Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

Kukosa maarifa ya intelijensia kuna shida sana, ingekuwa una argue kwa gharama hakuna mtu angepinga.. Mtoa mada ametoa hisia zake kwa nia njema tu lkn ubongo ukiwa mdogo unakuja kama umeshikwa tako. [emoji23][emoji23], tuheshimu mawazo ya watu basi na tuchangie kistaarabu kama una mihemko better shut up your ass.
 
Wakuu salamu.

Kwa wale wataalamu wa maswala ya ushushushu, upelelezi n.k

Je,huyu jamaa anayejifanya anaipenda Tanzania kuliko sisi wazawa hawezi kuwa na elements zozote zile za kipelelezi.

Mbona anajichanganya sana na raia na nimeona sasa ameanza kujichanganya na Bashite na kama mjuavyo Bashite ni mtu mwenye connection kubwa sana na mzee wa kaya.

Nawasilisha.
 
rikiboy,
Tatizo unajadilli vitu kwa hisia za kisiasa. Huwazi watu wanaohakikisha upo salama na pumbu zako. Unadhani mambo yanatokea by default. Hivi unadhani hao Rwanda, Burundi, Congo DRC, Somalia, Kenya-Alshababu walikosa nini ambacho sisi tunacho?
hahahahahhaha wanahakikisha upo salama na...? hahaha
 
Muanzisha thread anazo instincts za kijasusi kama wengi wanaomtlia shaka Bongozozo. Tunaita sense ya sita-- uwezo wa kuconnect dots pale ambapo wengi hawaoni hizo dots.

Kwa kusema hivyo ni ngumu sana akakuelezea ukamuelewa kama huna hiyo karama. Wenye hiyo karama tumeshamuelewa. Ndiyo maana ujasusi ni taaluma inayohitaji akili nyingi.

Uzipokuwa na hizo akili za kuunganisha matukio kwa haraka huwezi kuwa jasusi mzuri. The fact kwamba wewe bado hujaona picha kubwa hufai kuambiwa details.

Waachie mada majasusi.😀😀😀😀😀
hahahahah akae kando
 
Salama gani sijui anaongeala huyo zuzu... watu wanatekwa na kuuliwa kila siku na waafrika wenzao leo fala mmoja anapiga kelele kuhusu bongozozo ana hatarisha usalama wetu kama sio Kukosa akili ni nini??
fala ni yupi, mbona unapaniki, na uzwazwa wako wa kufikiri bado ni mdogo sana
 
Nasikitika sana kuona hoja zinajibwa kwa kejeli.
Mara ooh mtu ameshiba ugali Wa shemeji mbona hivi wakuu. Huku sio Facebook.
Naomba nikusaidie kaka mkubwa mleta Uzi.
Suala la Bongo Zozo unaweza kulizungumzia kwenye milengo miwili tofauti.
1. Mlengo unaosimamia kuwa ni uzalendo Wa Jamaa kuipenda timu yetu kwani imekuwa ni ngumu sana kuona ngozi nyeupe ikitoa support kwenye team za taifa achilia mbali South Africa. Hoi wengi tunaona Kama ni kitu cha upekee kwa Jamaa kujumuika nasi kuishabikia timu yetu.

2. Mlengo mwingine ni ule Wa kuweka Spies ndani ya nchi. Kila taifa lina kitengo cha kufanya upelelezi ndani ya nchi zingine. Hizi CIA pamoja na MI-13 pamoja na Mosaic hawaangalii tu ishu za kiuongozi tu masuala yanayohusu taifa kwa ujumla. Kufanya imposing ya vitu vingi mfano ideas pamoja na influences.
Hivyo naweza kusema kuwa Bongo Zozo anaweza kuwa ni rafiki Wa dhati kwetu na kutoa moyo wake kuipa moto timu ya taifa au akawa ndo shushushu mzuri tu aka undercover Wa nchini kwao wenye mission yake secret.
Sitoweza kutoa Maelezo zaidi ya hayo maana kuna msemo "Whenever you are they are watching you"
Nipo
 
