Je, changamoto zipi unapitia baada ya kuhitimu masomo (kugraduate) yako

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau!

Amini usiamini kuna watu leo wanatimiza miaka kumi tangu wagraduate na hawajai kuajiriwa najua wanapitia changamoto nyingi za maisha kwa hiyo ww uliyehitimu miaka miwili au mitatu nyuma unayomengi yakujifunza usikate tamaa.

Lengo la uzi huu ni kupeana changamoto na kupeana njia ulizotumia au unazotumia kutatua changamoto mpaka leo maisha yanasonga.

Uzi teyari..😁😇😇😇😂😂
Karibuni sana tushare changamoto
 
Ni miaka 4 sasa tangu nilipomaliza chuo, sikuwahi kufikifiria kama hata ningekaa mwaka mzima bila kupata kazi nikiwa kama Banker by profession,na vimini vyangu nilijipa matumaini bank zote hizi zaidi ya 50 pamoja na microfinances kweli ntakosa kazi? No no,

Uhalisia sasa baada ya kumaliza na kurudi mtaani mmh life halieleweki sambaza sana CVs kwenye Banks/microcredit aisee zingine wanaishia kupokea walinzi tu getini sidhani kama zinafika, zingine secretaries huku wakikuangalia kwa dharau, tuma kwa posta/Ems dah pesa yenyewe ya mawazo hamna kitu.nikapata kwa huyo Baba ana company yake binafsi dah naona alitaka kunipa kazi pamoja na kuwa mke tena dah. Nikajiondokea tu.

Kuna siku nilikaa ndani nikafikiria hivi nikiweka uzi jf wa kuomba kazi yoyote siwezi pata kweli, nikaona ngoja nijaribu nashukuru niliweka nikapata response za kutosha za matumaini ,nikatuma CVs nikafanya interviews, nikapata sehemu nikafanya for a year huku nikiendelea kucheki sehemu nyingine,nikapata pia kwa kutumia experience niliyoipata huko,Japo mambo hayajakaa sawa bado ila🙏

Watu tusikate tamaa tuendelee kujaribu njia mbalimbali naamini ipo siku mambo yatakua poa tu.
 
Ni miaka 4 sasa tangu nilipomaliza chuo, sikuwahi kufikifiria kama hata ningekaa mwaka hivi bila kupata kazi nikiwa kama Banker by profession,na vimini vyangu nilijipa matumaini bank zote hizi zaidi ya 50 pamoja na microfinances kweli ntakosa kazi? No no,

Uhalisia sasa baada ya kumaliza na kurudi mtaani mmh life halieleweki sambaza sana CVs kwenye Banks/microcredit aisee zingine wanaishia kupokea walinzi tu getini sidhani kama zinafika, zingine secretaries huku wakikuangalia kwa dharau, tuma kwa posta/Ems dah pesa yenyewe ya mawazo hamna kitu.nikapata kwa huyo Baba ana company yake binafsi dah naona alitaka kunipa kazi pamoja na kuwa mke tena dah. Nikajiondokea tu.

Kuna siku nilikaa ndani nikafikiria hivi nikiweka uzi jf wa kuomba kazi yoyote siwezi pata kweli, nikaona ngoja nijaribu nashukuru niliweka nikapata response za kutosha za matumaini ,nikatuma CVs nikafanya interviews, nikapata sehemu nikafanya for a year huku nikiendelea kucheki sehemu nyingine,nikapata pia kwa kutumia experience niliyoipata huko,Japo mambo hayajakaa sawa bado ila[emoji120]

Huwa nakupenda mkuu...natamani nikuoe KBS sema uwezo sina
 
Binafsi nimemaliza 2016,nilipomaliza nilikaa home nikitafuta kazi na 2017 nilibahatika kupata kazi yangu ya kwanza katika kampuni moja ivi uko kinondoni.

Kusema kweli nilifurai sana Ila kazi yenyewe nilikuja kuisha badae 2018 baada ya kampuni kushindwa kujiendesha, basi kwanzia apo nikawa naangaika kutafuta kazi nyingine niliangaika sana nikawa naishia kwenye interviews za utumishi na kwingineko nilikopeleka cv pamoja na kazi za muda mfupi mfupi.

Ingawaje kwa sasa sina kibarua chochote nafanya biashara ndogo ndogo tu huku nikitafuta kazi nyingine naamini ipo siku mambo yatakua sawa tu.
 
Huwa nakupenda mkuu...natamani nikuoe KBS sema uwezo sina
Jamani ahsante mkuu , kama ni pesa zinatafutwa muhimu upendo na amani ya moyo tu, kuna walioolewa na wenye uwezo ila hata hawaenjoy kutwa baba anawaza miradi na kusafiri tu hana time, ila waliooana na kiuwezo cha kawaida maisha simple kutwa wapo pamoja wanakula zao tembele kwa amanii😍, ila tupige kazi tutafute dough mkuu.
 
