Baraka zipo lakini tusisahau ile laana ya asili pale EdenWakuu, habari za leo! Natumai jumapili iko poa kwenu..
Kama kichwa kinavyosema.. je baraka za Mungu tuzihesabu kupitia mafanikio yetu ya kimwili kama pesa, majumba, magari ya kifahari, mke mrembo,simu kali na mengne mengi... Au kuna namna nyingine anaweza kuwa anatubariki ila sisi hatujui.?
Kwa nn nasema hivi??
Nimeona mara nyingi watu tukipitia changamoto tunahisi labda tumemkwaza Mungu kwa namna fulani...Na tunaanza kuhc wale ambao mambo yanawaendea vema basi Mungu anawapa favour...SIJUI ninyi mnaonaje..
KARIBUNI TULIJADILI HILI.
Mkuu umenena vema, lakini je unamaanisha kuwa Mungu ana upendeleo?? na hapo pa kumsahhsha Mungu, je yeye anataka nini kutoka kwetu...Baraka zipo lakini tusisahau ile laana ya asili pale Eden
Baraka zipo lakini kwenye mikanganyiko ya maisha watu huchuma laana
Baraka zipo lakini kwenye harakati za maisha watu hujaribu kumsahihisha Mungu
Baraka zipo lakini watu wanapofinywa kidogo tu hukimbilia upande wa giza
Baraka zipo lakini kila mmoja wetu ana kipimo chake[emoji1545]
Sawa mkuu lakin mbona kuna watu weng wenye mali, wanafanya uovu wa kutisha,, je Mungu anakuBaliana nao,?Na kufanikiwa Mali pia kumo, moja Kati ya baraka za mwenyezi Mungu Ni Mali.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Kumbukumbu La Torati 8:18.Wakuu, habari za leo! Natumai jumapili iko poa kwenu..
Kama kichwa kinavyosema.. je baraka za Mungu tuzihesabu kupitia mafanikio yetu ya kimwili kama pesa, majumba, magari ya kifahari, mke mrembo,simu kali na mengne mengi... Au kuna namna nyingine anaweza kuwa anatubariki ila sisi hatujui.?
Kwa nn nasema hivi??
Nimeona mara nyingi watu tukipitia changamoto tunahisi labda tumemkwaza Mungu kwa namna fulani...Na tunaanza kuhc wale ambao mambo yanawaendea vema basi Mungu anawapa favour...SIJUI ninyi mnaonaje..
KARIBUNI TULIJADILI HILI.
Matajiri hufanya kwa matakwa yao wenyewe lakini Mungu huwa hapendezwi kamwe na hizo tabia zao.Nimesoma hapo! lakini wapo wenye mafanikio ya kimwili yaani pesa af wanafanya uovu tena sometimes wa kutisha je Mungu anakubaliana nao???!
MUNGU hakubaliani nao kamwe, pia si kila Tajiri hutokana na baraka za Mungu, wapo wengine wenye utajiri wa masharti ya nguvu za giza.Nimesoma hapo! lakini wapo wenye mafanikio ya kimwili yaani pesa af wanafanya uovu tena sometimes wa kutisha je Mungu anakubaliana nao???!
Mkuu ahsante kwa jbu hili! kumbe kuwa tajir au maskin sio kesi kwa Mungu!! jambo la msingi ni kufuata njia zake. sio?! sasa hii feeling ya kuhc Mungu katuacha na anatuadhibu tukipata changamoto za kiuchumi au kiafya na nyngne nyng huwa inatoka wap?....Matajiri hufanya kwa matakwa yao wenyewe lakini Mungu huwa hapendezwi kamwe na hizo tabia zao.
Umesahau Mfalme Nebuchadnezzar alivyoshushwa toka juu hadi kupelekwa kule kondeni?
MITHALI 28:6
Afadhali maskini aendaye katika unyofu wake,
Kuliko mpotofu wa njia angawa ni tajiri.
Mkuu umeniacha njia panda, tafadhal nieleweshe hapo kwenye namna ya kuucheza mchezo wa maisha!.. af kumbe na Shetani nae anatoa mali! s Mungu tu.?Jibu utalipata katika Biblia , Yesu alipopandishwa mlimani na shetani na kuahidiwa Mali ya Dunia kama atamsujudi. Kwa ufupi ni jinsi unavyocheza mchezo wa maisha.
Mungu hana upendeleo ndio maana hutoa vyote kwa wote bila upendeleoMkuu umenena vema, lakini je unamaanisha kuwa Mungu ana upendeleo?? na hapo pa kumsahhsha Mungu, je yeye anataka nini kutoka kwetu...
nimekuelewa mkuu.Mungu hana upendeleo ndio maana hutoa vyote kwa wote bila upendeleo
Hutoa pumzi, jua, na hali zote za hewa kulingana na jiografia ya mahali bila kumbagua huyu na kumpa yule
Wanaotaka kumsahihisha Mungu ni wanadamu wasioridhika na kipimo chao