Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

Pole sana mkuu,Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu unachopitia.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Amen! Ni hali mbaya sana ambayo mtu anaweza kuipitia,kuna mwanangu mdogo anaongea kama cherahani,kila muda ananiambia"Baba nipe pochi yangu mi nataka kwenda hoskwitali(hospitali) kumsalimia mamaa" hapo ndiyo ananianzishia msiba upya.
 
Asante sana brother,Mungu akubariki sana kaka.
 
Amen! Ni hali mbaya sana ambayo mtu anaweza kuipitia,kuna mwanangu mdogo anaongea kama cherahani,kila muda ananiambia"Baba nipe pochi yangu mi nataka kwenda hoskwitali(hospitali) kumsalimia mamaa" hapo ndiyo ananianzishia msiba upya.
Wife amekuachia watoto wangap😭
 
Pole sana
 
Mzee alitaka kuongea namimi mambo mengi ,Mimi na ndugu tukawa tunamzuia mana alikuwa anapata maumivu sana wakati wakuongea.Ila nakumbuka maneno baadhi”NIWAJALI NDUGU ZANGU NA KUWAHESHIMU WATU”
RIP mzee!!!Corona ilimuondoa
 
Pole sana mkuu.Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu.
 
Kwamba wote Babu na Bibi walifariki siku moja au habari ya bibi ilitokea wakati mwingine tofauti?.
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…