Je, changamoto zipi unapitia baada ya kuhitimu masomo (kugraduate) yako

Hatari sana mkuu
kuna mkuu mmoja huko juu amekuelewa sana sema kama unampotezea hivi...kashakuja PM huko ebu kama hujamchek fanya umjibu mkuu..huwez jua ni kwa jinsi gani ikawa ni best history in life...namuombea attention yako..japo simjui ila naamini yuko serious na kile anachokiongelea kuhusu wewe.
 
Samahani mkuu nilikuwa na mpango wa kununua bodaboda nimpe mtu wakati namalizia mwaka wangu wa mwisho. Vipi inaweza ikawa inalipa kiasi fulani
 
Dah sijampotezea bana tuko pamoja na siku ya harusi yetu tutakualika mkuu😜.

Au ni Id yako nyingine 😉
 
Huwa nakupenda mkuu...natamani nikuoe KBS sema uwezo sina
Sema tukusaidie mkuu....😂😂
Pale kwao nikionana na babaake, tukapiga K-Vant moja tu kilakitu kitakaa sawa na uwezo utapatikana hapohapo kwenye..🥃
 
Karibuni kitaa madogo,

Huwa tukiwasalimia mkiwa mnaenda mahostel hamuitikii kwa dharau na nyodo. Nasemaje karibuni kitaa tuone Nani mjanja.
Nimecheka eti ma hostel lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me na hii course nayosomea, plus nilivyo mmmmh Jah awe nami kwa kweli, maan hapa bado nasoma, classmates wananiambia "yaan wee ivo ulivyo hata CV yako iwe bora kias gan huwez pata ajira" bas me ndo nakufa moyoo kabisaa,

Ila daah acha tuu nitumikie ili hali niwe na cheti ila nikikumbuka msuli wa advance mmmh.
Eeeh Jah awe nami kwa wakati huo.
 

Course gan?
 
Kwanini hukuomba wakati ule..ulizingua sana, kadri siku zinasonga ndivyo ajira zinapotea..
 
Kwa mujibu wa bibie, kaka hauko serious.

Kufikia malengo yeyote (mfano: ajira), kunahitaj mpango, discipline, commitment, focus.

Ndio wahenga kusema, "mshika mawili moja humponyoka".

Sasa kwa kesi yako, "ni haki yako ya msingi kukosa ajira."
Ni kweli, maana ajira hakuna.
 
Kwanini hukuomba wakati ule..ulizingua sana, kadri siku zinasonga ndivyo ajira zinapotea..
Nilikuwa nashika shika vihela plus shemeji nae akawa ananidanganya danganya nikafikiri mambo yatakuwa hivyo milele
 
Upoje kwani??
 
Nlimaliza chuo mwaka 2016 katika chuo kikubwa sana hapa TZ, na kozi niliyosoma nilijiaminisha kuwa siwezi kosa kazi, kutokana na kujiaminisha huko baada ya kumaliza chuo nliamua kujipa likizo ya miezi kadhaa nipumzike Home huku nasoma upepo. Nakumbuka ilikua mwezi mei mwaka 2017 ndipo nlipoanza kusambaza CV zangu karibia kila ofisi, nmezunguka Mikoa karibia Nusu ya TZ kutafuta kazi, sikuamini kabisa kama ningepata hizi changamoto, Mda wote nlikua naangalia Email au Phone yangu kuona kama ntapata majibu ila hola.
Life lilikua tight sana mpaka ikabidi niwe nakula maramoja kwa siku, Nlijaribu kujiingiza kwenye Forex ikawa Hola, Nmejiingiza Qnet hali ndo kama ilivyo sasa, Nmeshiriki makongamano ya ujasiriamali ila nkaona nkija kwenye vitendo sioni uhalisia.
Baada ya kuona hali ni tete nmeamua kurudi kwa wazee tu maana sijafukuzwa, na saizi naishi kwa kutegemea Betting tu, mikeka ndo inayonifanya hata ka shilingi mia kasikosekane mfukoni.

Jamani kama hauna pesa na shughuli ya uhakika, hata maendeleo yako yanachelewa.
 
Kama sio tapeli basi una bahati zako binafsi tu usipingane na wenzio
 
Hakika[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…