Kiokotee
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,675
- 2,211
Apone,Amuone mkwe wake.Kwamba ulikuwa unamsubiri afanye nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apone,Amuone mkwe wake.Kwamba ulikuwa unamsubiri afanye nini?
Amen! Ni hali mbaya sana ambayo mtu anaweza kuipitia,kuna mwanangu mdogo anaongea kama cherahani,kila muda ananiambia"Baba nipe pochi yangu mi nataka kwenda hoskwitali(hospitali) kumsalimia mamaa" hapo ndiyo ananianzishia msiba upya.Pole sana mkuu,Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu unachopitia.
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Amen! Asante mkuuPole Sana Kaka captain Mungu ni mwema Sana nakuombea kwa Mungu akufariji Sana pole mkuu
Asante sana brother,Mungu akubariki sana kaka.Mkuu
1. Pole sana! Na tatizo la pole halina namna ya kulimaanisha kwamba hii ni pole kubwa au ndogo! Zaidi zaidi uchungu halisi unaujua wewe! Sisi wengine si rahisi ku feel pain unayopitia! But kiukweli inauma na kusikitisha sana mkuu! Narudia pole sana, imeniuma
2. Mpaka unaandika hapa, nimeamini wew ni mwanaume halisi kabisa! Na ni kama shetani alikupitia mwanaume ambae ni strong sana, Hilo nakupongeza sana! But kila upatapo huzuni fanya mambo mawili tu!
- lia sana, lia toa machozi usiyazuie! Hii wengi wanaume wanakosea kwa kudhani mwanaume halisi halii, nope mkuu lia sana kisaikolojia Ina maana kubwa
- sali , ongea na mungu wako umjuae! Ongea nae mwambie how you feel, that’s your real dawg! Who can feel you bro!
Shukrani mkuu,japo nimebaki na watoto wangali bado wadogo sana aisee!! Namshukuru Mungu kwa yote,Mkuu pole sana sana. MUNGU akuoe tumaini katika maisha yako. Dunia ina mengi. Afadhali kubwa kwako ni kwamba MUNGU alikupa nafasi ya kuwa nao katika siku zao za mwisho.
RIP 2005
tupeane Tip za kuficha nyaraka sensitive kama hizi ase. Nahisi kukwama.Mimi ndio maana mali zangu nyingi anazijua mke wangu na watoto wNgu tu hata pale napoficha nyaraka zangu.
Kaka MUNGU hakupi mtihani pasipo jawabu. Kuwa na hakika kabisa jawabu ya swali la "itakuwaje sasa?" utalipata tu.Shukrani mkuu,japo nimebaki na watoto wangali bado wadogo sana aisee!! Namshukuru Mungu kwa yote,
Wife amekuachia watoto wangap😭Amen! Ni hali mbaya sana ambayo mtu anaweza kuipitia,kuna mwanangu mdogo anaongea kama cherahani,kila muda ananiambia"Baba nipe pochi yangu mi nataka kwenda hoskwitali(hospitali) kumsalimia mamaa" hapo ndiyo ananianzishia msiba upya.
Ulikuwepo?
Pole sanaTukiwa kwenye harakati za kumuuguza mke wangu mpendwa,Mama alikuwa msaada mkubwa kwangu na kwa mke wangu,siku hiyo nimetoka hospitali kumuona mke wangu,nafika nyumbani nikaambiwa mama ananiita kwake,nikaenda na kumkuta ana huzuni sana,akaniuliza tu mgonjwa anaendeleaje?nikamwambia anaendelea vizuri sana,akaniambia "moyo wangu unaniuma sana nimeshindwa kwenda kumuona,miguu yangu haifanyi kazi kabisa,ila naamini tu Mungu ATANIKUTANISHA naye siku moja" niliondooka kwake saa tano usiku,tukaagana,akaenda kulala na mimi nikaenda kwangu,siyo mbali sana! Usiku wa kama saa nane nikapigiwa simu na mtu aliyekuwa hospitali alipokuwa amelazwa mke wangu!akaniambia hali ya mke wangu imekuwa mbaya ghafla,hivyo kama nitaweza niende asubuhi,hospitali yenyewe ilikuwa mkoa mwingine, nikakosa amani kabisa! Kufika saa kumi hivi usiku nikapigiwa simu tena! Roho ikapasuka paah!! Kuicheki ni mdogo wangu anayeishi na mama,nikapokea,akawa analia huku akiniambia "njoo nyumbani haraka" nikatoka mbio,nikafika na kumkuta mdogo wangu nje ana haha na kulia,nika muuliza kuna nini?akanikumbatia huku akilia na kuniambia niingie ndani,nikaingia mbio,nikaenda haraka chumbani kwa mama! Nikamkuta amelala huku anakoroma kwa sauti ya chini kabisa nikajaribu kkumwamsha kwa kumtikisa! Hakujibu,wala hakuamka,Akaondoka hivyo!! Tukaandaa mazishi na kumzika hapo hapo nyumbani huku mke wangu akiwa bado hospitali na akiwa na hali mbaya,siku tumezika