Je, changamoto zipi unapitia baada ya kuhitimu masomo (kugraduate) yako

Umeeongea ukweli lakini kila mwanadam anapita changamoto ,hata Mo Dewji na hela zote zile some time anapitia changamoto km kutekwa,kutukanwa mitandaoni n.k .

Kuhusu njaa watu hawana ajira na wanakura milo mitatu na wana watoto wanaenda shule.

Ila changamoto baada ya kuhitimu zipo nyingi mfano ww hapo ulivyopata SEAP Program kuna changamoto ulizipata ndani ya hiyo program ikabd upambane ss hapo ulitakiwa utueleze hizo changamoto na sisi tujifunze.πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Changamoto ni nyingi sana, imagine unaambiwa uache CV kwenye kampuni Fulani kumbe wanazichoma moto zote kama takataka,
Changamoto nyingine ni connection ajira za sasa hivi especially private sector ni connection zaidi
 
Changamoto ni nyingi sana, imagine unaambiwa uache CV kwenye kampuni Fulani kumbe wanazichoma moto zote kama takataka,
Changamoto nyingine ni connection ajira za sasa hivi especially private sector ni connection zaidi
Hiyo noma sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu habari za siku?
Hongera kwa hatua ulofikia sasa,binafsi nimefuta kabisa hili wazo la kusaka ajira kwa sasa,nishauzoea mtaa. Niko chimbo nazisaka pesa bila aibu wala wenge.
 
Mkuu habari za siku?
Hongera kwa hatua ulofikia sasa,binafsi nimefuta kabisa hili wazo la kusaka ajira kwa sasa,nishauzoea mtaa. Niko chimbo nazisaka pesa bila aibu wala wenge.
Salama mkuu, za huko ulipo!

Aisee ahsante hongera pia maana kuuzoea mtaa bila aibu si kitu kidogo, na popote kambi either mtaani ama ajira ili mradi kipatikane chochote kitu. Ila ni kwanini hutaki tena kutafuta ajira? Umesumbuka sana kama sisi ? Au maamuzi tu mkuu?
 
Kumbe changamoto zake anataka kunihamishia na mimi pia[emoji3][emoji3]
Mimi wakati nipo mwaka wa tatu enzi za kikwete vuguvugu la kuadimika kwa ajira mtaani lilikuwa limeanza wala sikutaka kupasuka kichwa nikatunza hela yangu ya boom jumlisha na hela za field nikaanza bana matumizi nakula wali maharage aisee mpka masela zangu wakina Mudy wakaanza kunipa jina la Wali ndondo.Nilikomaa mpaka tunamaliza chuo.Ile narudi town nikawa bank nina kama nina mil 1.4 aisee wazo la kutafuta aina ya biashara likaja.Nikaona kama vip hela haitoshi maana niliwaza ninunue Sanlg nimpe mtu ili izae but wakati huo Sanlg ilikuwa inauzwa mil 2.15 plus usajili.Daa kilichonitokea huko mbeleni natamani nisimulie ila sorry jamani naanza safari nadrive(ila kwa sasa nina kazi plus shughuli zangu binafsi maisha yanasonga.
 
Asante pia, huku nilipo hali si mbaya sana wala si nzuri sana.

Nakumbuka kipindi cha mwanzo naanza tu kutuma maombi kati ya sehemu 5 nilizotuma niliitwa 2, na hizo 2 nilikutana na mambo ya ajabu yalosababisha nisithubutu kutuma tena maombi sehemu yoyote bila kuwa na mtu ninae mjua pale.
 
Nini kilikukuta mkuu??
 
Hakika umenena my dear
 
Mimi toka mwaka jana nimetuma cv sehemu mbili tu ..je ni uvivu wa kutafuta kazi au ni situation tu inatokea? Niko na mishe zangu za kuuza matunda na chakula ..ivyo nakwama kwenye suala la kuandika cv

Graduate student 2019.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Theory yako haiwezi kufit kila mahali.
 
Kipindi nagraduate nafasi zilikuwa zinatoka Ila sikuwa naomba sababu nilikuwa naingiza vihela kwenye biashara,

Mitano ya kwanza ilivyoanza kukaza akili ikarudi nikaanza kusaka ajira
haikuwa rahisi nimefanya kama sehemu tatu Ila zote nimeachana nazo,

napambana na kitaa
japo sijaacha kuomba as natamani kuitumikia career yangu japo mwaka mmoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…