Je, CCM ilisajiliwa UPYA ulipoasisiwa mfumo wa Vyama vingi Julai 1992?

Unaweza kulete baadhi ya hizo nyaraka?
 
Unaweza kulete baadhi ya hizo nyaraka?
nadhani ni muhimu sana kutembelea maktaba ya taifa au ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kwa maelezo, kumbukumbu, stakabadhi na nyaraka muhimu za jambo hili ili kujiridhisha na kuthibitisha hilo πŸ’
 
Ni kweli. Make unaweza kuta ni changa la macho!
 
..Ccm ilikuwa chama DOLA hivyo ilitakiwa ifutwe ili kutoa nafasi sawa kwa vyama vipya kuanzishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…