Je, Barcelona wamestahili kipigo dhidi ya Bayen Munich?

QUOTE="msomi uchwara, post: 36356233, member: 459677"]
Barca walistahili hiki kipigo
[/QUOTE]
Wakajpange upya
 
"Hawakutani na timu kutoka Bundes liga, wanakutana na timu bora kabisa ulimwenguni Barcelona"

- Vidal -

Majibu akayapata
 
Unapigwa nane alafu usema haustahili...., Kwahio nani anastahili
 
Majamaa hayana huruma kabisa yale [emoji23][emoji23] na kama zingeongezwa dakika tano nadhani tungekuwa tunazungumzia goli kumi,,, kiufupi wametudhalilisha ila sio kesi ndio soka hilo
Hans Flick mwenyewe alijikuta anakosa furaha kwa jinsi alivyowadhalilisha Barcelona na vijana wake walikuwa hawataki utani walikuwa wanapiga tu.
 
Uingereza, Spain, Italy sijui wapi huko promo tu ndo huwa zinawabeba, lakini kiuhalisia mpira uko Ujerumani

Mi nafuatiliaga ligi zote, ikiwemo Bundesliga.

Natamani siku Man City akutane na hawa jamaa muone atakavopigwa
 
Ujerumani waliaibishwaje huo mwaka?
 
Spain ya 2005 to 2010 iliwasaidia sana Barcelona academy nyingi zilizalisha wachezaji wenye vipaji vikubwa sana ikiwemo La Masia.

Sasa hivi Spain ni kama wamepoteana tena hawaibui tena vipaji vipya ambavyo vitaishi muda mrefu.
 
Tamati kivipi?
Kama Ni ligi ya Spain bado wataendelea kupokezana na Real Madrid, Ila kwa UEFA walikuwa wamekwisha tangia mwaka 2013 walipopigwa 7-0 na Bayern
Next season Atletico atakuwa serious title contender.
 
Ngoja nisome comments Nicheke[emoji38][emoji1787]

Sio kwa VITASA vile vya jana
 
Hii team tunaizungumzia saa ngap wadau... maana walichomfanya barcelona ni hatari...

Yaan wanashinda lakin kocha wao bado anapga kelele wakaze dah...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38] Yule kocha mkatili Sana, VIJANA wanafunga yeye hashangilii Wala Nini.

Anazidi kuwasisitiza wawaongezee dozi[emoji38]
 
A
Anko kila nikiutafuta usingizi namwona muller, Lewandowski, alaba, coutinho ndo anakuja kwa fujo Karibu na Macho yangu... Sijawahi fadhaika kama hivi tangu nianze kucheki football [emoji17][emoji17]
[emoji12]Ulkutana na KICHAPO heavy
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38] Yule kocha mkatili Sana, VIJANA wanafunga yeye hashangilii Wala Nini.

Anazidi kuwasisitiza wawaongezee dozi[emoji38]
Walipofunga goli la saba niliona amepoteza furaha ghafla.

Ilikuwa dhariri kubwa sana kwa kocha wa Barcelona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…