Je, CCM ilisajiliwa UPYA ulipoasisiwa mfumo wa Vyama vingi Julai 1992?

Je, CCM ilisajiliwa UPYA ulipoasisiwa mfumo wa Vyama vingi Julai 1992?

Mfumo wa vyama vipya ilipoanzishwa mwaka 1992, na kuundwa kwa ofisi ya msajilli wa vyama vya siasa. Vyama vyote viliwasilisha nyaraka za usajili kwa msajili wa vyama vya siasa, na kupokea maelekezo ya kupata usajili na kukabidhiwa kanuni, vigezo, masharti na taratibu za kufuata ili hatimae kupata usajili wa kudumu.

Vyama vyote, ikiwa ni pamoya na CCM vilifuata utaratibu na kupata usajili wa kudumu.
Unaweza kulete baadhi ya hizo nyaraka?
 
Unaweza kulete baadhi ya hizo nyaraka?
nadhani ni muhimu sana kutembelea maktaba ya taifa au ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kwa maelezo, kumbukumbu, stakabadhi na nyaraka muhimu za jambo hili ili kujiridhisha na kuthibitisha hilo 🐒
 
nadhani ni muhimu sana kutembelea maktaba ya taifa au ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kwa maelezo, kumbukumbu, stakabadhi na nyaraka muhimu za jambo hili ili kujiridhisha na kuthibitisha hilo 🐒
Ni kweli. Make unaweza kuta ni changa la macho!
 
Mkuu, pitia vifungu hivi vya Sheria ya Vyama vya Siasa (Political Parties Act) ili upate jibu. Ni vifungu vya 8 (1) na 7 (2)

.8–(1) Every political party other than the political party registrable pursuant to subsection (2) of section 7, shall apply and be registered in two stages, after fulfilling all the conditions prescribed for each stage.

7 (2) Notwithstanding the provisions of subsection (1) of this section Chama cha Mapinduzi, also known by the acronym CCM, which was, immediately before this Act, the sole political party for the whole of the United Republic shall, on the coming into effect of this Act, and without further requirement, be deemed to have been fully registered as a political party and shall be issued with a certificate of registration in accordance with this Act.


..Ccm ilikuwa chama DOLA hivyo ilitakiwa ifutwe ili kutoa nafasi sawa kwa vyama vipya kuanzishwa.
 
Back
Top Bottom