Je, baba alitutesa au alitufundisha maisha?

Namkubali sana kamanda Swai hakika vijana wake aliwaivisha vema 👏👏 apumzike kwa amani 🙏
 
Ni vizuri aliishia kuwa Kanali tu maana angeendelea cheo kingine angeharibu kazini kwa namna fulani. Kuna nchi huwa wanafuatilia unavyoishi na familia na majirani zako na wafanyakazi wenzako. Siku kazini ukimchapa kofi fundi alikuwa anarekebisha mlango, sahau kupanda cheo. Ukigombana na mashabiki kisa mpira hufai napo. Ukipiga watoto wako kiholela na kuwanyanyasa hufai. Ukimpiga mkeo na ikajulikana tena hapo acha kazi kama unataka. Ukitalikiana na mkeo na chanzo ni wewe kumsaliti au makosa unayo wewe chance za kupanda ngazi zinapungua more than 50%.

Sifa mojawapo za kamanda wa jeshi ni kuwa na common sense, good reasoning, risk assessment, morale na anger management. Mfano hapo usiku kuwaamsha mkatafute kuku alitakiwa azingatie usalama wenu (risk assessment) na saikolojia yenu (morale) kwanza kabla ya thamani ya jogoo, alitumia hasira.

Wabongo wengi watakwambia alikuwa anawajenga, wanaamini katika shida na kuteseka. Ndio haohao wanaamini kwenye kula ugali mkubwa ndio kupata nguvu.
Kwa uandishi wako nina hakika huna elimu kubwa na ambavyo aliwakomalia elimu.

Mambo mengine alikuwa strict which is good
 
mara nyingi watoto wanajiweka mbali anakuwa karibu pale anapokua na shida za kiujumla sasa hii kitu ni mbaya sana ndio maana watz wengi wazazi hawajui tabia zao
 
Ni vizuri aliishia kuwa Kanali tu maana angeendelea cheo kingine angeharibu kazini kwa namna fulani. Kuna nchi huwa wanafuatilia unavyoishi na familia na majirani zako na wafanyakazi wenzako. Siku kazini ukimchapa kofi fundi alikuwa anarekebisha mlango, sahau kupanda cheo. Ukigombana na mashabiki kisa mpira hufai napo. Ukipiga watoto wako kiholela na kuwanyanyasa hufai. Ukimpiga mkeo na ikajulikana tena hapo acha kazi kama unataka. Ukitalikiana na mkeo na chanzo ni wewe kumsaliti au makosa unayo wewe chance za kupanda ngazi zinapungua more than 50%.

Sifa mojawapo za kamanda wa jeshi ni kuwa na common sense, good reasoning, risk assessment, morale na anger management. Mfano hapo usiku kuwaamsha mkatafute kuku alitakiwa azingatie usalama wenu (risk assessment) na saikolojia yenu (morale) kwanza kabla ya thamani ya jogoo, alitumia hasira.

Wabongo wengi watakwambia alikuwa anawajenga, wanaamini katika shida na kuteseka. Ndio haohao wanaamini kwenye kula ugali mkubwa ndio kupata nguvu.
Kwa uandishi wako nina hakika huna elimu kubwa na ambavyo aliwakomalia elimu.

Mambo mengine alikuwa strict which is good
watanzania ni wabishi sana wanawekeza kwenye imani, misingi badala ya kuanguliza akili
 
Kama ni hayo tu hakua shida sana, labda kama kuna mengine, hilo la tofali tu ndo labda halipo sawa hayo mengine mzee aliupiga mwingi, watoto wa kiume mkilelewa kimama mtakua kama Hakika Reuben
Hata hilo la tofali aliupiga mwingi tu maana lilikua tukio la mara moja tu.

Ni muhimu sana kuwapitisha watoto kwenye mazingira ambayo yatawafundisha uvumilivu

Mzee alicheza kama pele
 
2008 ulikua darasa la 6 😳 JF iweke age groups 😀

Alichofanya dingi yenu ni unyanyasaji no more no less. Kuanzia maza hadi nyie watoto alikua anaona ni watumwa wake.
 
