Je, changamoto zipi unapitia baada ya kuhitimu masomo (kugraduate) yako

Me na hii course nayosomea, plus nilivyo mmmmh Jah awe nami kwa kweli, maan hapa bado nasoma, classmates wananiambia "yaan wee ivo ulivyo hata CV yako iwe bora kias gan huwez pata ajira" bas me ndo nakufa moyoo kabisaa,

Ila daah acha tuu nitumikie ili hali niwe na cheti ila nikikumbuka msuli wa advance mmmh.
Eeeh Jah awe nami kwa wakati huo.
Kuna uzi pia ulisema "Hivi Nilivyo"

Ukoje bwana mdogo?
 
Nlimaliza chuo mwaka 2016 katika chuo kikubwa sana hapa TZ, na kozi niliyosoma nilijiaminisha kuwa siwezi kosa kazi, kutokana na kujiaminisha huko baada ya kumaliza chuo nliamua kujipa likizo ya miezi kadhaa nipumzike Home huku nasoma upepo. Nakumbuka ilikua mwezi mei mwaka 2017 ndipo nlipoanza kusambaza CV zangu karibia kila ofisi, nmezunguka Mikoa karibia Nusu ya TZ kutafuta kazi, sikuamini kabisa kama ningepata hizi changamoto, Mda wote nlikua naangalia Email au Phone yangu kuona kama ntapata majibu ila hola.
Life lilikua tight sana mpaka ikabidi niwe nakula maramoja kwa siku, Nlijaribu kujiingiza kwenye Forex ikawa Hola, Nmejiingiza Qnet hali ndo kama ilivyo sasa, Nmeshiriki makongamano ya ujasiriamali ila nkaona nkija kwenye vitendo sioni uhalisia.
Baada ya kuona hali ni tete nmeamua kurudi kwa wazee tu maana sijafukuzwa, na saizi naishi kwa kutegemea Betting tu, mikeka ndo inayonifanya hata ka shilingi mia kasikosekane mfukoni.

Jamani kama hauna pesa na shughuli ya uhakika, hata maendeleo yako yanachelewa.
[emoji23]
 
Kuna vitu ukisomea hata ukikosa kazi ya kueleweka ila huwezi kosa kazi ya kukufanya uendelee kuwa masikini (kupata hela ya kula) ila kuna vitu ukisomea ni changamoto unaeza ukahesabu miaka kiutani utani tu ikaisha. Binafsi nimekaa mtaani kidogo kabla ya kupata kazi rasmi.

Kwahiyo graduate asichoke na kukata tamaa mapema kama hawezi kuwa mjasiriamali (maana sio kila mtu anaweza) aendelee kujishikilia kwenye hivyo vikazi vya akuchi kuna kucha ipo siku atapata ya kueleweka. Ukikaa nyumbani ndio hupati kitu kabisa, hupati experience, hupati hela na kazi kupata itakua kitendawili zaidi.

Kwasasa njia nzuri ya kupata kazi ni kujitolea sehemu ambayo wanaweza kukupa hata pesa ya nauli.
 
changamoto ni kukosa vibarua ambavyo ni nje ya fani yangu......siongelei kazi sababu huko nilisha conclude hazipoo....
 
Nlimaliza chuo mwaka 2016 katika chuo kikubwa sana hapa TZ, na kozi niliyosoma nilijiaminisha kuwa siwezi kosa kazi, kutokana na kujiaminisha huko baada ya kumaliza chuo nliamua kujipa likizo ya miezi kadhaa nipumzike Home huku nasoma upepo. Nakumbuka ilikua mwezi mei mwaka 2017 ndipo nlipoanza kusambaza CV zangu karibia kila ofisi, nmezunguka Mikoa karibia Nusu ya TZ kutafuta kazi, sikuamini kabisa kama ningepata hizi changamoto, Mda wote nlikua naangalia Email au Phone yangu kuona kama ntapata majibu ila hola.
Life lilikua tight sana mpaka ikabidi niwe nakula maramoja kwa siku, Nlijaribu kujiingiza kwenye Forex ikawa Hola, Nmejiingiza Qnet hali ndo kama ilivyo sasa, Nmeshiriki makongamano ya ujasiriamali ila nkaona nkija kwenye vitendo sioni uhalisia.
Baada ya kuona hali ni tete nmeamua kurudi kwa wazee tu maana sijafukuzwa, na saizi naishi kwa kutegemea Betting tu, mikeka ndo inayonifanya hata ka shilingi mia kasikosekane mfukoni.

Jamani kama hauna pesa na shughuli ya uhakika, hata maendeleo yako yanachelewa.
Pole sana Mungu yupo pamoja na wewe!
One day Yes,!
 
