johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Pia na wengine wakishajitangaza kuwa maaskofu wanajitangaza pia kuwa wanacheza filamu za ngonoHao maaskofu wakatoliki hawawez kugombea kwa sababu uaskofu wao hupewa na papa tofauti na hao wengine ambao hujitangaza kwa wafuasi wao kuwa ni maaskofu
Kwani papa Ni MUNGU? Nae si binadamu tuHao maaskofu wakatoliki hawawez kugombea kwa sababu uaskofu wao hupewa na papa tofauti na hao wengine ambao hujitangaza kwa wafuasi wao kuwa ni maaskofu
Dr Slaa aliasi muda mrefu sana bwashee na akaanzia siasa CCM kabla mzee Mtei hajamuajiri hapo Ufipa!Kwani mzee Slaa anasemaje??
kwa hiyo umepata jibu.Dr Slaa aliasi muda mrefu sana bwashee na akaanzia siasa CCM kabla mzee Mtei hajamuajiri hapo Ufipa!
Dr Slaa aliasi ili aoe.kwa hiyo umepata jibu.
Kwani Lijualikali ana mke?Hivi kwenye sifa za mgombea hakuna ile
Awe na mke au imekaaje
Hata mimi najiuliza tu. Kwenye harusi yake sikufikaKwani Lijualikali ana mke?
Canon Law No 285(3): "Clerics (bishops, priests and deacons) are forbidden to assume public office whenever it means sharing in the exercise of civil power."Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.
Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?
Maendeleo hayana vyama!
Siyo lazima bwashee...... ndio maana akina Kafulila na Nassari walioa wakiwa bungeni!Hata mimi najiuliza tu. Kwenye harusi yake sikufika
Ahsante mkuu.Canon Law No 285(3): "Clerics are forbidden to assume public office whenever it means sharing in the exercise of civil power."
Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.
Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?
Maendeleo hayana vyama!
Nimekuelewa mkuu!Kama kuna Kanisa lenye Watu very Intelligent and Intellectuals duniani ni la Katoliki. Hawana wala hawatokuwa na huu Upumbavu wa wengineo.
Kama kuna Kanisa lenye Watu very Intelligent and Intellectuals duniani ni la Katoliki. Hawana wala hawatokuwa na huu Upumbavu wa wengineo