Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Yani unafikiri zile picha ndio zitasababisha Gwajima asipate ubunge?Watu sijui kwanini tumeumbwa na kutoridhika. Huyu jamaa angejua angebaki na uchungaji kondoo wake tu mambo ya siasa angeyaacha tu au kama anahisi ni lazima kufanya siasa basi angekuwa low profile. Yale madudu yake ya mapicha ya uchi yatachokonolewa upyaaaaaaaaaaaa yaani. Kama alifanikiwa kuyazima kipindi kile ajiandae kwa maushahidi mapya sasa hivi.
Sijui ubunge unakiwaga na nini sijui, huyu mbona ameshafanikiwa tu hadi hapo alipo, anahisi akiwa mbunge atakuwa na pesa kuliko sasa? Au umashuhuri wake utaongezeka? Mbona ameshapiga bao sana tu hapo alipo.
Na msiombe Gwajima aanze kujitetea kuhusu hizo picha, mbona mtaomba poo!
Ninachokiona hapa Chadema wanamhofia sana Gwajima.