Je, Baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea Ubunge?

Je, Baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea Ubunge?

Watu sijui kwanini tumeumbwa na kutoridhika. Huyu jamaa angejua angebaki na uchungaji kondoo wake tu mambo ya siasa angeyaacha tu au kama anahisi ni lazima kufanya siasa basi angekuwa low profile. Yale madudu yake ya mapicha ya uchi yatachokonolewa upyaaaaaaaaaaaa yaani. Kama alifanikiwa kuyazima kipindi kile ajiandae kwa maushahidi mapya sasa hivi.

Sijui ubunge unakuwaga na nini sijui, huyu mbona ameshafanikiwa tu hadi hapo alipo, anahisi akiwa mbunge atakuwa na pesa kuliko sasa? Au umashuhuri wake utaongezeka? Mbona ameshapiga bao sana tu hapo alipo.
 
Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.

Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?

Maendeleo hayana vyama!
Canon Law No 285(3): "Clerics (bishops, priests and deacons) are forbidden to assume public office whenever it means sharing in the exercise of civil power."
 
Back
Top Bottom