Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

Jamani tuache uoga.Kabla sisi hatuendi AFcon hata sisi tulikuwa na timu zetu.Wengine walikuwa Nigeria,wengine Ghana,wengine senegal,cote d'voire,Misri,Tunisia N.k.Na watu walipenda hasa hizi timu.Fikilia watu wanaita timu yao bafanabafana au chipolopolo.Je,na Wazambia walipaswa wajiulize mapenzi ya Watz kwa timu yao ya taifa yanatoka wapi?

Mabeberu wabamiliki kila kitu kwa sasa satelait inaweza kupiga picha yoyote hapa bongo kama watahisi hatari kwao.Wana maundercover wabongo wengi ambao wanawainform kila linaloendelea wala hawana haja ya kuwatuma akina Bongozozo.
 
Bongozozo ndio anamtafuna SUzzy Bernad wa EATV?
 

Well said mkuu

Waafrika tuna ubaguzi mkali sana hujawahi kusikia
 
Bongo zozo amekuwa maarufu nchi nzima siku za karibuni ila hiyo tabia yake ya ucheshi na mawenge anayo toka zamani mi namjua since anafanya biashara ya kununua sarafu za zamani tulikuwa tunakaa mtaa mmoja.. kama ni agent basi wenzetu wapo serious sana na kazi zao maana ni miaka mingi yupo bongo
 
Waafrika tunalia sana ubaguzi ila sisi ndo tunaongoza kwa ubaguzi.. hadi tunabaguana wenyewe kwa wenyewe
 
Mkuu usidhani watu wote wana roho kama yako kuna watu hawaamini katika tofauti ya Rangi, kabila au status
 
Waafrika tunalia sana ubaguzi ila sisi ndo tunaongoza kwa ubaguzi.. hadi tunabaguana wenyewe kwa wenyewe

Maccm yanaongoza kwa ubaguzi aisee!

We are more divided than ever!

And still,ubaguzi upo rampant na no one speaks!
 
Nimewahi kumsikia akijibu swali kuwa anafanya baishara ya hela za zamani.. Hakuna mapenzi ya haraka haraka hivyo.. Jamaa lazma kutakuwa na mchongo anautafuta
yupo bongo zaidi ya miaka10 mchongo gani huo wa kufukuzia miaka yote hiyo
 
waeleweshe na wewe wapiga kelele, yaani mapenzi ya Taifa stars yaje kipindi hiki, amekaa Bongo muda gani..?, hiyo Taifa stars ilikuwa haichezi, mbona hatukumuona kipindi cha Marcio Maximo
Hivi mkuu wewe ukiamua kuwa famous leo kuna mtu atakuhoji kwanini umeanza leo? unasema wewe ni akili kubwa toa hoja basi za kuendana na akili yako
 
Spy anayetumwa mahali ni lazima awe na sifa ya kuwa na kichwa chepesi ili kucop na watu Wa eneo husika
 
Upeo wako hafifu
 
Kuna watoto ni wapumbavu humu, serikali yetu sasa inabana maslahi ya mabeberu hilo tu linaweza kufikirisha lakini watu wanaona hatuna cha kupepelezwa?

Ati Bongozozo atapeleleza kipi Tz!!!???

Ndio maana tunapanua vidole kuliko akili
 
Hoja yako sio ya kupuuzwa japo watu wanakupinga.. Unaweza kuta hata ni undercover agent wa CIA
Under cover wa CIA hawezi kuji-expose kama huyu jamaa..

Under cover wa CIA wanakuwa kama akina Rostam Aziz, mtu ambae yuko ndani ya System.., amka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…