We tofali 100 tu unalia wenzio tulikua tunabeba tofari 5000 tunapanga tanuru. Kiufupi babayenu alikua anawaanda muwe watu ambao sio tegemezi hapo kesho. So apigiwe salute zake za kutosha KUDOS DINGI

Hakuna tuzo ya kuteseka acheni sifa za kipumbavu.
 
Ni vizuri aliishia kuwa Kanali tu maana angeendelea cheo kingine angeharibu kazini kwa namna fulani. Kuna nchi huwa wanafuatilia unavyoishi na familia na majirani zako na wafanyakazi wenzako. Siku kazini ukimchapa kofi fundi alikuwa anarekebisha mlango, sahau kupanda cheo. Ukigombana na mashabiki kisa mpira hufai napo. Ukipiga watoto wako kiholela na kuwanyanyasa hufai. Ukimpiga mkeo na ikajulikana tena hapo acha kazi kama unataka. Ukitalikiana na mkeo na chanzo ni wewe kumsaliti au makosa unayo wewe chance za kupanda ngazi zinapungua more than 50%.

Sifa mojawapo za kamanda wa jeshi ni kuwa na common sense, good reasoning, risk assessment, morale na anger management. Mfano hapo usiku kuwaamsha mkatafute kuku alitakiwa azingatie usalama wenu (risk assessment) na saikolojia yenu (morale) kwanza kabla ya thamani ya jogoo, alitumia hasira.

Wabongo wengi watakwambia alikuwa anawajenga, wanaamini katika shida na kuteseka. Ndio haohao wanaamini kwenye kula ugali mkubwa ndio kupata nguvu.
Kwa uandishi wako nina hakika huna elimu kubwa na ambavyo aliwakomalia elimu.

Mambo mengine alikuwa strict which is good
50% alitufundisha
50% tuliteseka
Uandishi sio kiwango Cha kupima elimu ya mtu kuandika na kupangilia uandishi vizuri nacho ni kipaji
Ubarikiwe mkuu kwa maoni yako
 
Ni vizuri aliishia kuwa Kanali tu maana angeendelea cheo kingine angeharibu kazini kwa namna fulani. Kuna nchi huwa wanafuatilia unavyoishi na familia na majirani zako na wafanyakazi wenzako. Siku kazini ukimchapa kofi fundi alikuwa anarekebisha mlango, sahau kupanda cheo. Ukigombana na mashabiki kisa mpira hufai napo. Ukipiga watoto wako kiholela na kuwanyanyasa hufai. Ukimpiga mkeo na ikajulikana tena hapo acha kazi kama unataka. Ukitalikiana na mkeo na chanzo ni wewe kumsaliti au makosa unayo wewe chance za kupanda ngazi zinapungua more than 50%.

Sifa mojawapo za kamanda wa jeshi ni kuwa na common sense, good reasoning, risk assessment, morale na anger management. Mfano hapo usiku kuwaamsha mkatafute kuku alitakiwa azingatie usalama wenu (risk assessment) na saikolojia yenu (morale) kwanza kabla ya thamani ya jogoo, alitumia hasira.

Wabongo wengi watakwambia alikuwa anawajenga, wanaamini katika shida na kuteseka. Ndio haohao wanaamini kwenye kula ugali mkubwa ndio kupata nguvu.
Kwa uandishi wako nina hakika huna elimu kubwa na ambavyo aliwakomalia elimu.

Mambo mengine alikuwa strict which is good

I couldn't agree more. Wabongo wanapenda sifa za kijinga. Mtu anakwambia yeye kateseka kuliko wewe as though kuna tuzo za mateso.

Unatesa watoto as if wanaenda vitani mwisho wa siku hata ajira wanakosa sasa umewaandaa na nini? Hayo mateso yanawafikisha wapi?

Ni bongo ambapo professor anaona sifa kufelisha wanafunzi kumbe inampa sifa mbaya mwenyewe kwamba hajui kufundisha na kuzalisha failures tu wanaozagaa mtaani.

Kuna kujenga mtu na kutesa mtu. Huyu dingi alikua mtesaji.
 
