Je, changamoto zipi unapitia baada ya kuhitimu masomo (kugraduate) yako

Je, changamoto zipi unapitia baada ya kuhitimu masomo (kugraduate) yako

Hatari sana mkuu
kuna mkuu mmoja huko juu amekuelewa sana sema kama unampotezea hivi...kashakuja PM huko ebu kama hujamchek fanya umjibu mkuu..huwez jua ni kwa jinsi gani ikawa ni best history in life...namuombea attention yako..japo simjui ila naamini yuko serious na kile anachokiongelea kuhusu wewe.
 
Mimi wakati nipo mwaka wa tatu enzi za kikwete vuguvugu la kuadimika kwa ajira mtaani lilikuwa limeanza wala sikutaka kupasuka kichwa nikatunza hela yangu ya boom jumlisha na hela za field nikaanza bana matumizi nakula wali maharage aisee mpka masela zangu wakina Mudy wakaanza kunipa jina la Wali ndondo.Nilikomaa mpaka tunamaliza chuo.Ile narudi town nikawa bank nina kama nina mil 1.4 aisee wazo la kutafuta aina ya biashara likaja.Nikaona kama vip hela haitoshi maana niliwaza ninunue Sanlg nimpe mtu ili izae but wakati huo Sanlg ilikuwa inauzwa mil 2.15 plus usajili.Daa kilichonitokea huko mbeleni natamani nisimulie ila sorry jamani naanza safari nadrive(ila kwa sasa nina kazi plus shughuli zangu binafsi maisha yanasonga.
Samahani mkuu nilikuwa na mpango wa kununua bodaboda nimpe mtu wakati namalizia mwaka wangu wa mwisho. Vipi inaweza ikawa inalipa kiasi fulani
 
kuna mkuu mmoja huko juu amekuelewa sana sema kama unampotezea hivi...kashakuja PM huko ebu kama hujamchek fanya umjibu mkuu..huwez jua ni kwa jinsi gani ikawa ni best history in life...namuombea attention yako..japo simjui ila naamini yuko serious na kile anachokiongelea kuhusu wewe.
Dah sijampotezea bana tuko pamoja na siku ya harusi yetu tutakualika mkuu😜.

Au ni Id yako nyingine 😉
 
Huwa nakupenda mkuu...natamani nikuoe KBS sema uwezo sina
Sema tukusaidie mkuu....😂😂
Pale kwao nikionana na babaake, tukapiga K-Vant moja tu kilakitu kitakaa sawa na uwezo utapatikana hapohapo kwenye..🥃
 
Karibuni kitaa madogo,

Huwa tukiwasalimia mkiwa mnaenda mahostel hamuitikii kwa dharau na nyodo. Nasemaje karibuni kitaa tuone Nani mjanja.
Nimecheka eti ma hostel lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me na hii course nayosomea, plus nilivyo mmmmh Jah awe nami kwa kweli, maan hapa bado nasoma, classmates wananiambia "yaan wee ivo ulivyo hata CV yako iwe bora kias gan huwez pata ajira" bas me ndo nakufa moyoo kabisaa,

Ila daah acha tuu nitumikie ili hali niwe na cheti ila nikikumbuka msuli wa advance mmmh.
Eeeh Jah awe nami kwa wakati huo.
 
Course gan?
 
Kipindi nagraduate nafasi zilikuwa zinatoka Ila sikuwa naomba sababu nilikuwa naingiza vihela kwenye biashara,

Mitano ya kwanza ilivyoanza kukaza akili ikarudi nikaanza kusaka ajira
haikuwa rahisi nimefanya kama sehemu tatu Ila zote nimeachana nazo,

napambana na kitaa
japo sijaacha kuomba as natamani kuitumikia career yangu japo mwaka mmoja tu.
Kwanini hukuomba wakati ule..ulizingua sana, kadri siku zinasonga ndivyo ajira zinapotea..
 
Kwa mujibu wa bibie, kaka hauko serious.

Kufikia malengo yeyote (mfano: ajira), kunahitaj mpango, discipline, commitment, focus.

Ndio wahenga kusema, "mshika mawili moja humponyoka".