mmke wangu ni kama alipata nafuu ghafla na kuongea na dokta aniambie nimpe mama simu aongee naye,nikamwambia mama ametoka kidoogo,akasisitiza sana,maana siku mama yangu anazikwa mimi nilienda hospitali asubuhi na mke wangu akawa anaongea kwa tabu akinilaumu kwa kumnyima kuongea na mama,akasema kuna kitu anataka amwambie mama ili mmama aniambie mimi,akasema "mimi nakufa,ila kuna jambo nataka nimwambie mama kwa ajili yako, basi tukamzika mama!! Mke wangu hakujua kuwa mama amefariki hadi siku moja alipoambiwa na mgonjwa mwingine aliyefika hospitalini akkitokea huku tunakoishi siku hiyo mke wangu alilia sana,akaniita,nikaenda,akalalamika kwa nini Mungu amemchukua Mama aliyekuwa mzima na mwenye aliyempenda sana na kumuacha yeye akiteseka kitandani kwa miaka!! Nimekuwa na wakati mgumu toka hapo ndugu zangu! Wiki mbili baada ya kumzika mama mke wangu mpenzi naye akafariki!! Lile neno alillotaka kumwambia mama aliniambia mimi mwishoni,nikamzika nyumbani pembeni ya mama aliyependa na waliopendana sana!! Mimi bado nipo kwenye msiba mzito!! Ni wiki tatu tu zimepita tangu nimzike mke wangu,mke wangu aliugua saratani ya ziwa(breast cancer) naandika huku machozi yananimwagika.
Pole sana mkuu.Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu.Tukiwa kwenye harakati za kumuuguza mke wangu mpendwa,Mama alikuwa msaada mkubwa kwangu na kwa mke wangu,siku hiyo nimetoka hospitali kumuona mke wangu,nafika nyumbani nikaambiwa mama ananiita kwake,nikaenda na kumkuta ana huzuni sana,akaniuliza tu mgonjwa anaendeleaje?nikamwambia anaendelea vizuri sana,akaniambia "moyo wangu unaniuma sana nimeshindwa kwenda kumuona,miguu yangu haifanyi kazi kabisa,ila naamini tu Mungu ATANIKUTANISHA naye siku moja" niliondooka kwake saa tano usiku,tukaagana,akaenda kulala na mimi nikaenda kwangu,siyo mbali sana! Usiku wa kama saa nane nikapigiwa simu na mtu aliyekuwa hospitali alipokuwa amelazwa mke wangu!akaniambia hali ya mke wangu imekuwa mbaya ghafla,hivyo kama nitaweza niende asubuhi,hospitali yenyewe ilikuwa mkoa mwingine, nikakosa amani kabisa! Kufika saa kumi hivi usiku nikapigiwa simu tena! Roho ikapasuka paah!! Kuicheki ni mdogo wangu anayeishi na mama,nikapokea,akawa analia huku akiniambia "njoo nyumbani haraka" nikatoka mbio,nikafika na kumkuta mdogo wangu nje ana haha na kulia,nika muuliza kuna nini?akanikumbatia huku akilia na kuniambia niingie ndani,nikaingia mbio,nikaenda haraka chumbani kwa mama! Nikamkuta amelala huku anakoroma kwa sauti ya chini kabisa nikajaribu kkumwamsha kwa kumtikisa! Hakujibu,wala hakuamka,Akaondoka hivyo!! Tukaandaa mazishi na kumzika hapo hapo nyumbani huku mke wangu akiwa bado hospitali na akiwa na hali mbaya,siku tumezika mmke wangu ni kama alipata nafuu ghafla na kuongea na dokta aniambie nimpe mama simu aongee naye,nikamwambia mama ametoka kidoogo,akasisitiza sana,maana siku mama yangu anazikwa mimi nilienda hospitali asubuhi na mke wangu akawa anaongea kwa tabu akinilaumu kwa kumnyima kuongea na mama,akasema kuna kitu anataka amwambie mama ili mmama aniambie mimi,akasema "mimi nakufa,ila kuna jambo nataka nimwambie mama kwa ajili yako, basi tukamzika mama!! Mke wangu hakujua kuwa mama amefariki hadi siku moja alipoambiwa na mgonjwa mwingine aliyefika hospitalini akkitokea huku tunakoishi siku hiyo mke wangu alilia sana,akaniita,nikaenda,akalalamika kwa nini Mungu amemchukua Mama aliyekuwa mzima na mwenye aliyempenda sana na kumuacha yeye akiteseka kitandani kwa miaka!! Nimekuwa na wakati mgumu toka hapo ndugu zangu! Wiki mbili baada ya kumzika mama mke wangu mpenzi naye akafariki!! Lile neno alillotaka kumwambia mama aliniambia mimi mwishoni,nikamzika nyumbani pembeni ya mama aliyependa na waliopendana sana!! Mimi bado nipo kwenye msiba mzito!! Ni wiki tatu tu zimepita tangu nimzike mke wangu,mke wangu aliugua saratani ya ziwa(breast cancer) naandika huku machozi yananimwagika.
