Kuna kabinti kalimaliza UDSM 2017(Bachelor of Commerce and Banking Management),kamesugua mtaani tangu kamalize Chuo mwaka huo wa 2017,mwaka huu August kuna mdau mmoja akaniunganisha nako nikasaidie kupata kazi maana katika kusugua gaga nyumbani kakapigwa na mimba na kuzalishwa, nikamwambia mdau mwambie huyo Binti anitafute na kweli akanitafuta akanitumia CV na Vyeti,ndani ya mwezi mmoja nikakatafutia kazi sehemu kanalipwa Mshahara 1,600,000 kwa mwezi,lakini kwenye kukahangaikia mdai wa kuweka mipango sawa alitaka alipwe Tsh.1,000,000 Binti baada ya kuanza kupokea Mshahara,heeeh,Binti kaanza kupokea Mshahara kanogewa na pesa kakataa kutoa 1,000,000 kama makubaliano tulivyokubaliana[emoji134][emoji134],nafanya mchakato afukuzwe kazi soon January sitaki ufala