisenta kwenda kuwakilisha shule kwenye soka Ila tatizo mzee alikuwa hataki kusikia habari za mpira alichotaka yeye ni kusoma tu na saa 12 jioni uwe ndani kipaji kikapotea...
Tukio lingine nyumbani tulikuwa tunafuga kuku Kuna siku moja kuku mmoja jogoo kumbe hakulala ndani na sisi hatukukagua na tulikuwana na jogoo mmoja tu kwa wakati huo usiku kumbe mzee ajalala anasikilizia saa 9 jogoo awike kimya saa 11 alfrajiri Tena kimya jogoo ajawika akatoka kwenda chumba Cha kuku kuangalia kumbe yule jogoo hayupo nakumbuka tuliamsha wote nyumba nzima tukatafute kuku Hadi tumpate ilikuwa kasheshe kila pori tunatafuta hatuna ata tochi tulifanikiwa kumpata asubuhi kesi ikaisha
Ni matukio mengi Sana yalitokea home mzee alikuwa mafia afu acheki ovyo majirani walikuwa wanamuogopa Sana
Nw kastaafu yupo nyumbani tu Japo ukali umepungua wajukuu na ndugu wanaoishi pale wananienjoy tu
Mchaka mchaka wa familia [emoji23][emoji23][emoji23]𝑫𝒖𝒉, 𝒗𝒊𝒋𝒂𝒏𝒂 𝒕𝒆𝒑𝒆𝒕𝒆𝒑𝒆 𝒃𝒂𝒏𝒂....𝒔𝒊𝒆 𝒕𝒖𝒍𝒊𝒌𝒖𝒂 𝒎𝒑𝒌 𝒕𝒖𝒏𝒂 𝒎𝒄𝒉𝒂𝒌𝒂𝒎𝒄𝒉𝒂𝒌𝒂 𝒘𝒂 𝒇𝒂𝒎𝒊𝒍𝒊𝒂, 𝒏𝒅𝒐 𝒌𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒖𝒘𝒂𝒉𝒊 𝒔𝒉𝒖𝒍𝒆, 𝒔𝒂𝒂 12 𝒌𝒂𝒎𝒊𝒍𝒊 𝒛𝒊𝒏𝒂𝒉𝒆𝒔𝒂𝒃𝒊𝒘𝒂 𝒏𝒂𝒎𝒃𝒂....
Mkuu wazee wa kibosho wako vipiSasa ungezaliwa kule kibosho. Upitie chini ya wale wazee wetu ungesemaje.
Kiuchumi home tuko vizuri mpaka Leo sio sababu etu umasikini Ila mzee alitaka kutufundisha maisha Japo kwa upande mwingine tuliteseka lkn kila nyumba Kuna malezi yake na Sheria zakeNi umasikini na stress ndio zilizokuwa zinamsumbua mzee wenu.
Mtoto wa darasa la sita hauwezi kumbebesha tofali 100 tena umbali wa mita 250..mzee wenu alikuwa hana pesa ya kuwalipa watu wabebe tofali akaona awatumie nyinyi.
Tambua kazi zinaendana na umri ukimpa mtoto kazi ngumu lazima mtoto atadumaa.
Hata sisi baba yetu alikuwa major general lakini hajawahi kutuendesha kama punda
Oyeee doso tulizoeana sana haipiti wiki lazima mmoja achezee dosoHayo ndo maisha ya wajeda from kambini to nyumban.....doso oyeeee
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Kama kawaida unaleta shombo za logical non sequitur za kawaida kwa wabongo.
Wapi nimesema nalea watoto lege lege? Unajua kusoma kwa ufahamu wewe ngumbaru mtovu wa nidhamu?
Hujajua hata kama nina mtoto ushanipa malezi tayari.
Wewe ushoga lazima utakuwa unaupenda kisirisiri, ndiyo maana kila kitu wazo la kwanza ushoga.
Ujinga mtupu.
Mkuu ukweri mtupu wazee walitufundisha ili tupambane na dunia ya Sasa respect nyingi Sana kwaoDuuuh, mkuu nimesoma hii story yaani nikama ni mimi niehadithia maana inarandana kabisa na mzee wangu kanali mstaafu. Tifauti tu ni kwamba yeye alikuwa kanali ila sio kmaeneo ya kusini mwa Tanzania bali hapahapa dar.
Ukali na adhabu zilizopitoliza, aliogopwa mpaka na majirani zake wanajeshi pale kota za maofisa.
Tulipohamia uraiani majirani pia walimwogopa sana.
Enzi hizo mzee ukikosea hakuna kuulizana zaidi ya adhabu na viboko kama mwizi.
Akifuatwa na gari kwenda kazini, gari yake hupandi wakati huo unakwenda shule hata kama gari inapita jirani na shule yako na usafiri ni shida, na akikukuta barabarani anakupita kama hakujui .
Kitu kimoja tofauti ni kuwa mshua huyu pamoja na ukali wake alikuwa anatupatia pesa mingi za matumizi bunafsi kiasi kwamba kwa upande wa bata hakuwa mgumu. Nikiwa ps nilikuwa napewa pesa nyingi za shuleni.
Nyumbani pombe zilikuwa hazikosi, makreti ya bia konyagi. Hakuwa mlevi alikuwa anakunywa kwa nidhamu sana.
Akiwa barabarani na gari yake hata polisi waliisoma namba kwake.