Wawili mpendwa, mkubwa ana miaka 7 na mdoogo ana miaka 3Wife amekuachia watoto wangap😭
Kwamba wote Babu na Bibi walifariki siku moja au habari ya bibi ilitokea wakati mwingine tofauti?.Me sijawahi kuona mtu anakufa but I dread the day coming that' I'll witness such....
Nilisimuliwa wakati Babu kafa, walikuwa wameenda kumuona hospitali, sasa wamekaa kwenye viti wanapiga story Babu kalala, wakasikia amekohoa mara Moja. Hawakumtilia maanani, dakika chache baadae ndo wakagundua he's gone. Just like that.
Bibi naye walikuwa naye hospitali, akaanza kupata kwikwi, akahangaika na kwikwi wee manesi wakaitwa, ndugu wakaambiwa watoke, hata dakika haijaisha she was gone!
Pole sana mkuuTukiwa kwenye harakati za kumuuguza mke wangu mpendwa,Mama alikuwa msaada mkubwa kwangu na kwa mke wangu,siku hiyo nimetoka hospitali kumuona mke wangu,nafika nyumbani nikaambiwa mama ananiita kwake,nikaenda na kumkuta ana huzuni sana,akaniuliza tu mgonjwa anaendeleaje?nikamwambia anaendelea vizuri sana,akaniambia "moyo wangu unaniuma sana nimeshindwa kwenda kumuona,miguu yangu haifanyi kazi kabisa,ila naamini tu Mungu ATANIKUTANISHA naye siku moja" niliondooka kwake saa tano usiku,tukaagana,akaenda kulala na mimi nikaenda kwangu,siyo mbali sana! Usiku wa kama saa nane nikapigiwa simu na mtu aliyekuwa hospitali alipokuwa amelazwa mke wangu!akaniambia hali ya mke wangu imekuwa mbaya ghafla,hivyo kama nitaweza niende asubuhi,hospitali yenyewe ilikuwa mkoa mwingine, nikakosa amani kabisa! Kufika saa kumi hivi usiku nikapigiwa simu tena! Roho ikapasuka paah!! Kuicheki ni mdogo wangu anayeishi na mama,nikapokea,akawa analia huku akiniambia "njoo nyumbani haraka" nikatoka mbio,nikafika na kumkuta mdogo wangu nje ana haha na kulia,nika muuliza kuna nini?akanikumbatia huku akilia na kuniambia niingie ndani,nikaingia mbio,nikaenda haraka chumbani kwa mama! Nikamkuta amelala huku anakoroma kwa sauti ya chini kabisa nikajaribu kkumwamsha kwa kumtikisa! Hakujibu,wala hakuamka,Akaondoka hivyo!! Tukaandaa mazishi na kumzika hapo hapo nyumbani huku mke wangu akiwa bado hospitali na akiwa na hali mbaya,siku tumezika mmke wangu ni kama alipata nafuu ghafla na kuongea na dokta aniambie nimpe mama simu aongee naye,nikamwambia mama ametoka kidoogo,akasisitiza sana,maana siku mama yangu anazikwa mimi nilienda hospitali asubuhi na mke wangu akawa anaongea kwa tabu akinilaumu kwa kumnyima kuongea na mama,akasema kuna kitu anataka amwambie mama ili mmama aniambie mimi,akasema "mimi nakufa,ila kuna jambo nataka nimwambie mama kwa ajili yako, basi tukamzika mama!! Mke wangu hakujua kuwa mama amefariki hadi siku moja alipoambiwa na mgonjwa mwingine aliyefika hospitalini akkitokea huku tunakoishi siku hiyo mke wangu alilia sana,akaniita,nikaenda,akalalamika kwa nini Mungu amemchukua Mama aliyekuwa mzima na mwenye aliyempenda sana na kumuacha yeye akiteseka kitandani kwa miaka!! Nimekuwa na wakati mgumu toka hapo ndugu zangu! Wiki mbili baada ya kumzika mama mke wangu mpenzi naye akafariki!! Lile neno alillotaka kumwambia mama aliniambia mimi mwishoni,nikamzika nyumbani pembeni ya mama aliyependa na waliopendana sana!! Mimi bado nipo kwenye msiba mzito!! Ni wiki tatu tu zimepita tangu nimzike mke wangu,mke wangu aliugua saratani ya ziwa(breast cancer) naandika huku machozi yananimwagika.
Asante mkuu.Pole sana mkuu
Mungu atakupa nguvu ..mtegemee yeye ...ukiweza lia tu usiogope inasaidia sanaWawili mpendwa, mkubwa ana miaka 7 na mdoogo ana miaka 3