mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Jamani tuache uoga.Kabla sisi hatuendi AFcon hata sisi tulikuwa na timu zetu.Wengine walikuwa Nigeria,wengine Ghana,wengine senegal,cote d'voire,Misri,Tunisia N.k.Na watu walipenda hasa hizi timu.Fikilia watu wanaita timu yao bafanabafana au chipolopolo.Je,na Wazambia walipaswa wajiulize mapenzi ya Watz kwa timu yao ya taifa yanatoka wapi?
Mabeberu wabamiliki kila kitu kwa sasa satelait inaweza kupiga picha yoyote hapa bongo kama watahisi hatari kwao.Wana maundercover wabongo wengi ambao wanawainform kila linaloendelea wala hawana haja ya kuwatuma akina Bongozozo.