Familia hatukuwa na amani ndani, watoto tulimwogopa sana. Yaani mpaka leo ilituathiri kisaikolojia, tumeshakuwa watu waazima bado hatuwezi kujiachia nae japo una mwona kwa sasa anatamani tuwe karibu ila inashindikana.
Wajukuu zake ndio wako nae karibu kuliko wanae, tunapiga story sana ila huwa tuko strait kwenye stori tunaogopa kuingiza utani kwenye stori japo yeye anatamani tutaniane walau ila ndio hivyo tena too late hakutulea hivyo tuwe karibu.
Maisha yale yamenifanya niwapende sana wanangu na niwe nao karibu, niwasikilize na kushea nao maoni yao.
Kiufupi maisha yale yalinifanya leo hii niweze kuishi mazingira yoyote na niweze kuishi na kila mtu.
Mkuu walitufundisha ili tupambane na dunia ya Sasa unaishi kwenye mazingira yeyote ata ukiwa ugenini unaheshimu taratibu za paleHahaaaaaaa, baba akiwa askari watoto mnapata tabu sana. Umenikumbusha mbali sana, si tulilima usiku tukitumia taa ya chemli. Ila alitufundisha maisha ambayo unaishi popote na unaishi na yoyote. Hakuwa anatudekeza, alikuwa anatukazia na sasa tunaona Matunda yake. R.I.P Swai
Kweli mkuu mapapai yamekuwa mengiAlifanya vyema maana aliwaandaa kwa ajili ya kupambana na hii dunia ya kiwaki.
Angezubaa mngekua mchele mchele, vijana rojo rojo mnaopenda kuita ita dadi .
ENDELEZA moto huo huo kwa wanao.
Mwanaume ukipenda kudekezwa huchelewi kufinywa kajicho.
Hongera nyingi ziende kwa huyo soja.
Angalia maisha yako ya sasa, yameathiriwa vibaya au vizuri na namna mzee alivyowalea.Baba yangu alikuwa kanali wa jeshi la wananchi (jwtz)huko kusini mwa Tanzania mkoa unaozalisha mahindi kwa wingi hapa nchini mzee wetu alikuwa mkali Sana
Nakumbuka mwaka 2008 wakati Mimi nko darasa la sita ,kaka yangu mkubwa first born yupo form one na mdogo angu marehemu kwa Sasa (r.i.p) tulipewa kazi ya kubeba tofali 100 Mimi na Kaka, mdogo wetu abebe tofali 50 na sehemu zilipokuwa tofali ni mbali Sana hakuna gari unabeba kichwani unavuka Kama mitaa 3 mikubwa nakumbuka siku Ile tulibeba tofali mpaka unalia njia nzima unapumzika ukikutana mtu mnaye fahamiana anakupiga tafu kidogo,nakumbuka bimkubwa alikuwa ana toa machozi kutuhurumia na sauti kwa mzee hana ilibidi tupambane tu
Tukio lingine home tulikuwa na eneo kubwa mzee alipanda miti ya matunda na migomba kila mtu alipewa miti yake ole wake mti wako unyauke utachezea fimbo na adhabu zakutosha
Ukirud shuleni baada ya kula unachukua ndoo zako unaenda mtoni kuchota maji tulikuwa tunaisha karibu na mto na usiku ata arudi saa 6 anachukua tochi anapita kugagua kila mti Kama umepata maji ya kutosha ole wako usimwagilie utaenda mtoni usiku kuchota maji umwagilie
Nakumbuka nilikuwa mchezaji mzuri Sana wa mpira nishachaguliwa Sana umintashuta na umisenta kwenda kuwakilisha shule kwenye soka Ila tatizo mzee alikuwa hataki kusikia habari za mpira alichotaka yeye ni kusoma tu na saa 12 jioni uwe ndani kipaji kikapotea...
Tukio lingine nyumbani tulikuwa tunafuga kuku Kuna siku moja kuku mmoja jogoo kumbe hakulala ndani na sisi hatukukagua na tulikuwana na jogoo mmoja tu kwa wakati huo usiku kumbe mzee ajalala anasikilizia saa 9 jogoo awike kimya saa 11 alfrajiri Tena kimya jogoo ajawika akatoka kwenda chumba Cha kuku kuangalia kumbe yule jogoo hayupo nakumbuka tuliamsha wote nyumba nzima tukatafute kuku Hadi tumpate ilikuwa kasheshe kila pori tunatafuta hatuna ata tochi tulifanikiwa kumpata asubuhi kesi ikaisha
Ni matukio mengi Sana yalitokea home mzee alikuwa mafia afu acheki ovyo majirani walikuwa wanamuogopa Sana
Nw kastaafu yupo nyumbani tu Japo ukali umepungua wajukuu na ndugu wanaoishi pale wananienjoy tu
Mlikuwa mnafundishwa maisha.Baba yangu alikuwa kanali wa jeshi la wananchi (jwtz)huko kusini mwa Tanzania mkoa unaozalisha mahindi kwa wingi hapa nchini mzee wetu alikuwa mkali Sana

Umefaidika aje na haya mateso? Pole kwa kufiwa na ndogo wako, natumaini hakufariki akiwa anapitia mateso ya mzazi wake.Baba yangu alikuwa kanali wa jeshi la wananchi (jwtz)huko kusini mwa Tanzania mkoa unaozalisha mahindi kwa wingi hapa nchini mzee wetu alikuwa mkali Sana