TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Huwa nakupenda mkuu...natamani nikuoe KBS sema uwezo sinaNi miaka 4 sasa tangu nilipomaliza chuo, sikuwahi kufikifiria kama hata ningekaa mwaka hivi bila kupata kazi nikiwa kama Banker by profession,na vimini vyangu nilijipa matumaini bank zote hizi zaidi ya 50 pamoja na microfinances kweli ntakosa kazi? No no,
Uhalisia sasa baada ya kumaliza na kurudi mtaani mmh life halieleweki sambaza sana CVs kwenye Banks/microcredit aisee zingine wanaishia kupokea walinzi tu getini sidhani kama zinafika, zingine secretaries huku wakikuangalia kwa dharau, tuma kwa posta/Ems dah pesa yenyewe ya mawazo hamna kitu.nikapata kwa huyo Baba ana company yake binafsi dah naona alitaka kunipa kazi pamoja na kuwa mke tena dah. Nikajiondokea tu.
Kuna siku nilikaa ndani nikafikiria hivi nikiweka uzi jf wa kuomba kazi yoyote siwezi pata kweli, nikaona ngoja nijaribu nashukuru niliweka nikapata response za kutosha za matumaini ,nikatuma CVs nikafanya interviews, nikapata sehemu nikafanya for a year huku nikiendelea kucheki sehemu nyingine,nikapata pia kwa kutumia experience niliyoipata huko,Japo mambo hayajakaa sawa bado ila[emoji120]
Watu tusikate tamaa tuendelee kujaribu njia mbalimbali naamini ipo siku mambo yatakua poa tu.
Jamani ahsante mkuu , kama ni pesa zinatafutwa muhimu upendo na amani ya moyo tu, kuna walioolewa na wenye uwezo ila hata hawaenjoy kutwa baba anawaza miradi na kusafiri tu hana time, ila waliooana na kiuwezo cha kawaida maisha simple kutwa wapo pamoja wanakula zao tembele kwa amaniiπ, ila tupige kazi tutafute dough mkuu.Huwa nakupenda mkuu...natamani nikuoe KBS sema uwezo sina
Nimeipenda statement ya mwanzoni, kama nilivyo jisemea na mm hospital zote hizi nikose kazi mjini kati kumbe ni mziki wa kukeshaNi miaka 4 sasa tangu nilipomaliza chuo, sikuwahi kufikifiria kama hata ningekaa mwaka hivi bila kupata kazi nikiwa kama Banker by profession,na vimini vyangu nilijipa matumaini bank zote hizi zaidi ya 50 pamoja na microfinances kweli ntakosa kazi? No no,
Uhalisia sasa baada ya kumaliza na kurudi mtaani mmh life halieleweki sambaza sana CVs kwenye Banks/microcredit aisee zingine wanaishia kupokea walinzi tu getini sidhani kama zinafika, zingine secretaries huku wakikuangalia kwa dharau, tuma kwa posta/Ems dah pesa yenyewe ya mawazo hamna kitu.nikapata kwa huyo Baba ana company yake binafsi dah naona alitaka kunipa kazi pamoja na kuwa mke tena dah. Nikajiondokea tu.
Kuna siku nilikaa ndani nikafikiria hivi nikiweka uzi jf wa kuomba kazi yoyote siwezi pata kweli, nikaona ngoja nijaribu nashukuru niliweka nikapata response za kutosha za matumaini ,nikatuma CVs nikafanya interviews, nikapata sehemu nikafanya for a year huku nikiendelea kucheki sehemu nyingine,nikapata pia kwa kutumia experience niliyoipata huko,Japo mambo hayajakaa sawa bado ila[emoji120]
Watu tusikate tamaa tuendelee kujaribu njia mbalimbali naamini ipo siku mambo yatakua poa tu.
Naomba namb ako mkuu!si haujaolewaJamani ahsante mkuu , kama ni pesa zinatafutwa muhimu upendo na amani ya moyo tu, kuna walioolewa na wenye uwezo ila hata hawaenjoy kutwa baba anawaza miradi na kusafiri tu hana time, ila waliooana na kiuwezo cha kawaida maisha simple kutwa wapo pamoja wanakula zao tembele kwa amanii[emoji7], ila tupige kazi tutafute dough mkuu.
Mkuu umeanza kupiga saundi kwenye uzi wa changamoto siyo? πNaomba namb ako mkuu!si haujaolewa
Aisee acha tu, unakua unajipa matumaini ukiangalia field yako mbona kazi zipo tu kibao,kumbe ingia ground ujionee unavoishia getini kwa walinzi na CV yakoππNimeipenda statement ya mwanzoni, kama nilivyo jisemea na mm hospital zote hizi nikose kazi mjini kati kumbe ni mziki wa kukesha
Matapeli wanazidi kuwadidimiza graduate sidhani kwamba wanajua ni nyakati gani graduate anapitia ila Mungu amewaandalia adhabu ya peke yao motoniππ..Changamoto moja kubwa ni pale ambapo unahitaji connection halafu mtu anakutumia namba ya simu inbox kumbe tapeli daaah hiyo inaumiza
Walinzi nyoko sana especially wale wa kike ndio balaaahπππAisee acha tu, unakua unajipa matumaini ukiangalia field yako mbona kazi zipo tu kibao,kumbe ingia ground ujionee unavoishia getini kwa walinzi na CV yakoππ
Binafsi Nimechana sana hizo CV Uchwara za watafuta kazi.Walinzi nyoko sana especially wale wa kike ndio balaaahπππ
'Kiukweli naweza nikasema graduate sio rahisi kupitia changamoto sanaaa kama inavoelezwa, ukiwa umesoma hadi elimu ya juu maisha ya kula, kuendesha maisha hayawezi yaka kusumbua. Kwakua elimu ya juu ni elimu kubwa sana ambayo kwa namna yeyote lazima tu ikuweke pahala pazuri.'Kiukweli naweza nikasema graduate sio rahisi kupitia changamoto sanaaa kama inavoelezwa, ukiwa umesoma hadi elimu ya juu maisha ya kula, kuendesha maisha hayawezi yaka kusumbua. Kwakua elimu ya juu ni elimu kubwa sana ambayo kwa namna yeyote lazima tu ikuweke pahala pazuri. Mimi nilimaliza masomo ya uhandisi mara moja nilienda ERB nikaomba SEAP nikapata moja ya taasisi kubwa hapa nchini ya kihandisi (serikali) na nikawa nalipwa ukijumlisha na kazi za kati kati ya mwezi kwa kila mwezi nikawa napata si chini ya laki 6 na nusu. Baadae nikaona haitoshi kabisa. Ndipo nilipoanza tafuta sehemu nyingine tena private companies, na kama mjuavyo Hata vitabu vya dini vimeandika ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona. Baada ya kuweka nia, nilifanikiwa kupata kazi nzuri na inalipa vizuri sana. Na baada ya hapo nimeendelea kufanikiwa kupata nafasi mbalimbali katika kampuni nyingine nyingi.
Hebu niwaambieni kitu kimoja, graduate lazima uwe na janja janja lazima uwe muongeaji hata kama vitu una idea navyo basi zungumza as if unavielewa hakuna atakaye lala njaa.
Kwanini mkuu [emoji3][emoji3][emoji3]Binafsi Nimechana sana hizo CV Uchwara za watafuta kazi.
Ukinikuta nalinda ukaacha barua yako, mwisho ni Dustbin.
Huwa nakupenda tu sijui kwann mkuu...nimekuja pm chekMkuu umeanza kupiga saundi kwenye uzi wa changamoto siyo?? [emoji6]