lutemi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 1,748
- 1,388
wananipuuza, wanachukulia poa, pia tunamuona kama jamaa kipa katoka, ila ndio mambo yake yeye yanakamilika
Ukimwangalia vizuri kama anajitoa ufahamu huyu jamaa mimi nadhani kuna kitu beyond that.
Kama nchi tusikurupuke kumpa uraia kama alivyopendekeza haji manara kwa mihemko.
Critical thinkers katika mambo ya nchi ni muhimu sana.
We need to rethink more and more also we need to have critical investigation