Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tukuulize wewe sasa..?Huyu hawezi kuwa spy??View attachment 1266513
umezungumza ya maanaKaoa Marangu? (Sina uhakika). FIFA, nchi yake nao wana mapenzi naye? Kama ni ndio kuna walakini kama ni hapana basi sawa. Anaweza kuwa mpenzi wa Tanzania tu au mdangaji wa kiuchumi au kisiasa kwa niaba ya wazee wake.
Siku unapewa talaka isiyoumiza ndio utaelewa ujasusi ni maisha ya kila siku. Ukae na mkeo ndani kwa ndoa ya halali ila vitanda tofauti kwa miaka kadhaa[emoji23][emoji23]Wabongo mmekuwa watu wa ovyooo sanaa sanaaa...!! Huyu jamaa anajitolea kuja kushangilia timu ya taifa sababu kamuoa mdada wa Kitz lakini nyie kwa kujikuta mnajua sana eti mnaanza kufikiria jamaa ni spy...[emoji23][emoji23][emoji23] Nyie ndo mkiona mtu kavaa suti kila siku ana maisha mazuri mnakimbilia kusema ni afisa usalama..!!
hahaha nimekuelewaSiku unapewa talaka isiyoumiza ndio utaelewa ujasusi ni maisha ya kila siku. Ukae na mkeo ndani kwa ndoa ya halali ila vitanda tofauti kwa miaka kadhaa[emoji23][emoji23]
Taifa linajengwa na familia imara. Cultural change ipo kwenye ujasusi. Unavuruga generation fulani. Ni project ambayo inaweza kuchukua muda..ila impact yake ni shida.
NB; Haya hayahusiani na mada hii.
Wazungu wanaweza kuanzisha project Leo ila matokeo yakatokea miaka 100 ijayo [emoji41][emoji41]Siku unapewa talaka isiyoumiza ndio utaelewa ujasusi ni maisha ya kila siku. Ukae na mkeo ndani kwa ndoa ya halali ila vitanda tofauti kwa miaka kadhaa[emoji23][emoji23]
Taifa linajengwa na familia imara. Cultural change ipo kwenye ujasusi. Unavuruga generation fulani. Ni project ambayo inaweza kuchukua muda..ila impact yake ni shida.
NB; Haya hayahusiani na mada hii.
Humu JF sijaona mtu kilaza kama rikiboy anahisi zile thread zake za kipuuzi zinazochangiwa sana ambazo wala sio constructive yeye ndio anaandika vitu vya maana, kumbe ni akili ya kuvukia barabara. Brother kama ulivyoshauliwa awali, rudi maktaba kaongeze maarifa, bado sana hautoshi kuwa humu.fala ni yupi, mbona unapaniki, na uzwazwa wako wa kufikiri bado ni mdogo sana
huyo jamaa shida sanaHumu JF sijaona mtu kilaza kama rikiboy anahisi zile thread zake za kipuuzi zinazochangiwa sana ambazo wala sio constructive yeye ndio anaandika vitu vya maana, kumbe ni akili ya kuvukia barabara. Brother kama ulivyoshauliwa awali, rudi maktaba kaongeze maarifa, bado sana hautoshi kuwa humu.
Anahitaji kuelimishwa, maana anaonekana ni mtu wa kukurupuka.huyo jamaa shida sana
😀😛😛😛😛😛eti nati zimekataUndercover unafikiri wanajiexpose hivyo.. Kujiweka mbele ya makamera kiasi hicho.. Jamaa yule yuko real sana na kuishi kwake TZ muda mrefu kunaonekana katika namna anavyozungumza kiswahili fasaha na ndiyo maana pia kawa na mapenzi na TZ. Mbona yuko wazi sana katika hili!! Sema tu kuna nati kama zimekata.
Vipi kuhusu watanzania wanaozipenda timu za Taifa za brazil,wingereza,ureno nk!!Hoja yako sio ya kupuuzwa japo watu wanakupinga.. Unaweza kuta hata ni undercover agent wa CIA
Babu yangu yupi? si ningekuwa black American ssaiv.. anyway kila mtu ana haki ya kusema na kufikiri kile anachoona ni sahihi lla kama nikuiexploit nchi yetu hiyo kazi sasahv inafanywa na viongozi wetu wenyewe no need at all to use secret agentskina Vasco Da Gama walifukuzia michongo kwa muda gani..? mpaka Babu yako akauzwa kama mtumwa
sijakuelewa bado ulikuwa unataka kuzungumza nini au kuwasilisha niniHivi tuna nini special ambacho CIA wanakitaka
Sidi tuna tofauti gani na zambia na nchi zilizotuzunguka?
Wabongo tunajimwambafai sana awamu hii wakati hapa daslam watu bado "wanakata gogo" kwenye vyoo vya shimo