Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Mmempiga risasi na uchunguzi mkakataa kufanya ,akiongea mnaita propaganda, pumbaf sana mbwa nyieHio katiba alio apa nayo ndio ndani yake kuna takwa la kumheshimu na kumtii rais wa jamuhuri.
Lakini achaneni na propaganda za lisu, yeye ashukuru Mungu yu mzima sasa.
Ikumbukwe pia modestus ni mchungaji.
Ni muuaji kama boss wake aliyemtuma kuuaHeeeee
Huyo 'Raisi' unaye mtaja unamaanisha yupi? Kama ni Mh. Rais, unaye mlenga (bila shaka) hawi addressed namna hiyo!
HANA UCHUNGAJI WOWOTE NI MUUAJIMwacheni baba Mchungaji
Wewe utakuwa punguani. Lissu ukiacha kuwa ni raia wa nchi hii lakini pia alikuwa mbunge, kiongozi ndani ya bunge, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani na mtu mwenye ushawishi mkubwa.Angeutoa huo ushahidi bila shaka angeshajibiwa. Acheni porojo zenu bhana.
Hio katiba alio apa nayo ndio ndani yake kuna takwa la kumheshimu na kumtii rais wa jamuhuri.
Lakini achaneni na propaganda za lisu, yeye ashukuru Mungu yu mzima sasa.
Ikumbukwe pia modestus ni mchungaji.
Angeutoa huo ushahidi bila shaka angeshajibiwa. Acheni porojo zenu bhana.
Sio kila takwa la Rais linaweza kutimizwa au kuheshimiwa.Hio katiba alio apa nayo ndio ndani yake kuna takwa la kumheshimu na kumtii rais wa jamuhuri.
Lakini achaneni na propaganda za lisu, yeye ashukuru Mungu yu mzima sasa.
Ikumbukwe pia modestus ni mchungaji.
..Raisi aunde TUME YA UCHUNGUZI ili ukweli ujulikane.
Alikuwa akija Mwanza anasali pale KVCC Kirumba.Mwacheni baba Mchungaji
wewe na lisu hamna imani na vyombo vya dola kwenye utoaji wa msaada kwa hiyo mnataka kipilimba atoke majibu tuhuma gani?Autoe ushahidi kwa vyombo visivyokuwa tayari? Na hivyo vyombo haviko tayari maana ukweli wote unafahamika kuwa yale yalifanyika kwa maagizo ya dhalimu.
Watu kama nyie huwa natamani sana kuwatusi ila ngoja nikuache maana uko obsessed sana ndugh lisu.Wewe utakuwa punguani. Lissu ukiacha kuwa ni raia wa nchi hii lakini pia alikuwa mbunge, kiongozi ndani ya bunge, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani na mtu mwenye ushawishi mkubwa.
Kitendo cha kupigwa risasi mchana kwenye makazi ya viongozi kilikuwa kinaweza kuleta sintofahamu na hata machafuko ya nchi na hata kama polisi wangechunguza bado UWT walipaswa kuingilia kati.
Sasa wao kimya, kamera zimeng'olewa kimya, polisi wameondolewa lindoni kimya, na hakuna uchunguzi kimya.
Hapo Kapilimba na UWT yake wanakwepaje lawama hizo? Hata kama ni kupokea maagizo hivi huyo magu angemuagiza Kapilimba akamuue mama yake angefanya?
Wote ni walewale, wahalifu. Eti baadae mtu anajiita mchungaji? Mchungaji gani mikono michafu?
Na siku wamempokea Lowassa ndio siku chama kilikufa rasmi, imani waliyokua nayo kwa wananchi kabla ya kumpokea huyu mzee hawatokuja kuipata tena, KAMWE ASILANI.Uongo na unafiki ni sifa za kila mtanzania. Sasa ni chaguo lako kukubaliana na uongo wa mtu au kiongozi gani.
Kuanzia 2008 hadi 2014 hao jamaa (pichani) walitumia ujinga wa baadhi ya watanzania kuwadanganya habari za uongo kuhusu Lowasa.
Lakini Mungu sio Athuman, sio Mbowe wala Moses mwaka 2015 ukadhihirika uongo wao kupitia vinywa vyao wenyewe tena bila kuwaomba radhi watanzania kuhusu uongo ule wa Lowasa fisadi.
Hao jamaa pamoja na kuonesha kwamba wanatumia siasa za uongo kuwalaghai watanzania wajinga lkn mpaka leo bado wana chawa wao wanaowafuata na kuwasikiliza kila wanalosema mmoja wao ukiwa ni wewe.
Mwaka 2015 ndio mwaka niliokuja kuona kwamba Lisu ni mchumia tumbo tu kama ilivyo wachumia tumbo wengine. Hana ujanja wowote wa kusimamia anachokiamini.
Kwahiyo kwa sasa nani anamlinda ama kumuogopa "dhalimu"?Autoe ushahidi kwa vyombo visivyokuwa tayari? Na hivyo vyombo haviko tayari maana ukweli wote unafahamika kuwa yale yalifanyika kwa maagizo ya dhalimu.
Kwahiyo kwa sasa nani anamlinda ama kumuogopa "dhalimu"?
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app