Ni miaka 4 sasa tangu nilipomaliza chuo, sikuwahi kufikifiria kama hata ningekaa mwaka hivi bila kupata kazi nikiwa kama Banker by profession,na vimini vyangu nilijipa matumaini bank zote hizi zaidi ya 50 pamoja na microfinances kweli ntakosa kazi? No no,

Uhalisia sasa baada ya kumaliza na kurudi mtaani mmh life halieleweki sambaza sana CVs kwenye Banks/microcredit aisee zingine wanaishia kupokea walinzi tu getini sidhani kama zinafika, zingine secretaries huku wakikuangalia kwa dharau, tuma kwa posta/Ems dah pesa yenyewe ya mawazo hamna kitu.nikapata kwa huyo Baba ana company yake binafsi dah naona alitaka kunipa kazi pamoja na kuwa mke tena dah. Nikajiondokea tu.

Kuna siku nilikaa ndani nikafikiria hivi nikiweka uzi jf wa kuomba kazi yoyote siwezi pata kweli, nikaona ngoja nijaribu nashukuru niliweka nikapata response za kutosha za matumaini ,nikatuma CVs nikafanya interviews, nikapata sehemu nikafanya for a year huku nikiendelea kucheki sehemu nyingine,nikapata pia kwa kutumia experience niliyoipata huko,Japo mambo hayajakaa sawa bado ila[emoji120]

Watu tusikate tamaa tuendelee kujaribu njia mbalimbali naamini ipo siku mambo yatakua poa tu.
Nimeipenda statement ya mwanzoni, kama nilivyo jisemea na mm hospital zote hizi nikose kazi mjini kati kumbe ni mziki wa kukesha
 
Jamani ahsante mkuu , kama ni pesa zinatafutwa muhimu upendo na amani ya moyo tu, kuna walioolewa na wenye uwezo ila hata hawaenjoy kutwa baba anawaza miradi na kusafiri tu hana time, ila waliooana na kiuwezo cha kawaida maisha simple kutwa wapo pamoja wanakula zao tembele kwa amanii[emoji7], ila tupige kazi tutafute dough mkuu.
Naomba namb ako mkuu!si haujaolewa
 
Nimeipenda statement ya mwanzoni, kama nilivyo jisemea na mm hospital zote hizi nikose kazi mjini kati kumbe ni mziki wa kukesha
Aisee acha tu, unakua unajipa matumaini ukiangalia field yako mbona kazi zipo tu kibao,kumbe ingia ground ujionee unavoishia getini kwa walinzi na CV yako🙄🙄
 
Kiukweli naweza nikasema graduate sio rahisi kupitia changamoto sanaaa kama inavoelezwa, ukiwa umesoma hadi elimu ya juu maisha ya kula, kuendesha maisha hayawezi yaka kusumbua. Kwakua elimu ya juu ni elimu kubwa sana ambayo kwa namna yeyote lazima tu ikuweke pahala pazuri. Mimi nilimaliza masomo ya uhandisi mara moja nilienda ERB nikaomba SEAP nikapata moja ya taasisi kubwa hapa nchini ya kihandisi (serikali) na nikawa nalipwa ukijumlisha na kazi za kati kati ya mwezi kwa kila mwezi nikawa napata si chini ya laki 6 na nusu. Baadae nikaona haitoshi kabisa. Ndipo nilipoanza tafuta sehemu nyingine tena private companies, na kama mjuavyo Hata vitabu vya dini vimeandika ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona. Baada ya kuweka nia, nilifanikiwa kupata kazi nzuri na inalipa vizuri sana. Na baada ya hapo nimeendelea kufanikiwa kupata nafasi mbalimbali katika kampuni nyingine nyingi.
Hebu niwaambieni kitu kimoja, graduate lazima uwe na janja janja lazima uwe muongeaji hata kama vitu una idea navyo basi zungumza as if unavielewa hakuna atakaye lala njaa.
 
'Kiukweli naweza nikasema graduate sio rahisi kupitia changamoto sanaaa kama inavoelezwa, ukiwa umesoma hadi elimu ya juu maisha ya kula, kuendesha maisha hayawezi yaka kusumbua. Kwakua elimu ya juu ni elimu kubwa sana ambayo kwa namna yeyote lazima tu ikuweke pahala pazuri.'

UPUMBAVU MTUPU.
 
Elimu ya bongo haimundai graduate kisaikilojia.Wengi wanamaliza masomo wanawaza kuajiriwa badala ya kujitayarisha kuwa mwekezaji/mwajiri.We are failing
 
Back
Top Bottom