Salama gani sijui anaongeala huyo zuzu... watu wanatekwa na kuuliwa kila siku na waafrika wenzao leo fala mmoja anapiga kelele kuhusu bongozozo ana hatarisha usalama wetu kama sio Kukosa akili ni nini??
Jamani naona JF inakuwa fb skuiz. Kuchangia hoja sio lazma jamani na kila topic na wakati wake hapa hatuongelei kutekana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa tanzani kuipeleleza ndo unakuja kuishia uwanja wa taifaa...!! Au anapeleleza mashabiki wa mpiraa...
Upelelezi hauishii kwenye siasa tuu,
 
Maktaba nitakuta kitabu kimeandikwa Kuhusu Bongozozoo?? Acha ujinga wewe hakuna mzungu atapotezaa muda kuwazuga wabongo kuwa anawaspy kwa kwenda uwanjani na kupiga kelele insta... Nchi yenyewe hii ya kiboyaa data gani wazungu waitake wasipate mpaka waanzs kupoteza mudaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
U spy ni Data huandikwa au hukusanywa ,hata kwenye makanisa na dini umo,michezo ndo kwao,na kwenye biashara na uchumi,kilimo,na kila nyanja inayoweza kuzisaidia nchi kumanage mwenendo kwa maslahi fulani kwa wakati fulani,ilimradi hata Ushawishi wa mtu unahitajika umaarufu na kukubalika ili baadae alete malengo makubwa au kutowa taarifa tuu katika secta ile,
nyinyi mnamuona punguani,lakini yeye anaweza tumika bila ya hata kujijua,na pengine hata hakutumwa,ila imetokea tuu kawa nafasi fulani watu wa kazi zao wakavuna taarifa fulani nyeti.
Jitambueni,IQ ni jambo muhimu
Mleta uzi ameona musipo ona nyinyi,
Leo hii Trump ameshtakiwa kwa Kuwsiliana na Kiongozi wa Ukraine ili kujinufaisha kisiasa.
Mpinzaniwake alikuwa anafanya Biashara ya silaha ,yeye akazizuia dhidi ya urusi.
na na na na na na ..............................................
wake Up open ur eyes
 
Nasikitika sana kuona hoja zinajibwa kwa kejeli.
Mara ooh mtu ameshiba ugali Wa shemeji mbona hivi wakuu. Huku sio Facebook.
Naomba nikusaidie kaka mkubwa mleta Uzi.
Suala la Bongo Zozo unaweza kulizungumzia kwenye milengo miwili tofauti.
1. Mlengo unaosimamia kuwa ni uzalendo Wa Jamaa kuipenda timu yetu kwani imekuwa ni ngumu sana kuona ngozi nyeupe ikitoa support kwenye team za taifa achilia mbali South Africa. Hoi wengi tunaona Kama ni kitu cha upekee kwa Jamaa kujumuika nasi kuishabikia timu yetu.

2. Mlengo mwingine ni ule Wa kuweka Spies ndani ya nchi. Kila taifa lina kitengo cha kufanya upelelezi ndani ya nchi zingine. Hizi CIA pamoja na MI-13 pamoja na Mosaic hawaangalii tu ishu za kiuongozi tu masuala yanayohusu taifa kwa ujumla. Kufanya imposing ya vitu vingi mfano ideas pamoja na influences.
Hivyo naweza kusema kuwa Bongo Zozo anaweza kuwa ni rafiki Wa dhati kwetu na kutoa moyo wake kuipa moto timu ya taifa au akawa ndo shushushu mzuri tu aka undercover Wa nchini kwao wenye mission yake secret.
Sitoweza kutoa Maelezo zaidi ya hayo maana kuna msemo "Whenever you are they are watching you"
Nipo
nashukuru sana kwa majibu yako, umejibu kistaarabu bila matusi wala mihemko, nimekuelewa sana mkuu, nilichokuwa nahitaji ni ufafanuzi kama huu na wala sikumhukumu moja kwa moja kama ni spie kama wengi walivokuja na majibu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe bado huelemiki tu??
pitia comment zako zote then kaa jitafakari mzazi wako alipata hasara kukulipia ada bora pesa ya ada angenywea ulanzi
 
Back
Top Bottom