2008 ulikua darasa la 6 😳 JF iweke age groups 😀

Alichofanya dingi yenu ni unyanyasaji no more no less. Kuanzia maza hadi nyie watoto alikua anaona ni watumwa wake.
Mkuu umri ni namba tu nimeanza kuitambua jf kitambo kidogo

Malezi yako tofauti kila familia Ina misingi yake kwetu hatujamchukulia kama alitufanyia unyanyasaji Ila alitufundisha maisha na leo tumekua tunajua tuishi vipi kwenye mazingira tofauti na heshima ni muhimu Sana
 
Aliwalea vzur ww huwez kuwa na tabia ka za wale kataa ndoa mdingi alikuwa vzur wale jamaa wa kataa ndoa wamelelewa na ma single maza bhas ndo ivo weng wao n mchele mchele mtihan tu wallah
 
Ni matukio mengi Sana yalitokea home mzee alikuwa mafia afu acheki ovyo majirani walikuwa wanamuogopa Sana
Nw kastaafu yupo nyumbani tu Japo ukali umepungua wajukuu na ndugu wanaoishi pale wananienjoy tu
😅😅😅 Saiz watakuwa wanamchezea tu shavu na korodani dadekiiii
 
Mkuu umri ni namba tu nimeanza kuitambua jf kitambo kidogo

Malezi yako tofauti kila familia Ina misingi yake kwetu hatujamchukulia kama alitufanyia unyanyasaji Ila alitufundisha maisha na leo tumekua tunajua tuishi vipi kwenye mazingira tofauti na heshima ni muhimu Sana

Rejea kichwa chako "Je, baba alitutesa au alitufundisha maisha?" inaonesha huna uhakika.

Pili, ungeweza kucope na maisha vizuri tu au hata zaidi bila hayo mateso.

Wewe una mpango wa kumtesa hivyo mwanao? Unadhani bila hayo mateso hatofanikiwa? Ukipata jibu la hayo maswali utakua umepata jibu la swali lako.
 
Siwezi nikatumia nguvu au adhabu kwa mwanangu sababu najua changamoto zake Ila akizingua ntamzingua Mara mbili
 
Nakumbuka mama yetu ametusaidia Sana kubeba mchanga kwenye nyumba yetu mpya kipindi hicho mpaka tunamaliza gari nzima
Yan hata siku moja huwez kukuta wazazi wana hulka moja. Mwingine utaona mkali mwingine mtetezi.

Utashangaa huo moyo wa mama ndio ulimfanya Kanali amprnde. Ila kanali hataki kuwa mpole maana pale palipopungua mama anasawazisha na upole wa mama ukizidi baba anasawazisha kwa kuweka ukali.

Labda tupate uzoefu wa familia ambayo both baba na mama ni walokole / (wapole.) mie mpaka leo sijaona hiyo family.
 
Nakumbuka mama yetu ametusaidia Sana kubeba mchanga kwenye nyumba yetu mpya kipindi hicho mpaka tunamaliza gari nzima
Aliwafundisha kuthamini na kutambua fursa. Mfano kwenye tofali na mchanga sidhani kama atatokea yoyote kati yenu atakayetaka hata kuiona nyumba inaharibika au kuuzwa. Pia aliwaandaa vyema kuyakabili na kiyatekeleza majukumu ya kimaisha. Kwa mfano kwenye kumwagilia miti na bustani; na dunia ya sasa ndivyo ilivyo huwezi pata pale ambapo hujapaandaa/kuwekeza. Na pia dunia haina huruma ndio maana akawa anahakikisha anakula na nyinyi sahani moja kwenye maagizo yake. Aliwandaa vyema na dunia yetu hii. Kongole nyingi kwake. Hata sisi kwetu tulipitia hayo; mwanzoni na kwa fikra za kitoto tuliona manyanyaso lakini baadae tuliona faida kubwa sana haswa tulipoanza kujitegemea au kwenda kuishi ugenini; wanashangaa vijana rika lakini sisi malezi tofauti na utekelezaji wa majukumu upo vizuri tofauti na wenyeji
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
Aisee ningetoloka nyumbani tatizo sio kutafuta jogoo ni mda alitutoa nje haukuwa rafiki afu ukichek tulikuwa watoto
Alifanya hivyo ili siku nyingine umakini na uwajibikaji uongezeke; sipati picha angekuwa amepotea au kuliwa na wanyama usiku huo ; nadhani mngepewa zamu ya kuwika kama jogoo alfajiri
 
Back
Top Bottom