Je bado wanawake wa Kijijini wanadumu kwenye ndoa za mjini?

Peter Mwaihola

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2022
Posts
289
Reaction score
489
Kuna dhana kuwa ni bora kijana wa mjini kuoa mwanamke wa kijijini kwa sababu hudumu zaidi kwenye ndoa kuliko wanawake wa mjini ambao wengi wao ni wajanja wajanja.

Watu wengi wenye mtazamo huu huzingatia kiwango cha heshima, uchapakazi na utulivu wa tabia kwa wanawake wa mjini ukifananisha na wale wa mjini.

Hata hivyo mtazamo huu unazidi kupoteza uungwaji mkono kutokana na matukio ya wanawake wengi wa kijijini yanayotokea kwenye ndoa zao pindi wanapoolewa mjini.

Hivi karibuni kuna tukio moja limetokea jijini Mbeya kwa kijana mmoja ambaye anajihusisha na kazi ya ufundi ujenzi kusalitiwa na mke wake ambaye alimuoa mwishoni mwa mwaka 2024.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu na kijana huyo anasema mwanamke huyo alipoolewa na mwanaume hakuwa na nambo mengi alikuwa mtulivu na mwenye heshima kwa mume wake na kwa majirani.

"Baada ya kuishi nae kwa miezi kadhaa, mwanaume aliamua kujibana kwa kipato chake cha kazi yake ya ujenzi akamtafutia mtaji ili asikae bure nyumbani afanye biashara ya kumpatia fedha ya kujikimu naaisha" anaeleza mtu wa karibu.

Anasema mwanamke huyo alipoanza kutoka kwenda kwenye biashara alikutana na marafiki ambao alizoeana haraka akaanza kubadilika kitabia kuwa kama wale wa mjini hata mume wake hakumheshimu Kama mwanzo.

"Baada ya muda akatoroka kwa mume wake na kwenda kuolewa Uyole kwa mwanume mwingine ambaye haijulikani walifahamiana lini".

Aneleza kuwa mwanaume alipopeleleza ili kujua wapi mke wake alipo ndipo alipoelezwa kuwa ameolewa kwa mwanaume mwingine pasipo kujua ni sababu gani iliyopelekea maamuzi hayo kwa sababu hawakuwa na ugomvi wowote.

Anasema baada ya mwanaume huyo kusikia taarifa ya usaliti huo aliamua kuendelea na shughuli zake lakini kwa bahati mbaya siku chache mbeleni alipata ajali katika kazi yake ya ujenzi kwa kuangukiwa na ukuta, ajali ambayo ilimsababishia jeraha kubwa usoni.

"baada ya ajali Ile alirudi Kijijini kuuguzwa na ndugu zake akakaa huko kwa miezi miwili alipopata nafuu akarejea tena mjini hata hivyo mwanamke huyo hajawahi kuja kumuona wala kupiga simu" anahitimisha.

Haielewaki ni sababu gani iliyopelekea mwanamke huyo kumsaliti mwanaume aliyemtoa kijijini kisha kwenda kuolewa na mwanaume mwingine.

© Peter Mwaihola
Photo_1746948136491.png
 
© Peter MwaiholaView attachment 3330770
Toka lini wanawake wa vijijini walidumu kwenye ndoa? Huo ujinga na mawazo ya kale Tu sasa hawa wanawake wanaotoka vijiji ndiyo wapumbavu zaidi kuliko hao wa mjini
 
Siku ukiona msichana anamiliki smatifoni kuanzia laki mbili jua huyo ni kahaba tayari. Hawa wanawake wa kijijini mwendo ni uleule kama wa mjini tu. Eti uoe mwanamke wa kijijini umlete mjini siku akilijua jiji hakuna rangi utaacha kuona
 
Back
Top Bottom