Uchaguzi 2020 Je, CCM itaruhusu wanachama wake wachukue fomu za kugombea Urais kama Katiba yao inavyoelekeza?

Wakifanya hivyo naacha ulozi nafunga kilinge najiunga na CCM kugombea nafasi nyeti.

Jr[emoji769]
Huu utamaduni umejengeka toka 1984 ndani ya Ccm leo hii ndio mhoji kweli?
 
Hivo Ni vyama karibu vyote ikiwemo ccm Mkuu.msikilize polepole mwanaccm kugombea urais marufuku
Kuwa muelewa. Customs huzaa kitu kinaitwa customary law. Kwa hiyo toka 1984 mpaka 2020 hii desturi imeshakuwa kama sheria. Acheni wivu pambaneni na Chadema inayokufa.
 
Haahaa polepole kaweka mgombea wake mfukoni, anazuia wana ccm wengine kuomba ridhaa ya chama kugombea urais.kisingizio mila na desturi kinyume na katiba.mbaya zaidi msajiri yupo kiimya.
Polepole hajazuia watu kugombea. Ila desturi ndani ya Ccm zaidi ya miaka 36 imeshakuwa kama sheria. Wana Ccm kwa moyo mweupe huwa wanamuachia aliyepo madarakani kupeperusha kibenderaa.
 
Ukishaelewa kwamba sio lazima kuiga Marekani kwa kila upuuzi utaelewa mambo mengi sana ya msingi.
 
Nimepata amani ya moyo kusikia T. A. Lissu yu mbioni kuandika barua ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Rais. Mungu amwongoze na kila lililo la kheri kwake na chama.
 
Ni hatari kwa mkuu wa idara ya propaganda ya chama kikuu cha upinzani kujikita katika thread za kuipaisha CCM
Ndio mana tunaamini CCM itatawala miaka 100, wapinzani wetu wapo bize kutukodolea macho badala ya kujenga saccos yao.
Jibu hoja mkuu,
Mswaki husafishia meno kinywani na siyo makalioni
 
Wakifanya hivyo naacha ulozi nafunga kilinge najiunga na CCM kugombea nafasi nyeti.

Jr[emoji769]

Tema mate chini kwani wapo watu wengi tu kama akina Musiba, Dovutwa, Shibuda, Mrema, Cheyo, Mbatia etc ambao huishi kwa nyota, na wao CCM nasema lazima wafanye tendo la ku justify kuwa kuna demokrasia hivyo atatafutwa mmoja wao toka ndani ya nyumba sio lazima awe kama Dr Slaa au hao wengine akaomba na dunia ikatangaziwa na hapo ndio lengo litakuwa limetimizwa na wao kuendelea na plan zao kama Polepole alivyopanga na naomba utunze uzi huu na utakuja niambia
 
Wanawaogopa waliowaita mfu,je wakija waliohai si watatamabi dunia ioasuke na kuwameza.Kweli CCM ni waoga wa hata kivuli chao.Wamekuwa stressed to the maximum, the guilty are afraid.
Muziki wa wapinzani umewapagawisha ile mbaya.Mechi mpo uwanja wa nyumbani, refa wenu,mashabiki pomoni,kanuni zote na sheria mnatengeneza lakini bado mnaweweseka.Mikutano ya kisiasa mnaruhusu tarehe ngapi ya 2020?
Hapa duniani omba usiwe mwoga,utapata taabu sana.Tunayoyashuhudia yanathibitisha.
 
Membe hana ushawishi wowote. Wala hajawahi kutangaza nia ila ni uzushi na propoganda chafu za Chadema. Membe dharau zake kwa viongozi ndio zilimfanya atimuliwe..
Hii desturi imeshakuwa kama sehemu ya utaratibu wa Ccm. Hivyo hamna haja ya kuuvuruga. Pambani na Chadema yenu inayokufa.
 
Polepole hajazuia watu kugombea. Ila desturi ndani ya Ccm zaidi ya miaka 36 imeshakuwa kama sheria. Wana Ccm kwa moyo mweupe huwa wanamuachia aliyepo madarakani kupeperusha kibenderaa.
Hoja za kijinga sana unaleta hapa , Mlivyotaka kumuua Membe sababu yake ilikuwa nini ? au Mangula alipewa sumu kwa sababu zipi ?
 
Hoja za kijinga sana unaleta hapa , Mlivyotaka kumuua Membe sababu yake ilikuwa nini ? au Mangula alipewa sumu kwa sababu zipi ?
Ulichojibu kinahusiana nini na desturi za kumuachia aliyepo madarakani aendelee kugombea? Au ndio 0 brain
 
Hoja za kijinga sana unaleta hapa , Mlivyotaka kumuua Membe sababu yake ilikuwa nini ? au Mangula alipewa sumu kwa sababu zipi ?
Membe alitaka kuuliwa? Mangula kupewa sumu nenda kawaulize polisi.
Hoja hapa ni desturi ya Ccm kuwa wanamuachia aliyepo madarakani kumaliza ngwe ya pili. Ni suala la kawaida ndani ya Ccm. Nyie pambaneni na ishu ya ubadhilifu wa bil 8 kwanza.
 
Wakifanya hivyo naacha ulozi nafunga kilinge najiunga na CCM kugombea nafasi nyeti.

Jr[emoji769]
Jambo ambalo haliwezekani kabisa,ndio Mana walimtimua Membe sababu hiyo
 
Shida ya CHADEMA inalindwa na jina na nembo yake.
Lakini mifumo ya utawala ina matatizo sana.

Jina linaakisi vingine viongozi wanafanya vingine.

Huo ni mfumo wa chama chao tafuta chama kizuri ujiunge achana nao hao wakiharibu ndio mafanikio yenu kisha weka tume huru tuwapime
 
Ni kweli sasa ww chukua form ya kugombea urais
 
Membe alitaka kuuliwa? Mangula kupewa sumu nenda kawaulize polisi.
Hoja hapa ni desturi ya Ccm kuwa wanamuachia aliyepo madarakani kumaliza ngwe ya pili. Ni suala la kawaida ndani ya Ccm. Nyie pambaneni na ishu ya ubadhilifu wa bil 8 kwanza.
huna hoja wewe kapuku , endelea kulipwa elfu 7 ili ujikimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…