Kuna kabinti kalimaliza UDSM 2017(Bachelor of Commerce and Banking Management),kamesugua mtaani tangu kamalize Chuo mwaka huo wa 2017,mwaka huu August kuna mdau mmoja akaniunganisha nako nikasaidie kupata kazi maana katika kusugua gaga nyumbani kakapigwa na mimba na kuzalishwa, nikamwambia mdau mwambie huyo Binti anitafute na kweli akanitafuta akanitumia CV na Vyeti,ndani ya mwezi mmoja nikakatafutia kazi sehemu kanalipwa Mshahara 1,600,000 kwa mwezi,lakini kwenye kukahangaikia mdai wa kuweka mipango sawa alitaka alipwe Tsh.1,000,000 Binti baada ya kuanza kupokea Mshahara,heeeh,Binti kaanza kupokea Mshahara kanogewa na pesa kakataa kutoa 1,000,000 kama makubaliano tulivyokubaliana[emoji134][emoji134],nafanya mchakato afukuzwe kazi soon January sitaki ufala
 
Fanya hivyo
 
[emoji23][emoji23]
 
Kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna graduate ataingia kichwa kichwa hapa na atapigwa kipigo cha mbwa koko

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kabinti kalimaliza UDSM 2017(Bachelor of Commerce and Banking Management),kamesugua mtaani tangu kamalize Chuo mwaka huo wa 2017,mwaka huu August kuna mdau mmoja akaniunganisha nako nikasaidie kupata kazi maana katika kusugua gaga nyumbani kakapigwa na mimba na kuzalishwa, nikamwambia mdau mwambie huyo Binti anitafute na kweli akanitafuta akanitumia CV na Vyeti,ndani ya mwezi mmoja nikakatafutia kazi sehemu kanalipwa Mshahara 1,600,000 kwa mwezi,lakini kwenye kukahangaikia mdai wa kuweka mipango sawa alitaka alipwe Tsh.1,000,000 Binti baada ya kuanza kupokea Mshahara,heeeh,Binti kaanza kupokea Mshahara kanogewa na pesa kakataa kutoa 1,000,000 kama makubaliano tulivyokubaliana[emoji134][emoji134],nafanya mchakato afukuzwe kazi soon January sitaki ufala
Hahahaha mwachie bana hahaha eti kaache ufala[emoji23][emoji23][emoji23]
 
ndugu MWEKA NTANDU nimeona comment yako,sina cha kumpiga Graduate yeyote,ukitaka nikupe namba ya huyo Binti naweza kukupa,na pia hata kazi hakutakiwa kutoa chochote mpaka aripoti kazini na hiyo 1ml ilitakuwa aiotoe baada ya kuanza kupokea Mshahara wake,na kwa taarifa tu ni kwamba hata alipokuja kuripoti mkoa wa kazi husika pesa ya kuanzia maisha nilimkopesha mimi na alinirudishia kwa mbinde,alitoka kijiweni kwenye msoto kwelikweli,alipoanza kupata Mshahara wa kwanza akasahau yote,nimegombana nae mpaka nimechoka,na kumbuka muunganishaji wa kazi ananidai mimi hiyo 1ml maana ni makubaliano yangu mimi na yeye,Binti kagoma,namfukuzisha kazi soon tumeshapanga mkakati na mhusika,hakuna namna
 
Na ukitaka njoo inbox nikupe na namba yangu,nikuelekeze Ofisi niliyom connect huyo Binti kupata kazi,kisha mimi nitakupa pesa au gharama yoyote uende kwenye hiyo ofisi kumuulizia huyo Binti na details zote nitakupa
 
nipe nauri nifanye hivyo
 
Na ukitaka njoo inbox nikupe na namba yangu,nikuelekeze Ofisi niliyom connect huyo Binti kupata kazi,kisha mimi nitakupa pesa au gharama yoyote uende kwenye hiyo ofisi kumuulizia huyo Binti na details zote nitakupa
Daaah!bas Huyo bint hajielewi KBS...kwanini aswape tu hiyo pesa...ebu nitumie namb yake nimpe elimu kuhusu haya maisha.
 
ndugu MWEKA NTANDU nimeona comment yako,sina cha kumpiga Graduate yeyote,ukitaka nikupe namba ya huyo Binti naweza kukupa,na pia hata kazi hakutakiwa kutoa chochote mpaka aripoti kazini na hiyo 1ml ilitakuwa aiotoe baada ya kuanza kupokea Mshahara wake,na kwa taarifa tu ni kwamba hata alipokuja kuripoti mkoa wa kazi husika pesa ya kuanzia maisha nilimkopesha mimi na alinirudishia kwa mbinde,alitoka kijiweni kwenye msoto kwelikweli,alipoanza kupata Mshahara wa kwanza akasahau yote,nimegombana nae mpaka nimechoka,na kumbuka muunganishaji wa kazi ananidai mimi hiyo 1ml maana ni makubaliano yangu mimi na yeye,Binti kagoma,namfukuzisha kazi soon tumeshapanga mkakati na mhusika,hakuna namna
Kama umeweza kumtendea wema huyo binti basi please usiwaze kumtendea ouvu
unaweza ukadhani utamkomoa kwa kumfukuzisha kazi lakini angalia machozi ya watu walio nyuma yake wanaopata unafuu na huo mshahara wake....
Tumia busara ktk hili, life is full of uncertainty
 
Back
Top Bottom