Je, Balozi Kipilimba ni mzalendo?

Je, Balozi Kipilimba ni mzalendo?

Hio katiba alio apa nayo ndio ndani yake kuna takwa la kumheshimu na kumtii rais wa jamuhuri.

Lakini achaneni na propaganda za lisu, yeye ashukuru Mungu yu mzima sasa.

Ikumbukwe pia modestus ni mchungaji.
Mmempiga risasi na uchunguzi mkakataa kufanya ,akiongea mnaita propaganda, pumbaf sana mbwa nyie
 
Angeutoa huo ushahidi bila shaka angeshajibiwa. Acheni porojo zenu bhana.
Wewe utakuwa punguani. Lissu ukiacha kuwa ni raia wa nchi hii lakini pia alikuwa mbunge, kiongozi ndani ya bunge, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani na mtu mwenye ushawishi mkubwa.

Kitendo cha kupigwa risasi mchana kwenye makazi ya viongozi kilikuwa kinaweza kuleta sintofahamu na hata machafuko ya nchi na hata kama polisi wangechunguza bado UWT walipaswa kuingilia kati.

Sasa wao kimya, kamera zimeng'olewa kimya, polisi wameondolewa lindoni kimya, na hakuna uchunguzi kimya.
Hapo Kapilimba na UWT yake wanakwepaje lawama hizo?

Hata kama ni kupokea maagizo hivi huyo magu angemuagiza Kapilimba akamuue mama yake angefanya?

Wote ni walewale, wahalifu. Eti baadae mtu anajiita mchungaji? Mchungaji gani mikono michafu?
 
Hio katiba alio apa nayo ndio ndani yake kuna takwa la kumheshimu na kumtii rais wa jamuhuri.

Lakini achaneni na propaganda za lisu, yeye ashukuru Mungu yu mzima sasa.

Ikumbukwe pia modestus ni mchungaji.

Hata Kibwetere alikuwa mchungaji, je nini kilitokea kwenye nyumba yake ya ibada? Huyo Kipilimba yuko kwenye uchungaji kimkakati lakini sio kiimani.
 
Hio katiba alio apa nayo ndio ndani yake kuna takwa la kumheshimu na kumtii rais wa jamuhuri.

Lakini achaneni na propaganda za lisu, yeye ashukuru Mungu yu mzima sasa.

Ikumbukwe pia modestus ni mchungaji.
Sio kila takwa la Rais linaweza kutimizwa au kuheshimiwa.
Kasome kuhusu "Nuremberg defense"
 
Kuhusu dictator JPM kuongea, umesahau kuwa kauli ya raisi ni AMRI?? Wakimbuka kilichofuata baada ya kuharamisha mikutano ya siasa???

Update and refresh your memory jamaa
 
Autoe ushahidi kwa vyombo visivyokuwa tayari? Na hivyo vyombo haviko tayari maana ukweli wote unafahamika kuwa yale yalifanyika kwa maagizo ya dhalimu.
wewe na lisu hamna imani na vyombo vya dola kwenye utoaji wa msaada kwa hiyo mnataka kipilimba atoke majibu tuhuma gani?
Hata sheria hamzijui ila kubwabwaja tu.
 
Wewe utakuwa punguani. Lissu ukiacha kuwa ni raia wa nchi hii lakini pia alikuwa mbunge, kiongozi ndani ya bunge, kiongozi wa chama kikuu cha upinzani na mtu mwenye ushawishi mkubwa.
Kitendo cha kupigwa risasi mchana kwenye makazi ya viongozi kilikuwa kinaweza kuleta sintofahamu na hata machafuko ya nchi na hata kama polisi wangechunguza bado UWT walipaswa kuingilia kati.
Sasa wao kimya, kamera zimeng'olewa kimya, polisi wameondolewa lindoni kimya, na hakuna uchunguzi kimya.
Hapo Kapilimba na UWT yake wanakwepaje lawama hizo? Hata kama ni kupokea maagizo hivi huyo magu angemuagiza Kapilimba akamuue mama yake angefanya?
Wote ni walewale, wahalifu. Eti baadae mtu anajiita mchungaji? Mchungaji gani mikono michafu?
Watu kama nyie huwa natamani sana kuwatusi ila ngoja nikuache maana uko obsessed sana ndugh lisu.
 
Sio kazi ya Mshtakiwa kuithibitishia mahakama kuwa hakutenda kosa,, hiyo ni kazi ya mlalamikaji,,

Kipilimba amemuchia Lissu maana ndiye anayewajibika kuthibitisha tuhuma dhid ya Kipilimba
 
Uongo na unafiki ni sifa za kila mtanzania. Sasa ni chaguo lako kukubaliana na uongo wa mtu au kiongozi gani.

Kuanzia 2008 hadi 2014 hao jamaa (pichani) walitumia ujinga wa baadhi ya watanzania kuwadanganya habari za uongo kuhusu Lowasa.

Lakini Mungu sio Athuman, sio Mbowe wala Moses mwaka 2015 ukadhihirika uongo wao kupitia vinywa vyao wenyewe tena bila kuwaomba radhi watanzania kuhusu uongo ule wa Lowasa fisadi.

Hao jamaa pamoja na kuonesha kwamba wanatumia siasa za uongo kuwalaghai watanzania wajinga lkn mpaka leo bado wana chawa wao wanaowafuata na kuwasikiliza kila wanalosema mmoja wao ukiwa ni wewe.
Mwaka 2015 ndio mwaka niliokuja kuona kwamba Lisu ni mchumia tumbo tu kama ilivyo wachumia tumbo wengine. Hana ujanja wowote wa kusimamia anachokiamini.
Na siku wamempokea Lowassa ndio siku chama kilikufa rasmi, imani waliyokua nayo kwa wananchi kabla ya kumpokea huyu mzee hawatokuja kuipata tena, KAMWE ASILANI.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom