Je, changamoto zipi unapitia baada ya kuhitimu masomo (kugraduate) yako

Embu mkuu fanya maajabu...utapata1.5m ndani ya 3 months,Ila hyo ni % kutoka Kwenye salary..
 
Kwa mujibu wa bibie, kaka hauko serious.

Kufikia malengo yeyote (mfano: ajira), kunahitaj mpango, discipline, commitment, focus.

Ndio wahenga kusema, "mshika mawili moja humponyoka".

Sasa kwa kesi yako, "ni haki yako ya msingi kukosa ajira."
hii inaukweli ndani yake mimi kuna sehemu nipo nafanya kazi ambayo si taaluma yangu imekuwa ikinilia sana muda wangu na kushindwa ku focus kuomba kazi hadi sasa mwaka watatu huu nabaingaiza na kazi hisiyoeleweka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Unasomea kazi gani?
 
hii inaukweli ndani yake mimi kuna sehemu nipo nafanya kazi ambayo si taaluma yangu imekuwa ikinilia sana muda wangu na kushindwa ku focus kuomba kazi hadi sasa mwaka watatu huu nabaingaiza na kazi hisiyoeleweka
Kazi gani unafanya??
 
Inafurahisha lakini inahuzunisha, Mungu baba tusaidie watu wako
 
Una lengo lakuingiza watu mkenge wewe
 
Siasa Basi nina uhakika akili zako zipo makalioni,nimeelezea kisa cha mtu niliyemsaidia,hao watu ninaotaka kuwaingiza mkenge ni wakina nani??huyo Dada hakutakiwa kutoa chochote mpaka aanze kazi na ndivyo ilivyokuwa,baada ya kuanza kupokea Mshahara kaanza kuzingua ndio nikaona ni-share jinsi watu wanavyohangaika kutafuta kazi kisha wakipata wanasahau fadhila na makubaliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…