Wewe utakuwa punguani. Lissu ukiacha kuwa ni raia wa nchi hii lakini pia alikuwa mbunge, kiongozi ndani ya bunge, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani na mtu mwenye ushawishi mkubwa.
Kitendo cha kupigwa risasi mchana kwenye makazi ya viongozi kilikuwa kinaweza kuleta sintofahamu na hata machafuko ya nchi na hata kama polisi wangechunguza bado UWT walipaswa kuingilia kati.
Sasa wao kimya, kamera zimeng'olewa kimya, polisi wameondolewa lindoni kimya, na hakuna uchunguzi kimya.
Hapo Kapilimba na UWT yake wanakwepaje lawama hizo? Hata kama ni kupokea maagizo hivi huyo magu angemuagiza Kapilimba akamuue mama yake angefanya?
Wote ni walewale, wahalifu. Eti baadae mtu anajiita mchungaji? Mchungaji gani mikono michafu?