Je, Baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea Ubunge?

Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.

Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?

Maendeleo hayana vyama!
Nadhani kwa ridhaa ya Kanisa lake anaweza kuwa
 
Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.

Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?

Maendeleo hayana vyama!
Anaweza akitaka lakini akiamua kuingia kwenye siasa atavuliwa upadre na uaskofu isipokuwa Kama Kuna mazingira ambayo Vatican (papa) ataona aruhusu.
 
Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.

Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?

Maendeleo hayana vyama!
Kwanza askofu wa Kanisa Katoliki akigombea ubunge anakuwa amejishusha sana, ni sawa na rais agombee udiwani. Pili Kanisa haliruhusu maaskofu na mapadre kuchukua nafasi za kisiasa labda kwa ruhusa maalumu ya Papa. Kuna askofu Amerika ya Kusini aliruhusiwa na Papa kuwa rais wa nchi kwa rukra maalumu na katika mazingira maalumu. Nafikiri ilikuwa kipindi cha mpito tu. Mara nyingi njaa ndio zinazowapeleka watu kugombea nafasi za siasa. Wahudumu wa Kanisa Katoliki hawana njaa hizo.
 
Watu sijui kwanini tumeumbwa na kutoridhika. Huyu jamaa angejua angebaki na uchungaji kondoo wake tu mambo ya siasa angeyaacha tu au kama anahisi ni lazima kufanya siasa basi angekuwa low profile. Yale madudu yake ya mapicha ya uchi yatachokonolewa upyaaaaaaaaaaaa yaani. Kama alifanikiwa kuyazima kipindi kile ajiandae kwa maushahidi mapya sasa hivi.

Sijui ubunge unakiwaga na nini sijui, huyu mbona ameshafanikiwa tu hadi hapo alipo, anahisi akiwa mbunge atakuwa na pesa kuliko sasa? Au umashuhuri wake utaongezeka? Mbona ameshapiga bao sana tu hapo alipo.
Labda anauwaza u-Chakwera.
 
Mh askofu Ni cheo Cha juu zaidi ya ubunge
Ukitaka kujua mtafute askofu mstaafu
Na mbunge Alie pigwa chini
Pili askofu Ni mtuu anaandaliwa muda mrefu na anapimwa toka mtoto
Ubunge Ni kazi ya urafiki na watu zaidi
Ikitokea akagombea atakuwa ameshusha
 
Kwanza askofu wa Kanisa Katoliki akigombea ubunge anakuwa amejishusha sana, ni sawa na rais agombee udiwani. Pili Kanisa haliruhusu maaskofu na mapadre kuchukua nafasi za kisiasa labda kwa ruhusa maalumu ya Papa. Kuna askofu Amerika ya Kusini aliruhusiwa na Papa kuwa rais wa nchi kwa rukra maalumu na katika mazingira maalumu. Nafikiri ilikuwa kipindi cha mpito tu. Mara nyingi njaa ndio zinazowapeleka watu kugombea nafasi za siasa. Wahudumu wa Kanisa Katoliki hawana njaa hizo.
👏👏
 
Practically, ukiliwaza jimbo kuu katoliki la Dar lenye wabunge kadhaa, lina askofu mmoja... AU jimbo kuu katoliki la Songea lenye majimbo kadhaa ya kisiasa, lina askofu mmoja, hivyo kieneo, kwenda kwenye ubunge ukitokea kwenye uaskofu ni kupunguza ukubwa wa eneo unalolitawala
 
Gwajima ile ni sawa na NGO binafsi,Policy,sheria na miongozo ya kanisa anatunga yeye.....so anaweza kufanya vyovyote vile maana kila kitu kipo chini yake,hao wengine wanaongozwa na sheria na kanuni zilizowekwa
Na ndiyo maana, maparokia mbalimbali yalishawahi kufiwa na maparoko wao, lakini maparokia hayo yapo vile vile... Lao hii mtazame Kakobe na kanisa lake...
 
Back
Top Bottom