Inaruhusiwa. Mimi sina shida na kutafuta management nzuri ya taasisi za serikali, watusaidie kwenye uendeshaji na mambo ya kiufundi lakini sio wapewe biashara au kubinafsishiwa.
Inaruhusiwa. Mimi sina shida na kutafuta management nzuri ya taasisi za serikali, watusaidie kwenye uendeshaji na mambo ya kiufundi lakini sio wapewe biashara au kubinafsishiwa.
Dah! inafikirisha sana mgeni kupewa umiliki wa lango la nchi, yaani hapo ni kupitisha magendo ya rasilimali kwa kwenda mbele. Kuna kashfa ilikuwa inaongelewa Al jazeera namna wajanja walivyotorosha dhahabu ya zimbabwe, ndo mambo kama hayahaya ya kumilikisha wageni wakae kwenye mlango wa kutokea.