Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
sijajua unakwama wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Negativity at its best. Yaani mtu kuishabikia timu yetu ya taifa akiwa na rangi tofauti na ya kwetu imekuwa tatizo mpaka tudhanie ana nia ovu na nchi yetu? Somo kubwa toka kwake ni kuwa tujifunze uzalendo na tuthamini vyetu hata kama havina hadhi kubwa. Haya ndio masomo makubwa najifunza toka kwake.
Umeanza kumuona kuanzia lini akishabikia timu yetu? Uwanja kawaida unakuwa na watu wengi sana. Ni vigumu kwa kamera kumulika watu wote uwanjani. Kuna uwezekano alikuwa anakuwepo uwanjani Ila kamera hazikuweza kummulika ndio maana hatukuweza kumuona kabla. Kuna uwezekano pia aliona timu yetu inakosa hamasa na ndio maana anatumia uwezo wake kutuamasisha.Mtoa uzi nadhan kauliza au kaweka hoja yake sidhani kama amefanya general conclusion. Amejarib kuibua hisia zke tu. Kwanini aanze kushabikia leo wakati taifa stars imeanza kucheza kitambo sana. Kama ni mapenz na nchi vp yameanza leo huko nyuma wakat anaish alikua hapendi?
watu wanavyocomment seems like mimi tayari nimeconclude kila kitu, wakati uzi unajieleza kabisaMtoa uzi nadhan kauliza au kaweka hoja yake sidhani kama amefanya general conclusion. Amejarib kuibua hisia zke tu. Kwanini aanze kushabikia leo wakati taifa stars imeanza kucheza kitambo sana. Kama ni mapenz na nchi vp yameanza leo huko nyuma wakat anaish alikua hapendi?
Sibishi unachokisema. Ila natoa tu angalizo. Inahitaji uwe kidogo una uelewa wa ujasusi ni nini katika sovereignty na dunia ya ujasusi inavyoenda ili uweze kuelewa concern ya watu wanaomtilia shaka Bongozozo. Ni vizuri tu vyombo vya usalama vikamfanyia vetting maana hakuna kitakachoharibika.That's according to your point of view mkuu i know this guy he loves attention toka zamani baada ya instagram ndo watu wengi wamemjua ila Iringa wengi wanamjua
hahahaha umenifurahisha sana, kuna mtaala utatungwa maalumu kwa ajili yake ili vitukuu viusomeHumu ndani kuna watu wavivu wakufikiri
Baada ya miaka kadhaa watu watasoma vitabu vya huyu jamaa
Na kazi yake itakua imekamilika pamoja nakupenda Taifa Star's nakuoa machame ila kuna issue behind
Muanzisha thread anazo instincts za kijasusi kama wengi wanaomtlia shaka Bongozozo. Tunaita sense ya sita-- uwezo wa kuconnect dots pale ambapo wengi hawaoni hizo dots.Nini kimekufanya umuhisi hivyo kuwa ni CIA au Mpelelezi?
Humu ndani kuna watu wavivu wakufikiri
Baada ya miaka kadhaa watu watasoma vitabu vya huyu jamaa
Na kazi yake itakua imekamilika pamoja nakupenda Taifa Star's nakuoa machame ila kuna issue behind