Sasa kwa kesi yako, "ni haki yako ya msingi kukosa ajira."
Ni kweli, maana ajira hakuna.
 
Kwanini hukuomba wakati ule..ulizingua sana, kadri siku zinasonga ndivyo ajira zinapotea..
Nilikuwa nashika shika vihela plus shemeji nae akawa ananidanganya danganya nikafikiri mambo yatakuwa hivyo milele
 
Me na hii course nayosomea, plus nilivyo mmmmh Jah awe nami kwa kweli, maan hapa bado nasoma, classmates wananiambia "yaan wee ivo ulivyo hata CV yako iwe bora kias gan huwez pata ajira" bas me ndo nakufa moyoo kabisaa,

Ila daah acha tuu nitumikie ili hali niwe na cheti ila nikikumbuka msuli wa advance mmmh.
Eeeh Jah awe nami kwa wakati huo.
Upoje kwani??
 
Nlimaliza chuo mwaka 2016 katika chuo kikubwa sana hapa TZ, na kozi niliyosoma nilijiaminisha kuwa siwezi kosa kazi, kutokana na kujiaminisha huko baada ya kumaliza chuo nliamua kujipa likizo ya miezi kadhaa nipumzike Home huku nasoma upepo. Nakumbuka ilikua mwezi mei mwaka 2017 ndipo nlipoanza kusambaza CV zangu karibia kila ofisi, nmezunguka Mikoa karibia Nusu ya TZ kutafuta kazi, sikuamini kabisa kama ningepata hizi changamoto, Mda wote nlikua naangalia Email au Phone yangu kuona kama ntapata majibu ila hola.
Life lilikua tight sana mpaka ikabidi niwe nakula maramoja kwa siku, Nlijaribu kujiingiza kwenye Forex ikawa Hola, Nmejiingiza Qnet hali ndo kama ilivyo sasa, Nmeshiriki makongamano ya ujasiriamali ila nkaona nkija kwenye vitendo sioni uhalisia.
Baada ya kuona hali ni tete nmeamua kurudi kwa wazee tu maana sijafukuzwa, na saizi naishi kwa kutegemea Betting tu, mikeka ndo inayonifanya hata ka shilingi mia kasikosekane mfukoni.

Jamani kama hauna pesa na shughuli ya uhakika, hata maendeleo yako yanachelewa.
 
Kiukweli naweza nikasema graduate sio rahisi kupitia changamoto sanaaa kama inavoelezwa, ukiwa umesoma hadi elimu ya juu maisha ya kula, kuendesha maisha hayawezi yaka kusumbua. Kwakua elimu ya juu ni elimu kubwa sana ambayo kwa namna yeyote lazima tu ikuweke pahala pazuri. Mimi nilimaliza masomo ya uhandisi mara moja nilienda ERB nikaomba SEAP nikapata moja ya taasisi kubwa hapa nchini ya kihandisi (serikali) na nikawa nalipwa ukijumlisha na kazi za kati kati ya mwezi kwa kila mwezi nikawa napata si chini ya laki 6 na nusu. Baadae nikaona haitoshi kabisa. Ndipo nilipoanza tafuta sehemu nyingine tena private companies, na kama mjuavyo Hata vitabu vya dini vimeandika ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona. Baada ya kuweka nia, nilifanikiwa kupata kazi nzuri na inalipa vizuri sana. Na baada ya hapo nimeendelea kufanikiwa kupata nafasi mbalimbali katika kampuni nyingine nyingi.
Hebu niwaambieni kitu kimoja, graduate lazima uwe na janja janja lazima uwe muongeaji hata kama vitu una idea navyo basi zungumza as if unavielewa hakuna atakaye lala njaa.
Kama sio tapeli basi una bahati zako binafsi tu usipingane na wenzio
 
'Kiukweli naweza nikasema graduate sio rahisi kupitia changamoto sanaaa kama inavoelezwa, ukiwa umesoma hadi elimu ya juu maisha ya kula, kuendesha maisha hayawezi yaka kusumbua. Kwakua elimu ya juu ni elimu kubwa sana ambayo kwa namna yeyote lazima tu ikuweke pahala pazuri.'

UPUMBAVU MTUPU.
Hakika[emoji23]
 
Back
Top Bottom