Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
watagNgoja waje wajuzi wa izi kazi Ata mimi pia ningependa kufahamuView attachment 2358898
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Soma hizi na ukiweza practiceToka kujielewa kwangu mimi nimependa sana kurahisisha kazi ila kama tujuavyo mashine zinaturahisishia kazi ila sidhani kama inazidi miujiza najua kuna wataalamu wengi humu waje watueleze
mimi binafsi napenda miujiza ya kunyanyua vitu bila kushika ni jinsi gani nitafanya hili bila kutumia majini au dawa fulaani yaani mimi kama mimi as human
pdf napata wapiSoma hizi na ukiweza practice
Meditation
Levitation
Telekinesis na vitabu vyote vinavyofundisha natural powers usikose pia kusoma ANALECTS
White wizardryNgoja waje wajuzi wa izi kazi Ata mimi pia ningependa kufahamuView attachment 2358898
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Zama mtandaoni ujisevie tani yakopdf napata wapi
ahsante sana na swali je wewe unaweza fanya hiyo miujizaZama mtandaoni ujisevie tani yako
Zamani kwa kiasi chakeahsante sana na swali je wewe unaweza fanya hiyo miujiza
why not now ikawa zamani nikwamba nguvu hupotea au kunamaagano nyuma yakeZamani kwa kiasi chake
Telekinesis
Telekinesis ni nguvu za kiasili lakini pia kupitia meditation yoga na ushirikina waweza pia pata hizi nguvu na hata kupitia imani ya kishetani NDUKI anaweza kuja kuongeza neno hapa Ama kwa hakika sijaja kutengua neno, ama kuongeza neno kwani yale yaliyonenwa yana uzito sawa na yale ambayo...www.jamiiforums.com
sidhani kamma ujasemayo yana maana kwetu ila ndio maana nimesema bila ya kutumia irizi au kijiniKuna watu wana Makarama, Hawa huwa wanapimwa kwa mizani, na kujua wanayo yafanya ni katika ushirikina au nje ya Ushirikina.
Wafanyao miujiza kwa Ushirikima Hawa ni vipenzi vya wa Shetani. Ushirikima ni katika dhambi kunwa.
Bali wapo wale ambao ni vipenzi vya Mola, Hawa huwa wana karama hupimwa kwa mizani ya wema wao, tabia njema kufata mafundisho sahihi ya dini na hawapendi kujulikana. Mpaka uwajue ni kazi sana.
Wanazuoni wameandika vitabu kwa vitabu kuwazungumzia Vipenzi vya Shetani na Vipenzi vya Mola muumba.
Tunasema hivi ukijua sababu ajabu huondoka.
Muhammad mpaka anakufa hakuwahi fanya muujiza na watu wakaona , je hakuwa kipenzi Cha Mola?Kuna watu wana Makarama, Hawa huwa wanapimwa kwa mizani, na kujua wanayo yafanya ni katika ushirikina au nje ya Ushirikina.
Wafanyao miujiza kwa Ushirikima Hawa ni vipenzi vya wa Shetani. Ushirikima ni katika dhambi kunwa.
Bali wapo wale ambao ni vipenzi vya Mola, Hawa huwa wana karama hupimwa kwa mizani ya wema wao, tabia njema kufata mafundisho sahihi ya dini na hawapendi kujulikana. Mpaka uwajue ni kazi sana.
Wanazuoni wameandika vitabu kwa vitabu kuwazungumzia Vipenzi vya Shetani na Vipenzi vya Mola muumba.
Tunasema hivi ukijua sababu ajabu huondoka.
Ushirikina si Hirizi tu. Hata hayo aliyo yataja Mshana Jr yanaingia katika Ushirikina.sidhani kamma ujasemayo yana maana kwetu ila ndio maana nimesema bila ya kutumia irizi au kijini
Mtume Muhammad Ali Fanya miujiza mingi. Kila Mtume aliye kuja alipewa miujiza kama nyenzo ya kuwafanya watu wamuamini yaani sababu ya kufanya watu wamuamini. Huu ni mwenendo wa Allah kwa Waja wake anao wateua.Muhammad mpaka anakufa hakuwahi fanya muujiza na watu wakaona , je hakuwa kipenzi Cha Mola?
Nipe muujiza na habari ya mashuhuda ?Mtume Muhammad Ali Fanya miujiza mingi. Kila Mtume aliye kuja alipewa miujiza kama nyenzo ya kuwafanya watu wamuamini yaani sababu ya kufanya watu wamuamini. Huu ni mwenendo wa Allah kwa Waja wake anao wateua.
Walio bakia wenye kufanya mambo ambayo si ya kawaida wale ambao ni WA kweli kuwajua ni ngumu sana, hukuti wakijinadi Wala kuwaita watu katika kapq
Wewe umefanikiwa?Mtafute ISSY SIMPSON youtube atakufundisha kufanya miujiza ikiwemo ku-move objects with your mind.
Muujiza wa kwanza ni hii Qur'aan. Mashahidi ni si Waislamu na watu wote wenye akili timamu na kutafakari.Nipe muujiza na habari ya mashuhuda ?
Nimecheka πππ sana kubali tu Muhammad hakuwahi kuwa na muujiza ukaonekanaMuujiza wa kwanza ni hii Qur'aan. Mashahidi ni si Waislamu na watu wote wenye akili timamu na kutafakari.