asante mkuu, japo naonekana zwazwa ila mimi najiuliza sana,hawa watu wanamambo yao mengi sana kama kina Carl peters waliweza kufika na kupeleka taarifa tukaja kutawaliwa why sio hawa wa sasa,
kuna mzungu mwanamke alishawahi kukaa maeneo ya Malagarasi muyovosi, polini akitoa msaada Maliasili kuhifadhi Ardhi Oevu, alikaa kwa miaka kadhaa baadae akasepa na mambo yake wenzake walikuwa wanakuja na ndege straight mpaka eneo moja linaitwa Urambo then wanaelekea kule ambako kuna mambo yao yaliachwa muda mrefu sana,
any way, watakaonipinga waendelee