Hii ilikuwa njia mzuri sana kumjenga na kumiimarisha mtoto anakuwa mwepesi kuchakata mambo hata alikutana na changamoto ukubwani..mtoto ajifunze kuwajibika kwa kufanya shughuli za nyumbani zinazomzunguka,inafikirisha toto linazaidi ya miaka 18 nyasi zimejaa uwanjani halijishighulishi kupalia wala kufyeka hill ni bomu zaidi ya nyuklia unafuga,hata ktk maisha ya kawaida huyo kijana hawezi kuwa soln ya matatizo,,kuna baadhi ya mwanachuo wanakera sana tena usiombe aje kufanyia field kwako analala naamka 2 hajishughulishi kwa chochote hata kufagia au kufanya shughuli yyte nyumbani anaondoka tu anasubiri aambiwe Aseme anateswa kwa kazi ambazo hata angekuwa kwao angezifanya..mzee.wako alikuwa sawa kabisa mkuu ,vijana wa sasa ni shida