Richard s Mabala, Ricardo Maria nk ni mfano wa watu design ya Bongozozo ni binaadamu tusiwafikirie vibaya.
Bongozozo ni mzazi mwezie na dada yetu Mtanzania, hatujui katuwakilishaje huko kunako 6×6 mpaka shemeji kajikuta anapenda taifa zima.
leo hii kasimama nafasi ya mzalendo mhamasishaji, tusizubae zaidi ya kumuunga mkono,anaweza kutusaidia sana kujitangaza na hulka yake hiyo ya fujo zisizoumiza[emoji16][emoji16].wazee wenzangu wananipata hapa yaani awe double agent, yaani ametumwa halafu anatumika pia.
Hii ni nzuri sababu haitakuwa na hasara sana.