Je, binadamu anawezaje kufanya miujiza?

Je, binadamu anawezaje kufanya miujiza?

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Toka kujielewa kwangu mimi nimependa sana kurahisisha kazi ila kama tujuavyo mashine zinaturahisishia kazi ila sidhani kama inazidi miujiza najua kuna wataalamu wengi humu waje watueleze

mimi binafsi napenda miujiza ya kunyanyua vitu bila kushika ni jinsi gani nitafanya hili bila kutumia majini au dawa fulaani yaani mimi kama mimi as human
 
Ngoja waje wajuzi wa izi kazi Ata mimi pia ningependa kufahamu
20220904_153850.jpg

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Toka kujielewa kwangu mimi nimependa sana kurahisisha kazi ila kama tujuavyo mashine zinaturahisishia kazi ila sidhani kama inazidi miujiza najua kuna wataalamu wengi humu waje watueleze

mimi binafsi napenda miujiza ya kunyanyua vitu bila kushika ni jinsi gani nitafanya hili bila kutumia majini au dawa fulaani yaani mimi kama mimi as human
Soma hizi na ukiweza practice
Meditation
Levitation
Telekinesis na vitabu vyote vinavyofundisha natural powers usikose pia kusoma ANALECTS
 
ahsante sana na swali je wewe unaweza fanya hiyo miujiza
Zamani kwa kiasi chake

Zamani kwa kiasi chake

why not now ikawa zamani nikwamba nguvu hupotea au kunamaagano nyuma yake

pole kwa maswali mengi
 
Kuna watu wana Makarama, Hawa huwa wanapimwa kwa mizani, na kujua wanayo yafanya ni katika ushirikina au nje ya Ushirikina.

Wafanyao miujiza kwa Ushirikima Hawa ni vipenzi vya wa Shetani. Ushirikima ni katika dhambi kunwa.

Bali wapo wale ambao ni vipenzi vya Mola, Hawa huwa wana karama hupimwa kwa mizani ya wema wao, tabia njema kufata mafundisho sahihi ya dini na hawapendi kujulikana. Mpaka uwajue ni kazi sana.

Wanazuoni wameandika vitabu kwa vitabu kuwazungumzia Vipenzi vya Shetani na Vipenzi vya Mola muumba.

Tunasema hivi ukijua sababu ajabu huondoka.
 
sidhani kamma ujasemayo yana maana kwetu ila ndio maana nimesema bila ya kutumia irizi au kijini
 
Muhammad mpaka anakufa hakuwahi fanya muujiza na watu wakaona , je hakuwa kipenzi Cha Mola?
 
Ushirikina si Hirizi tu. Hata hayo aliyo yataja Mshana Jr yanaingia katika Ushirikina.

Twende kwa uhalisia na mifano. Miujiza inayofanywa kwa njia ambazo hutumii hirizi na mfano wa hayo, unaijuaje na msingi wake ni ni ?
 
Muhammad mpaka anakufa hakuwahi fanya muujiza na watu wakaona , je hakuwa kipenzi Cha Mola?
Mtume Muhammad Ali Fanya miujiza mingi. Kila Mtume aliye kuja alipewa miujiza kama nyenzo ya kuwafanya watu wamuamini yaani sababu ya kufanya watu wamuamini. Huu ni mwenendo wa Allah kwa Waja wake anao wateua.

Walio bakia wenye kufanya mambo ambayo si ya kawaida wale ambao ni WA kweli kuwajua ni ngumu sana, hukuti wakijinadi Wala kuwaita watu katika karama zao.
 
Mtume Muhammad Ali Fanya miujiza mingi. Kila Mtume aliye kuja alipewa miujiza kama nyenzo ya kuwafanya watu wamuamini yaani sababu ya kufanya watu wamuamini. Huu ni mwenendo wa Allah kwa Waja wake anao wateua.

Walio bakia wenye kufanya mambo ambayo si ya kawaida wale ambao ni WA kweli kuwajua ni ngumu sana, hukuti wakijinadi Wala kuwaita watu katika kapq
Nipe muujiza na habari ya mashuhuda ?
 
Back
Top Bottom